ajira ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uwalimu wa daycare nursery pre and primary

    Natafuta kazi ya uwalimu wa daycare nursery pre and primary school kwa grade 1,2,3 ngazi ya certificate na patikana dar es salaam 0678256082
  2. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania AJIRA UALIMU : COMMERCE NA BOOK KEEPING (ACCOUNTANCY)

    Anahitajika Mwalimu Kwajili ya kufundisha somo la commerce na Accountancy A level. Shule Iko Mbeya Mjini. Qualification: mtu mwenye degree katika masuala ya Commerce na Accountancy. Au Finance na Account. Mawasiliano: +255754543934 Salary: Government scale.
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sekretarieti ya ajira wametoa taarifa kwamba walimu walio kosa maksi tano kufikia ufaulu kupangiwa vituo vya kazi kwa utaratibu maalumu

  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri TAMISEMI: Serikali inaendelea kupunguza uhaba wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha, huku kwa sasa ikiwa katika majaribio ya matumizi ya teknolojia ya madarasa janja. Katimba...
  5. Mkwawa mnyalukoro

    JamiiForums Tanzania Aisee serikali imetukamia walimu

    Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa. Jipangene jamaa wapo siriasi. Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa vikali zaidi. Profesa amesema walimu tupo wengi hivyo anatafuta waliobora zaidi ili watoto...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Prof. Adolf Mkenda: Walimu endeleeni kujiendeleza hata kama hamna ajira ili kuwasaidia wakati wa usaili

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ametoa wito kwa walimu kuendelea kujiendeleza kielimu ili kuwasaidia wakati wa usaili. Prof. Mkenda ametoa wito huo Jumanne Februari 11, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu hoja za wabunge waliolikuwa wakichangia Taarifa ya Kamati...
  7. Musangaa

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

    Mchakato umejaa manyanyaso Kwa vijana wasio na ajira Wala kipato kinachoeleweka kuanzia kwenye utumaji maombi ya kazi. Vijana walitakiwa kucertify vyeti vyao Kwa mwanasheria/wakili/hakimu yeyote yule, hii ilihitaji pesa kama Hauna basi umekula kwako. Kwenye interview napo pamejaa mambo ya hovyo...
  8. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa nyomi ya walimu wa kiswahili ile nilioshuhudia siku ya usaili wao, hakika nawashauri vyeti wachome moto na wasahau suala la ajira

    Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima na hao 2000 ni mkoa Mmoja sijajua mikoa mingine walioitwa kwenye usaili. Hakika kazi ipo vijana...
  9. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za ualimu hauko fair

    Nimeshangaa kuona jamaa yangu mmoja leo ambae huwa ni dereva bodaboda karibia mwaka wa tisa sasa akisema ametoka kufanya interview ya ualimu, Kwanza nimeshangaa maana sikuwahi kujua kama ni mhitimu wa degree ya ualimu mwaka 2015 kutokana na kumuona yupo serious na kazi hiyo Kinachonishangaza ni...
  10. nipo online

    JamiiForums Tanzania Familia imenijia juu kisa sijaomba ajira za ualimu serikalini ambazo kuna interview kuanzia Leo

    nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua. Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu wangu ya kusimamia mtihani wa form 4 ndipo nikapata mtaji wa kufungua goli la salon. Kwa nini...
  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za Tanzania zikitangazwa zinaishia hewani?

    Sio mara moja au mara mbili ajira za ualimu zimekuwa zikitangazwa na zinaishia hewani. Hivi ina maana hii serikali mmeamua kuwaona waalimu ni kada flani iliyojaa mafara mpaka mnaamua kuwafanyia maigizo? Kuna haja gani ya kutangaza ajira hewa? Acheni kutesa watoto wa watu. Hakuna graduate...
  12. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Je, Utumishi Wanaenda Kinyume na Maagizo ya Waziri Wa Elimu na Rais Kwenye Suala la Ajira za Ualimu?

    Wakuu Habari! Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume na maono na maagizo ya waziri wa Elimu Prof. Adolf mkenda. Waziri Kwa kutumia AKILI Zake kubwa...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

    Waombaji ajira za ualimu waitwa usaili. Usaili huo utafanyika kati ya january 14 mapaka 24 mwezi februari 2025. Ikumbukwe kuwa usaili huo uliahirishwa tangu october 17, 2024. Soma zaidi <<< WAOMBAJI AJIRA ZA UALIMU WAITWA USAILI 2025
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zile Ajira za ualimu zilizoimbwa tangu February zipo wapi mamlaka tokeni hadharan mseme

    Mamlaka tokeni hadharan mseme Kuna Nini kinaendelea . Mlisitisha usaili bila taarifa Mashule yanaelekea jufunguliwa shule nyingi za private zinataka walimu kwa mikataba japo wanalipa Kidogo. . Walimu wanabaki njia panda wasaini mikataba ya mishahara jkidogo au wasubiri Ajira za serikalini ...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za uhakika kuhusu ajira za ualimu ambazo usaili ulisitishwa, atujulishe hapa.

    Baada ya taarifa ya kusitishwa zoezi la usaili kwa kada ya ualimu, hakuna taarifa nyingine ambayo imetolewa na mamlaka husika juu ya nini kitafata au kama utaratibu wa namna ya kuwapata walimu hao utabadilika. Najuwa Jamii Forum ni jukwaa lililosheheni watu kutoka vitengo mbalimbali na pengine...
  16. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Serikali, labda tungefanya hivi juu ya ajira za ualimu

    Habari zenu wakuu ,,, natumaini wote mpo salama ,, wale walioamka wakiwa wagonjwa ninawaombeni duwa ,, inshallah mtakuwa salama,, na waliofikwa na misiba na majanga ya kila namna ninawaombeni muweze kuvuka salama katika nyaka hizo ngumu zilizowafika.. Kwa kipindi sasa wengi tumeshuhudia njia...
  17. o_2

    JamiiForums Tanzania Kulikoni ajira za ualimu 2024?

    Kutokana na sintofahamu usaili wa kada ualimu kusitishwa mpaka itakapotangazwa, hebu chukua dakika tano kumsikiliza Mh. Waziri wa elimu. Halafu nipe maoni yako. Ubaya ubwela.
  18. Ze Heby

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti. Aidha, tetesi zilizopo ni kwamba, kelele zimekua nyingi na hivyo imeamriwa mchakato urudi TAMISEMI na usihusihe...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  20. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Interview Iringa Ajira za Ualimu

    Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia link hii: Iringa Interview
Back
Top Bottom