Kazi zenye mishahara mikubwa huwa hazitangazwi,
Kwa utafiti wangu binafsi, nimekuja kugundua kazi nyingi zinazotangazwa kwenye mitandao mbalimbali, magazeti n.k, nyingi huwa ni zile zenye mishahara ya milioni tatu, laki tano n.k kushuka chini.
Zile zenye mishahara minono, kama milioni 7, 10...
Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa.
Kutokana na changamoto za upatikanaji wa Ajira Tanzania na Duniani kwa ujumla wake kama Taifa tunatakiwa tuwe na Mawazo, mipango na ubunifu mbalimbali ili kutatua changamoto hii, tuweke mapendekezo mbalimbali yafanyiwe kazi. Miongoni mwa mapendekezo hayo ni...
Habari wanajukwaa.
Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya na kunipa wakati huu wakutoa mawazo yangu ambayo Huenda yakaleta athari chanya kwenye uchumi wa Tanzania yetu, Moja kwa moja nieende kwenye mada.
Kuna sehemu nyingi nimepita mikoani kuna majengo mengi yametelekezwa...
Habari wadau!
Nimewaza sana baada ya kutangazwa zile ajira elfu tisa na za walimu na kada ya afya huku waliotuma maombi ni zaidi ya 80,000 inatia kinyaa sana kuona ajira elfu tisa tu zinajadiliwa mpaka bungeni.
Nilikuwa na mapendekezo kwamba ili tatizo la ajira linachagizwa na mambo mengi...
Kwa hali ilivyo watu wasio na ajira Tanzania ni ngumu kuwasaidia kwa kuwa hawana mobilization yeyote.
Ile fursa ya Jana ya Mama yetu kuongea na wazee ilikuwa ni fursa nzuri ya kuwasiliana na viongozi wa wazee ili waweke maneno ya ajira Kwa wajukuu zao kwenye hotuba yao.
Kundi la wasio na ajira...
Job Summary
We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE.
Job Description
A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
Nitakuwa specific and short, but clear:
Nimeona threads nyingi JF wadau wengi sana haswa waliomaliza chuo kikuu, wakitumia mda mwingi kuomba connection za kazi lakini hakuna mafanikio hata kwa zaidi ya miaka. Huku wengine kuhisi wana mikosi au hawana bahati na kutoboa.
Basi, leo nitatoa somo...
Naomba kuwasilisha uzi huu kwa mfumo wa maswali kwa wadau juu ya sakata hili;
1) Je, sehemu pakufanyia kazi ni tofauti?
2) Kwanini hospital nyingi zinakataa kuwapokea watu biotechnology and laboratory sciencies.
3) Je, leseni za watu wa biotechnology and laboratory sciencies zinapatikana...
Naitwa RABSON JOHN
Naishi DAR ER SALAAM MABIBO
NINA MIAKA 27
Mimi ni kijana ambae nina fani ya Udereva.
Pia nina uzoefu wa Sales & Marketing nimewahi fanya kazi na makampuni mengi hapa Dar er Salaam
Nina leseni ya udereva yenye madaraja haya.
A.A2.B.C1.C2.C3.D.E pia napenda kuwaomba kazi ya...
Hii ni ishara kuwa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa sana.
Kati ya nafasi za ajira ya ualimu wa shule za msingi & sekondari 13,000 zilizotangazwa na serikali ikiwa ni kumjibu mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ndugu, Tundu Lissu, takwimu zinaonesha kuwa mpaka kufikia leo Jumatatu tarehe...
Naomba kwa yeyote ambae ana taarifa au kusikia tarifa kampani ya Kichina ndani ya Tanzania hii wanatafuta mkalimani basi naomba a share na mm hizo taarifa.
Asanteni.
Nambari zangu ni 0626488282
Whatsapp +255779790006
Wechat+255626488282
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini website ya tume/sekretarieti ya ajira Tanzania(TPSRS) haipo kwenye freebasics.com ili kuwasaidia graduates...
Wadau naomba ushauri juu ya soko (kwa upande wa ajira) mimi nasoma Bachelor of Computer Engineering, MUST, siko interested sana na coding.
Nafkiria kuspecialize na Network & System Administration kwenye suala la ajira iko vp hii? Na ni sector zipi zina uhitaji wa ao watu wa network?
Position : ADMINISTRATIVE ASSISTANT
The Export-Import Bank of Korea
Job Purpose : General Support to Office Operations
Job Description
Responsibilities :
Answer and direct phone calls
Organize and schedule meetings and appointments
Produce and distribute correspondence memos , letters , faxes...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.