ajira portal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lusinde alia wanaoomba ajira kufanyiwa mitihani, atoa pendekezo haya Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Mvumi (CCM) Livingstone Lusinde (Kibajaji) amekosoa mfumo unaotumika kutoa ajira nchini kwa madai mfumo huo umekuwa hauwatendei haki Watanzania na unachangia kuleta mawazo kwa vijana. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ku fail kwa application ajira portal

    Habari za wakati huu… Napenda kuuliza mimi nimesoma BA.Social work ajira portal wametangaza kazi za Community development kwenye qualification wamesema wenyee io au equivalent na kazi ipo kwenye kipengele chetu najaribu kuapply inasema failed, Ni social work haiusiani na community development...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Engineer II (plant) OSHA inasumbua kuomba ajira portal

    Habari wakuu nimepata changamoto ya kuomba nafasi OSHA kipengele cha Engineer II (PLANT) ina vigezo, uwe una bachelor degree in mechanical engineering na pia uwe registered as graduate engineer na ERB sifa zote hizo ninazo ila bado inagoma leo ni siku ya tatu naomba niwasilishe wakuuu mnipe msaaada.
  4. JamiiForums Tanzania Ajira portal mbona situmiwi message ya ku access email yangu?

    Mbona situmiwi message ya ku access email yangu? Shida iko wapi adimini..... 😭
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi Ajira Portal Ilivonipotezea kipenzi changu!!

    Wagonga ulimbo tunapitia mengi sana maisha yanakuchapa, mapenzi yanakupiga za uso, familia inakutenga, marafiki wanakukimbia. Katika harakati zangu za ugonga ulimbo baada ya kugraduate mimi na kipenzi changu "Fauzia" jina la uficho (comouflage)tulikuwa na mipango mingi sana. Siku zote...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta akaunti ya Ajira Portal

    Hivi ukitaka kuifuta account yako au profile yako kwa Ajira Portal unafanyaje? Kwa sababu nimejaribu kila kitu wap. Nisaidieni.
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto itakua ni nini? Kila nikiingia ajira portal naandikiwa hivi

  8. JamiiForums Tanzania Kwanini TRA wametangaza kazi kwenye website yao ikiwa kuna ajira portal (Utumishi)?

    Ndugu zangu. 1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ? 2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada namna yakuweka passport size photo kwenye ajira portal

    Msaada wana JF kwa anaejua namna yaku upload passport size photo kwenye ajira portal
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hiv?,

    Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hivI?
  11. JamiiForums Tanzania Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  12. JamiiForums Tanzania Ajira Portal Login na Registration - Naona ni Changamoto Kwa Baadhi ya Vijana

    Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko la ajira), ama wakiwa hawafahamu ajira portal ni kitu gani, ama wanashindwa kujisajili na baadhi...
  13. JamiiForums Tanzania Top Job Websites in Tanzania to Help You Land Your Dream Job

    Whether you’re looking for a government position, a private-sector job, or an internship, numerous online platforms help you find your ideal job. With that out of the way, here are the leading job websites in Tanzania that make a difference in recruitment. 1. Kazi Portal Kazi Portal is a...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada nimeisahau password ya kuingia ajira portal

    Wadau naomba maelekezo nimeisahau password ya kuingia ajira portal maelekezo tafadhali
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuondoa taarifa zilizojazwa kimakosa Ajira Portal kipengele cha Academic Qualifications

    Samahani ndugu zangu wapendwa, nisaidieni jinsi ya kuondoa taarifa zilizo jazwa kimakosa kwenye ajira portal pale kwenye academic qualifications
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Ofisi za wanaoshughulika na ajira portal zipo sehemu gani kwa Dar es Salaam?

    Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda direct ,Kwa yeyote anaefahamu walipo naomba kuelekezwa tafadhali
  17. JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira portal umekumbwa na nini?

    Wakuu vipi huko kwenu mnaweza kupata access ya ajira portal? Huku kwangu mambo yapo hivi
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iangalie vizuri mfumo wa ajira portal, kuna dalili za wahuni kusimamia mfumo huu

    SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA. Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa imekaribisha maombi ya kazi kutoka kwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Msaaada kuhusu Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science

    Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science. Kwa anayejua au kumbuka maswali yanayoulizwa (written/oral) naomba aweke nondo humu, tafadhali.
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu waangaliwe suala la interview Yao 2024 ukweli inaleta sintofahamu kwao, Ajira Portal wanachelewa mno

    Ukweli nmekutana na vijana wengi wanalalikia mfumo wa maombia ya ajira yaani ajira PORTAL, kwamba walikuwa shortlisted kutoka mwezi wa 10 mpaka Leo hawajaitwa sasa je waendelee na shughuli zingine? Au vipi na mpaka Leo hakuna ufafanuzi wowote. Watu wamebaki na sintofahamu. Cha kushangaza wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…