ajira portal

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nani kafanikiwa kufuta Cheti Ajira portal kupitia njia hii?

    Wakuu, habari za jioni. Nimepitia mijadala mbalimbali kuhusu suala la kuondoa vyeti (qualifications) vilivyowekwa kwenye Ajira Portal, lakini hadi sasa sijafanikiwa kupata taarifa kutoka kwa mtu ambaye amewahi kufanikiwa kuondoa cheti cha qualification, kwa mfano cheti cha Shahada (Degree...
  2. JamiiForums Tanzania Lynn Chawala: Alama za Ufaulu Ajira Portal ni 50, ila kupangwa kazini inategemea na ufaulu wa juu na mahitaji

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika mchakato wa ajira, huku uteuzi ukitegemea pia mahitaji ya taasisi husika. Amesema mfumo hupanga waombaji...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Utumishi Yatangaza Mabadiliko Makubwa Ajira Portal: Kiapo (Affidavit) Kufutwa Rasmi?

    Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetoa tangazo rasmi likiwataka waombaji wote wa ajira mpya serikalini kurekebisha taarifa zao kwenye mfumo wa Ajira Portal kufuatia maboresho makubwa yaliyofanyika. Hatua hii inalenga kuhakikisha waombaji wote wanakidhi vigezo vilivyowekwa wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Tumshauri:Amechelewa kuona barua yake kwenye ajira portal

    Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha kazi tangu mwezi Augost. Mnaweza kushaurije kwenye hili wakuu?
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini baada ya mwaka mmoja taarifa za mtu aliyefanya usaili na kufaulu katika Ajira Portal zinaonekana zime-expire?

    Kumekuwa na changamoto katika mfumo wa Ajira Portal, ambapo baada ya kupita mwaka mmoja, taarifa za mtu aliyefanya usaili na kufaulu huonekana kuwa zime-expire. Hali hii imekuwa changamoto kwa vijana wanaotafuta ajira, kwani mtu anaweza kufaulu usaili wa awali lakini baadaye akashindwa usaili...
  6. JamiiForums Tanzania Responded Sekretarieti ya Ajira: Tumeboresha Mfumo wa Ajira Portal, ambao hawakufaulu usaili wanapewa ujumbe

    Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imefanya maboresho katika mfumo wa Ajira Portal kuwezesha upatikanaji wa taarifa za matokeo ya usaili wa mahojiano ya ana kwa ana (Oral interview.) Wale waliofaulu na kuhifadhiwa kwenye Databank wamepata status za “Passed and stored...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi kupitia ajira portal

    Kwa watakaopata changamoto za kuomba kazi kama kusahau password,email, nk tuwasiliane kwa 0 792 715 343 au 0623446608(Whatsapp na kawaida) Hizo ni baadhi tu
  8. JamiiForums Tanzania Udereva ndio fani inayoongoza kwa ajira, ajira portal vijana tupambane tuwe madereva.

    Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri. Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na kupata check Number
  9. V

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya ajira portal

    Kuna wakati Changamoto kv Kusahau password Kusahau email Kutengeneza akaunti Kuomba kazi nk umeshindwa kuzitatua? Tuwasiliane kwa 0792715343 nikusaidie
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujaza profession qualification ajira porta

    Habari wakuu, Ajira portal Kuna sehemu ya kujaza professional qualification lakini Kwa upande wa engineering graduate anapewa namba tu wakatu ajira portal inataka certificate hapa natakiwa kufanyaje?
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal kuna changamoto ya kubadili Sifa za Elimu

    Hongera team ya JamiiForums kwa kazi kubwa mnafanya kuhabarisha umma na jamii zote ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ninayokero ambayo inahusiana na Sekretiati ya Ajira kwa maana ya Ajira Portal . Tunapendezwa na huduma zinatolewa na Ajira Portal lakini kuna sehemu ndogo ambayo tunaomba...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kurudosha email au username ajira portal

    1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao 2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit 3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally kwasababu siyo wote mtaitumia vizuri.Naandika ivi kwasababu kuna watu wenye biashara zao huwa...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta qualifications ajira portal

    KWENYE mfumo kwa upande wa elimu ya chuo NK hasa kuna sehemu imeandkwa REQUEST REMOVAL use it kama uliweka qualifications wrongly
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Ajira Portal imeondoa option ya kufuta vyeti vyenye makosa?

    Ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu mfumo wa Ajira Portal. Kwenye mfumo huo, kuna cheti nilichoweka lakini kina makosa, na ninahitaji kukifuta ili niweke taarifa sahihi. Hata hivyo, nimegundua kuwa hakuna tena option ya kufuta cheti kilichowekwa kimakosa. Naomba kufahamu sababu ya kuondolewa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada Ajira portal

    salaam wakuu. Nimefungua akaunti ya ajira portal tangu mwaka jana, taarifa zote muhimu(CV)nimeweka na imekamilika kwa asilimia 98. Changamoto nipale ninapotaka ku apply nafasi za kazi inaniandikia *Failed" na maneno flani chini yake. Kuna mtaalamu nilimshirikisha akadai inatokana na mimi kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Anaefahamu namba ya kushusha cheti ajira Portal anielekeze jamani

    nashindwa kuomba kazi kutokana na kikwazo Cha cheti kimojawapo kwenye account yangu ya ajira Portal.Maana Kila ninapotaka kuomba kazi nakosa sifa kutokana na cheti kimojawapo kilichopo kwenye account ya ajira Portal. NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  18. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi mpya ajira portal usiache kuomba

    Ukipata changamoto ya kuomba kama kusahau password, email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  19. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi ajira portal kwa kada za elimu,uongozi nk usiache kuomba

    Kama una changamoto kama kusahau password, kusahau email nk tuwasiliane kwa 0792715343
  20. V

    JamiiForums Tanzania Ajira nyingi ajira portal omba sasa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…