Kwa kawaida Serikali huajiri kwa bajeti, kwanini wanashindwa kulipa fedha hizo kwa wakati ikiwa huweka bajeti ya ajira na kutenga fedha za malipo ya kujikimu kwa mwaka husika wa kifedha kulingana na idadi ya vibali vya ajira?
Ukiangalia asilimia kubwa ya Harimashauri nyingi hawajalipwa wengine...
Tuna kilio chetu cha Waalimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya KALAMBO Mkoa wa RUKWA, tumeajiriwa tangu Mwaka 2025 mwezi wanne, mpaka leo tuko mwezi wa tano 2026 bado hatujathibitishwa kazini.
Soma Pia: Ajira Mpya (Kada ya Afya na Walimu), Manispaa ya Kibaha tuna mwaka mmoja na nusu sasa...
Walimu ajira Mpya halmashauri ya Wilaya Ya MKALAMA-SINGIDA hatujalipwa Pesa zetu za Kujikimu Tangu Tumeripoti mwezi January 2026.
Kila tukifuatilia Tumekuwa Tukipewa Majibu yasioridhisha kwetu sisi. Kwani Pesa ya Kujikimu kwa mtumishi wa Ajira mpya ni Haki kisheria. Hii inapelekea matatizo ya...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
fedha za kujikimu
halmashauri
miezi sita
mkalama
mpya
walimu
walimu ajirampya
wilaya ya mkalama
Pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya kyerwa ajira mpya hatujapewa bado, na uongozi ulituambia pesa zipo tangu February/March 2026 tunaomba uongozi utupe mrejesho nini kinaendelea.
Soma Pia: Ajira mpya Halmashauri ya Korogwe Vijijini hatujapewa pesa za kujikimu
Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu.
Tabia hiyo imekuwa ikijirudia rudia hata kwa ajira ya mwaka 2024.
Tunaomba mamlaka itusaidie tupate pesa yetu ya kujikimu
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
changamoto
duni
kujikimu
malipo
mamlaka
mpya
namtumbo
pesa
pesa za kujikimu
ruvuma
Hatujalipwa pesa ya Kujikimu.
Kila tukifuatilia, tunaambiwa pesa hazijatoka Hazina. Wilaya yetu hii walimu tulioripoti nao kazini wamepewa pesaa za kujikimu karibu wote.
Jambo jingine, hapa Hospitali ya Wilaya Nachingwea ,Viongozi wanatumia madaraka yao vibaya kuwahamisha vituo watu...
Mimi niliajiriwa Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Ngara Mkoani Kagera lakini hela zetu za kujikimu mimi na wenzangu hatujapewa, tupo Kada ya ELIMU ila wenzetu Kada ya AFYA walivyofika tu wakapewa sisi mpaka leo kimya.
Mwaka huu 2026 wameleta ajira mpya wengine wa Elimu na Afya lakini afya...
Anonymous (c258)
Thread
ajiraajirampya
hazina
hela
kimya
mpya
mwaka
ngara
walimu
walimu ajirampya
wilaya
wilaya ya ngara
Mimi ni Mtumishi nipo Kada ya Afya Mkoani Tabora, nimeajiriwa tangu Mwaka 2024, changamoto ipo Kada ya Ualimu na Afya intake moja
Barua za uthibitisho imekuwa kero lakini mikoa mingine walishapata hatujui kwa Tabora changamoto ni ipi.
Anonymous (0c95)
Thread
ajiraajirampya
barua
kero
mpya
mwaka
mwaka 2024
tabora
uthibitisho
Ajira mpya wa mwaka huu 2026 tuliingiziwa kiasi cha shilingi za kitanzania laki mbili na themanini lakini tangu hapo hatujaona kitu tena huku kinacholeta wasi wasi zaidi tukiuliza wenzetu wa mwaka jana 2025 wanasema hawajapewa hata kidogo
Bila sababu za msingi wakati ukiangalia ni haki ya...
Anonymous (c732)
Thread
ajirampya
bukombe
geita
halmashauri
kujikimu
malipo
mkoa wa geita
sekondari
waalimu
walimu ajirampya
watumishi
watumishi ajirampya
Ajira Mpya Halmashauri Ya Kongwa Hatujalipwa Pesa Za Kujikimu, Ukihoji Hawana Majibu Ya Kueleweka Wanakua Na Kona Kona Nyingi Sana
Kongwa ipo mkoa wa Dodoma, Ajira ya January 2026 (ajira ya mwaka 2025 wamelipwa mwezi uliopita laki 4 tu, wamepunguziwa), Kada elimu.
Soma pia
Watumishi wa Afya...
Anonymous (373d)
Thread
ajirampya
halmashauri
kongwa
majibu
pesa za kujikimu
Halmashauri ya Mkalama DC, Singida watumishi wa Ajira Mpya tangu Novemba 2024, Kada ya Afya, hawajathibitishwa kazini hadi sasa ni Mwaka na miezi 5, japo wapo baadhi wamethibitishi kwenye mfumo baada ya kuomba mkopo kupitia ESS utumishi.
Je, hii almashauri hadi mtu aombe mkopo ndipo...
Anonymous (01f4)
Thread
ajiraajirampya
halmashauri
kazini
mkalama
mkopo
mpya
mtu
singida
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro haijalipa fedha za kujikimu kwa ajira mpya na wapo kimya, hawajasema lolote.
Serikali itusaidie katika hilo, tuliripoti kazini mwezi wa kwanza hadi sasa mwezi wa nne, lakini hatujapewa pesa za kujikimu. Mimi ni mwalimu.
Soma Pia: Walimu Ajira...
Mimi ni mdau wa ukurasa wenu. Nina kero moja, Watumishi wa Ajira Mpya (Walimu) za Januari 2026 wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hatujapewa pesa zetu za kujikimu.
Kila tunapofuatilia, tunatishiwa kufukuzwa kazi.
Sisi ni ajira mpya Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani, kada ya afya ni miezi mitatu sasa hatujalipwa pesa zetu za kujikimu na tumefuatilia kwa viongozi wa wilaya lakini majibu hayaridhishi kabisa.
Cha ajabu, wenzetu wa Kada ya Elimu wamelipwa pesa zao muda mrefu lakini sisi tunapigwa kalenda tu...
Serikali hasa TAMISEMI watoe tu uhamisho hata kama hajamaliza miaka mitatu, haswa kwa hawa watumishi wapya!
Kuna baadhi ya wilaya za pembezoni kama mkoa halmashauri zao, watumishi wapya wanapokuja hawapokelewi vizuri vituo vyao vya kazi.
Watumishi wapya wanapoleta chachu nzuri ya maendeleo...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
kazi
mpya
tamisemi
vituo
vituo vya kazi
vizuri
waajiriwa
Halmashauri ya Bumbuli haijalipa posho ya kujikimu kwa ajira mpya tangu Mwaka 2025 Mwezi Februari, watu wanamaliza mishahara kulipia deni waliloahidi kupewa mwaka mmoha uliopita, kibaya zaidi hakuna maelekezo yoyote.
Inamaana TAMISEMI wanaajiri watu bila kutoa bajetI za watumishi na ukizingatia...
Anonymous (8b17)
Thread
ajiraajirampya
bajeti
bumbuli
halmashauri
mpya
tamisemi
Ninaandika hapa kuwasilisha kero inayotukumba sisi baadhi ya watumishi wapya wa Afya wa Halmashauri ya Mafia tulioajiriwa mwaka 2025/2026.
Mpaka sasa, watumishi hatujalipwa hatujalipwa kabisa hela ya kujikimu, bila maelezo yoyote rasmi kutoka kwa wahusika. Hali hii inaleta maswali makubwa juu...
Sisi Walimu wa Ajira Mpya Mbeya Mjini hatujalipwa pesa yetu tangu Mwaka 2025, waliokuja wapya wa mwaka huu pia hawajalipwa wakati Halmashauri za pembeni wamelipwa muda tu.
Soma Pia:
Halmashauri ya Itilima iliyopo Mkoani Simiyu vivyo hivyo pia Watumishi wake walioajiriwa Mwaka 2024 katika Sekta ya Afya hawajathibitishwa kazini.
Hii inaleta ulakini ni nini hasa changamoto, maana mwanzo walidai madiwani hawajaapishwa ila sidhani mpaka leo hiyo inaweza kuwa sababu ya watumishi...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
halmashauri
kazini
kipi
mpya
simiyu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.