Wiki chache zilizopita kupitia Fichua Uovu hapa JF tuliwasilisha hoja kuwa sisi Watumishi wa Ajira Mpya Kada ya Afya katika Manispaa ya Singida Mjini Mkoani Singida tiilipewa nusu ya malipo ya Fedha za Kujikimu.
Tunashukuru Uongozi umesikia kilio chetu na tumepokea hela ya kujikimu, asanteni JF...
Anonymous
Thread
ajirampya
fedha za kujikimu
manispaa ya singida mjini
singida
Ukikuta uzi kuna mada nzuri inajadiliwa utakuta kijana wa ajira mpya anajipa mamlaka ya kutetea hata kama anatetea upumbavu
Hii mindset kawaambia nani?
Nani kasema lazma mtetee ujinga?
Kwani huo mshahara ni hisani?
Nihitimishe kusema Tanzania watu tunaojielewa ni 0.23% tu katika wasomi wote...
Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini.
Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
fedha
fedha za kujikimu
kakonko
kuhusu
kujikimu
malipo
mpya
ufafanuzi
watumishi
Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI.
Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
fedha
fedha za kujikimu
haki
haki sawa
kujikimu
malipo
mpya
sawa
tunahitaji
walimu
Kuna upigaji mkubwa unaendelea wa posho za kujikimu ajira mpya halmashauri ya wilaya ya Sikonge.
1. Katibu mkuu aliwandikia barua halmashauri zote zenye maelekezo maalumu kwa ajili ya fedha za kujikimu na barua hiyo ilielekeza bayana kuwa watumishi wa ajira mpya kwanzia Januari 2025 hadi Aprili...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
halmashauri
kujikimu
mkubwa
mpya
posho
posho za kujikimu
sikonge
upigaji
wilaya
Ninafanya kazi katika kampuni hii kwa zaidi ya miaka mitatu, lakini hadi sasa bado ninadai mishahara ya kipindi kilichopita ambayo sijalipwa. Mbali na kucheleweshwa kwa mishahara, hivi karibuni uongozi wa kampuni ulifanya kikao na kutangaza kuwa wafanyakazi waliokuwa wakilipwa mshahara wa...
Anonymous (b466)
Thread
ajiraajirampya
halmashauri
malalamiko
mkalama
mpya
mwanza
singida
wilaya
wilaya ya mkalama
Halmashauri ya Wilaya Tandahimba Ajira Mpya wengi wetu hatujapewa fedha zetu za kujikimu tangu tu report kazini Mwezi January 2026. Tunapouliza jibu huwa ni moja kuwa “Tunalishughulikia” bila matokeo yeyote.
Mimi ni Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, kuna Mtumishi ajira mpya Afya ali-report kituoni toka mwezi wa 7 mwaka Jana 2025 hadi leo yeye na wenzake wanalalamika kutolipwa hela zao za kujikimu.
Kila wakiongea na Katibu anawajibu kuwa hela haijatoka, na hii Halmashauri...
Walimu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tumelipwa nusu tu ya hela ya kujikimu yaani laki 550,000, tumeajiriwa tangu Februari mosi 2025.
Hiyo nusu yenyewe tumepewa baada ya mwaka mzima na ilhali sheria za utumishi wa umma zinasema tupewe ndani ya siku 7, zaidi ya hayo hatujathibitishwa...
Anonymous
Thread
ajirampya
dar es salaam
fedha za kujikimu
walimu ajirampya
Watumishi tuliopata ajira mwezi Julai 2022 tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kucheleweshewa kupandishwa madaraja licha ya kukidhi vigezo vya kisheria na kiutumishi.
Tumekuwa tukiambiwa kuwa sababu ya kuchelewa kupandishwa madaraja ni kwamba tuliajiriwa katika “mwaka mpya wa serikali”...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
daraja
kigoma
miaka mitatu
mwalimu
serikali
Mkeka wa ajira ulitoka Januari 19 mwaka 2026. Hadi kufikia februari 10 mwaka huu waajiriwa wapya wote walikuwa wameripoti kazini.
Halmashauri ya Ushetu mpaka sasa haijalipa posho ya kujikimu kwa kada zote na kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu hilo.
Jibu la awali lilikuwa kwamba pesa...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
dalili
hali
hali tete
kujikimu
mgawanyiko
mpya
pesa
pesa za kujikimu
rushwa
tete
ushetu
Kuna Watumishi wa Wizara ya Maji wanaolalamikia kutokudhibitishwa kazini licha ya kuwa wamekaribia kutimiza miaka miwili tangu waajiriwe.
Watumishi hao wanasema hawaelewi sababu ya kucheleweshewa kuthibitishwa kazini baada ya kutimiza masharti ya kiutumishi yanayohitajika kwa hatua hiyo...
Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi.
Wengine wetu walijitolea kufanya kazi toka muda huo hadi sasa lakini mazingira yamekuwa magumu.
Halmashauri hakuna jibu la...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
halmashauri
kazi
magumu
mazingira
mazingira magumu
mpya
Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
Anonymous
Thread
afya
ajiraajirampya
fedha
fedha za kujikimu
hali
hali ya maisha
hatujapewa pesa ya kujikimu
januari
kujikimu
maisha
mishahara
mpya
mwaka
ngumu
pesa
pesa ya kujikimu
shida
tuna
wilaya
wilaya ya chemba
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA KUTOTHIBITISHWA KAZINI KWA WATUMISHI WA
HALMASHAURI YA WILAYA YA MKALAMA
Mei 21/2026, Nduguti, Mkalama, Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwa baadhi ya...
Baada ya andiko lililowekwa na Mdau kupitia Fichua Uovu ndani ya JamiiForums.com, alipoandika “Watu 178 tulipata ajira VETA, tukaenda kuripoti Dodoma, ni mwezi wa tatu huu hatujapangiwa kituo, wametusahau?”
Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi...
Sisi Ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, tuliajiriwa Januari 2026.
Majibu tunayopewa huku kwenye group hayaeleweki wanatuambia serikali ndiyo inatoa pesa...
Anonymous
Thread
ajiraajirampya
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
kujikimu
mpya
mwanza
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.