Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka.
Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
Naandika nikiwa na masikitiko makubwa sana.
Ina maana viongozi wetu hawaoni kwamba umachinga na bodaboda sio suluhisho la uhakika kuhusu ajira? Viongozi wote wa Chama Tawala na upinzani kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitumia makundi haya mawili ku-boost agenda zao za kisiasa wakati wakijua hizo...
Nina wazo au proposal ambayo inahusu mradi mkakati mdogo utakaohusu kilimo na ufugaji kwa vijana waliohitimu vyuo nk.
Kama mnavyojua tatizo kwenye jamii ni fursa pia tena kubwa nimeandika proposal ambayo itakuwa inakusanya vijana kuanzia 50-100 kufanya kwa pamoja mradi wa kilimo na ufugaji...
Nimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira.
Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali.
Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa...
Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
Jaji Warioba anasema katika kipindi cha miaka 60 ya Uhuru wa nchi yetu bado Ajira kwa vijana ni tatizo kubwa.
Jaji Warioba ameshauri mfumo wa elimu uangaliwe upya.
CHanzo: BBC Dira ya Dunia!
Kila mwaka wanavyuo wengi wana graduate na kurundikana mtaani bila ajira huku wakihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Serikali kama mdau wa ajira nchini inapaswa kuja na wazo la ajira za mkataba kama ifuatavyo;-
1.Kwenye utumishi wa umma:
Mfumo wa ajira za maisha uondolewe yaani nesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.