ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu hapa Cyrus Shakhalaga Khwa Jirongo, aliyemtambulisha Rais Ruto kwenye ulimwengu wa siasa hadi ajali kukatisha uhai wake

    Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64. Jirongo alifikwa na mauti kufuatia ajali iliyohusisha gari yake aliyokuwa akiendesha mwenyewe Mercedes-Benz...
  2. JamiiForums Tanzania Ajali ya moto China: 128 wafariki dunia, 200 hawafahamiki walipo

    Moto mkubwa uliotokea katika makazi ya Wang Fuk Court eneo la Tai Po, Hong Kong, usiku wa kuamkia Novemba 26, 2025 umeua watu 128, akiwemo Afisa mmoja wa Zimamoto, huku zaidi ya watu 200 wakiwa bado hawajulikani walipo. Zaidi ya watu 79 wamejeruhiwa, na juhudi za uokoaji zinaendelea huku miili...
  3. JamiiForums Tanzania Tuwapongeze TRC kwa uwezo wa kurejesha huduma baada ya ajali

    Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu. Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma

    Treni ya Mwendokasi (SGR) imeripotiwa kuacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo ikiwa inatokea Jijini Dar es salaam kuelekea Dodoma ambapo Abiria wawili walioongea na AyoTV wamesema hawajamuona yeyote aliyejeruhiwa isipokuwa ni hofu tu iliyowapata wachache...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wapata ajali ya Trekta wakiwa wanaenda kwenye kampeni za CCM

    Ivi una jua kuna watanzania wanazingua sana unakubalije kupanda TREKTA halafu wenzako wamepanda V8 na viyoyozi ndani wewe na vumbi lako kwenye TREKTA na ka Tsh. 10000 uliyoahidiwa hii ni mbaya JF tusambaze elimu kwa watanzania ambao bado wamelala. ====== CCM mnabeba watu kwenye matrekta kama...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna ajali za kibwege. Sometimes unaweza ukafeel kwa nini wenye magari wanatuchukia sana wenye pikipiki

    Sometimes unaweza ukafeel kwa nini wenye magari wanatuchukia sana wenye pikipiki(bodaboda) the moment unaendesha pikipiki kuna ile imani kwamba hutakiwi kusimama kwenye foleni as long kuna upenyo basi ni lazima upite na ukikuta kuna bwege kazuia upenyo unamaindi kinoma ile nafasi ya wazi baina...
  7. JamiiForums Tanzania Dodoma: Kuna ajali imetokea ya basi na Costa Bahi

    Kuna ajali mbaya imetokea ya Basi na Costa huko Bahi. Watu ni wengi sana. Stay tuned.
  8. JamiiForums Tanzania Basi kampuni ya Mallesa lagongana uso kwa uso na lori, wawili wafariki dunia

    Watu wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Mallesa walilokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Geita kugongana na lori la mizigo katika Kijiji cha Rumasa, Wilaya ya Chato mkoani Geita. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Geita, Safia Jongo, amezungumza na TBC Digital kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajali Kemondo - Bukoba lawaingiza Mtaani Bwanku na Jeshi la Polisi kutoa elimu

    Ndani ya kipindi kisichozidi miezi miwili Kata ya Kemondo imeshuhudia ajali 3 za barabarani zilizoua watu watatu, kufuatia matukio haya ya ajali Afisa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku, Ijumaa Oktoba 3, 2025 ameongozana na Polisi Kata wa Kemondo Afande Huruma...
  10. JamiiForums Tanzania Mnaotumia barabara ya Kilwa kuingia Dar kuna foleni kali iliyosababishwa na ajali

    wale watumiaji wa barabara ya Kilwa ikiwemo wanaoingia jijini Dar es Salaam na wale wanaosafiri mikoa ya Kusini chukua tahadhari mapema, wengine huko wamelazimika kusubiri kwa zaidi ya saa sita baada ya ajali mbaya iliyohusisha magari matatu, bajaj na pikipiki kutokea katika eneo lenye kilima...
  11. JamiiForums Tanzania Rubani apata ajali ya ndege akiwa na cocaine ya thamani ya $57,000 huko Brazil

    Timothy James Clark, rubani raia wa Australia, alifariki katika ajali ya ndege huko Brazil. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Coruripe, kwenye pwani ya Brazil. Polisi walipochunguza eneo la ajali, walikuta ndege hiyo ikiwa imebeba takriban kilo 200 za kokeini zilizokuwa zimefungwa katika...
  12. JamiiForums Tanzania Ajali ya basi na Fuso yaua watu tisa na wengine kujeruhiwa

    Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, watu tisa wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa ajali wilayani Chemba, Dodoma. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyohusisha basi la abiria na lori la mizigo aina ya Fuso. Miili ya...
  13. JamiiForums Tanzania Familia yateketea kwa ajali Msata

    Ni familia ya Mr. Kaggi ya Masaki DSM walienda kwenye mazishi ya mama mzazi wa Mr. Kaggi huko Raskazone Tanga. Wakati wanarudi walipata ajali, alipona mke wa Mr. Kaggi na msichana wa kazi. RIP --------------- Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kisutu Dar es Salaam, Sophia Makange akisaidiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ajali Rufiji: Mwenyekiti wa CCM Kilwa na Wengine Watatu Wafariki, 28 Wajeruhiwa

    Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Jakaya: Gari lililopata ajali kwenye msafara si langu

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (JK), amekanusha taarifa zilizodai kuwa gari lililoanguka katika msafara wake lilikuwa gari lake binafsi, akieleza kuwa yeye hakuwepo ndani ya gari hilo. Akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

    Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni. Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa. Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu. Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

    Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Takwimu na hatua dhidi ya ajali za barabarani

    Je, wahusika wa usalama barabarani wamejiwekea malengo gani kwenye kupunguza ajali za barabarani? Kwasababu, wanachi hatupewi takwimu zinazonesha kupungua kwa ajali za barabarani, hatua zinazochukuliwa dhidi ya wahusika wanaosababisha ajali ambazo zimekuwa zikitokea au mpango mkakati wa kupungua...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania hasira zimekuwa kubwa sana jamaa kapata ajali ya pikipiki ambayo ni ya CCM imemlalia wanampita wakimwambia mitano tena.

    Siku hizi naona kama pikipiki za CCM zile za samia watu waliopewa wanaanza kuogopa kutembelea hata wakipeleka kwa mafundi na mafundi nao hawa zitaki,Mtaani zikipaki zinatengwa na wanazengo. Sasa kuna tukio limetokea jamaa kada mtiifu kapata ajali pikipiki anayotumia ikamlalia hakuna hata...
  20. JamiiForums Tanzania Rai yangu ni picha za majeruhi hoi na kukatwa viungo kutokana na ajali za boda zisambazwe kwa hawa madereva boda boda labda wanaweza kubadirika.

    Yani boda boda na kujitoa ufahamu..:👇🏻
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…