aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maofisini kuna aina ya watu uwepo wao ni kero kwa wengine

    Jitahidi sana maisha yako yawe baraka kwa wengine hata ukitoka sehemu watu waone wamepungukiwa , kuna aina ya watu huwa wakitoka sehemu watu waliobakia wanasema afadhali hayupo , hii ipo sana maofisini kuna aina ya watu uwepo wao tu ni kero kwa wengine hadi wafanyakazi wenzake wanaomba dua...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je aina hii ya tattoo ndio signal yao?

    Kuna kitu sikielewi kabisa, kwanza niwe mkweli mimi napenda sana pisi kali zenye english figure aka models hivi Kupenda kwangu aina hio ya wanawake kumenifanya niangukie mara kadhaa kwa mabinti ambao ni 'wakoboaji' Cha kushangaza zaidi wengi wao huwa wana tattoo begani kama hii picha hapa...
  3. JamiiForums Tanzania Samaki aina ya Mbasa wanauzwa Mbeya mjini.

    Samaki aina ya Mvasa wanauzwa Mbeya mjini. Bei inategemeana na ukubwa wa samaki, kuanzia 15,000/= hadi 45,000/= wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  4. JamiiForums Tanzania Je, Ni Lazima Utumie SPSS Katika Kila Aina ya research unayoifanya?

    Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu kuanalyse data Je ni lazima utumie SPSS kwenye kila aina ya research unayoifanya? Twende...
  5. JamiiForums Tanzania “Usile nyama siku ya IJUMAA KUU”. Je, ni nyama aina gani ruksa kuila siku hii?

    Ijumaa Kuu; (ambayo ni sehemu ya Wiki Takatifu kwa Wakristo, hasa Wakatoliki), waumini wengi hufuata utaratibu wa kikanisa kama kufunga na kujinyima, ikiwa ni pamoja na kutokula nyama ya wanyama wa nchi kavu kama vile: Ng'ombe Kuku Mbuzi Kondoo Nguruwe Nyama inayo ruhusiwa siku ya Ijumaa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza kwa oda kitchen cabinets. Showcase, tv units za kisasa. Makabati Aina yote. Kwa Bei mafuu kabisa

    Karibu sana boss
  7. JamiiForums Tanzania Ulaji Chakula cha Aina Moja Chatajwa Chanzo cha Udumavu, Sylvia Sigula Ahoji Bungeni

    ULAJI CHAKULA CHA AINA MOJA WATAJWA CHANZO CHA UDUMAVU, SYLVIA SIGULA AHOJI BUNGENI Serikali imesema kuwa moja ya sababu za udumavu wa watoto katika baadhi ya mikoa nchini ni tabia ya ulaji wa chakula cha aina moja, licha ya mikoa hiyo kuongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula. Kauli hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Kama unatumia Simu aina hii inabidi ufanye update kwenda android version 15

    Baada kucheleweshwa kwa muda mrefu kuachiwa kwa update ya Android version 15 kwenye baadhi ya vifaa vya Samsung device hatimaye wametoa list la simu inabidi wafanye update kupata android Version 15 kwenye vifaa vyao. Update hiyo mpya sio kwamba kutakua na mabadiliko Makubwa hapana ila sana...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini jamaa wa aina hii kwenye picha huwa ni waluga luga sana mtaani🤣

    Utakasikia: "Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya" "Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20" "Niliwahi kuishi Dodoma, nilikuwga nawaitishia wabunge wale watoto wazuri wa udom" 😁
  10. JamiiForums Tanzania Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

    Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini LAND CRUISER 300 ZX nyeusi?

    Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe. Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe. Nimeona pia viongozi wengi wanaotumia LC 300, magari yao ni rangi nyeusi. Naomba kufahamishwa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onyo : Aina 9 Ya Simu Ambazo Sikushauri Kununua

    Kuna aina nyingi za simu , baadhi zinafanya vizuri sokoni na nyingine hazifanyi vizuri na zikiwa na sababu tofauti . Makala hii itaangazia aina za simu zenye matatizo makubwa ambapo sikushauri kununua ikiwa unahitaji na simu nitakutajia matatizo ya kila simu . Pause : Mimi naitwa Mkisi ...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi mnaokulaga mikate usiku au vyakula vilaini laini vya aina hiyo,huwa mnawezaje kupata usingizi?

    Wakuu habari za usiku? Aisee jana hali yangu kiuchumi haikua nzuri,nikaona ngoja ninunue mkate nile nilale,mkate nimeula saa 3 usiku,ila hivi sasa ni saa 9 usiku usingizi umekata kabisa nimeamka kukoroga hata uji ninywe maana sio kwa njaa hii ninayoisikia aisee. Hivi nyie wenzetu hasa wa hapo...
  14. JamiiForums Tanzania WAJUVI NA WATAALAMU WOTE NAOMBENI MSAADA HAYA NI MAWE YA AINA GANI?

    Nimeokota mawe haya yapo kama chupa, swali ni mawe au ni chupa?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki aina sinoray

    Nipo morogoro mjini, pikipiki ni sinoray bado mpya ina miezi 4 tangu inunuliwe documents zote zipo,kwa anahitaji tuwasiliane bei TSh.2200000
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa Othman Masoud: Hatutakubali aina yoyote ya hujuma Zanzibar

    Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo Othman Masoud Othman, amesema Chama hicho hakitakubali aina yoyote ya hujuma zitakazosababisha kutangazwa kwa watu wasiochaguliwa kwa Kura za Wananchi kuwa wawakilishi wa Zanzibar katika vyombo mbalimbali vya maamuzi Amesema kuna jitihada mbali mbali...
  17. 3

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya Toyota Noah mbona yanaibwa sana

    Mambo vipi. Kwa wajuvi wa mambo hebu tuelezeni mbona tukisoma taarifa nyingi za habari kuhusu wizi wa magari utakuta ni Toyota Noah zinaibea sana na zaidi hasa Kilimanjaro na pia Nairobi. Zina ni I hasa Hadi wezi waziibe sana? Pia unafanyaje ili ulinde gari lako dhidi ya wezi wa namna hii?
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate. Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli Gharama yake used na mpya, Upatikanaji wake wa spare, Specification zake. Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TV aina ya ZUNE

    wajuzi tv aina ya zune ni bora nimeiona littlemore nikaipenda
  20. R

    JamiiForums Tanzania Sabufa aina ya Rising inauzwa

    wakuu na mali nyingine inauzwa Sabufa mpya kabisa japo imetumika, aina ya Rising mdundo wa maana Hometheatre Haoni ndani, Bluetooth, FM Radio, SD/MMC Card, Flash Disc kama kawaida. Bei sawa na Bure 120,000 tu. Nicheki 0784 884 950. Location Vikindu Mkuranga Pwani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…