aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Hizi kesi za wanaume wa leo ni AIBU sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

    Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako mke...
  2. Hizi kesi za wanaume wa leo ni aibu sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

    Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada, Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako...
  3. Vibao vya Makazi vingekuwa aina moja nchini, Masasi DC ni aibu nyingine

    Nimeona na baadhi ya maeneo uwekaji wa vibao vya barabara na mitaa namna ambavyo imeacha maswali kwa wananchi, binafsi nimeyakuta haya Masasi hasa vijiji vya Masasi Dc. Wakati zoezi linaanza nilifikiri pengine utaratibu mpya wa kupata majina na vibao elekezi vya mitaa na barabara lingefanyika...
  4. Serikali ya Tanzania ifute SAPU kwa Master's Level! ni aibu na mfumo wa kitoto

    Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu! Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo ambalo mtu hajafanya vizuri! au akipewa mtihani kama anatakiwa kupata A apewe sio kulazimisha marks...
  5. Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Waziri wa Maliasili na utalii Mh Pindi Chana amesema kuna tangazo limekuwa likizunguka kwenye mitandao kuhusu usafirishaji wa wanyamapori ambalo lilizua taharuki toka jana. Hivyo kwakuwa yeye ni Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utalii ametangaza kusitisha mara moja usafirishaji wa...
  6. Je, waandishi wa Biblia hawakuona aibu kufanya ‘Plagiarism’ ya wazi wazi kwenye ‘Vibao vya Sumeria’ na kufanya editing bila aibu kabisa?

    Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na wajanja wachache (hasa Warumi) katika kukamata na kupumbaza akili raia katika himaya zao, hii...
  7. Ni aibu sana mwanaume mwenye umri 35 na kuendelea kukosa uwekezaji wa kuanzia millioni 30

    Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti. Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu kweli halafu...
  8. Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

    Kwa muda wa takribani wiki mbili tangia niingie Dar es salaam nimejikuta na duwaa kwa kuwashangaa vijana na wanaume wanaovaa vipensi vifupi vinavyoonyesha mapaja. Je? Msingi wa jambo hili ni nini maana kimaadili halijakaa sawa. Hivi ni kweli vijana hawa hawaishi na watu wazima ambao wanaweza...
  9. N

    AIBU: Tanzania haina bus la parade kwa mabingwa kuonyesha kombe,Utopolo kakodini zambia

    Amini usiamini nchi nzima hii haina bus yale kama yanayotumika nchi zilizoendelea kufanya city guiding tourism , yaani huku team ikishinda ni wachezaji na benchi la ufundi ni kupakizwa kwenye ma fuso au tandam, Godamn it Natoa rai kwamba msogee hapo zambia tu mkakodishe hili bus ndugu zangu...
  10. Makosa kama haya ni aibu kubwa kwa nchi yetu

    Hebu jionee mwenyewe
  11. Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  12. Waziri wa Nishati sio mbunifu kutuondoa kwenye matatizo yanayosababishwa na umeme. Hajui nchini kuna Uraniun?

    Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme. Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha...
  13. N

    V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

    Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais...
  14. N

    AIBU AIBU: SENZO , MANARA WAPOST PICHA ZA MWAKA JANA KUDANGANYA

    AISEE sikutarajia kwa mtu kama Senzo, kwa msukule hiyo inajulikana linaishi mjini kwa ulaghai, uongouongo na kujipendekeza, hivi jana nani hajaona hali halisi ya uwanja , hii kujidanganya ni kujitia dole la masaburi na kujinusa , what a shame Msukule hauna impact ya kujaza uwanja bwana...
  15. Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

    Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa. Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa! Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani. Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii! Wanaume wa Dar es salaam...
  16. L

    Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  17. N

    Rais kujali uzinduzi wa movie kuliko Siku Muhimu ya Muungano ni aibu kubwa sana

    Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania. Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo. Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje...
  18. Tetesi: Aibu bandari ya Tanga shehena ya clinker inayoelekea Rwanda imekwama

    Wheel loader pekee iliyokuwa inafanya shughuli ya kupakia shehena ya clinker kuelekea Rwanda imeharibika tena tokea majuzi na operation ya kupakia shehena ya clinker imekwama hali iliyosababisha msongamano mkubwa wa maroli bandarini hapo. Ikumbukwe wheel loader lile lilianza kuharibika tokea...
  19. Simba; sawa tunajua mnapenda uchawi, ila ndio muufanye bila kificho hata ugenini? ni aibu sasa hii

    Ni nini huu upuuzi?
  20. S

    Aibu: Picha za Mameya wa jiji la Dar tokea Uhuru zimebandikwa ukumbi wa Karimjee isipokuwa ya Isaya Mwita

    Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu. Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya Uhuru, Mpaka Meya huyu wa Sasa. Wanatambua Mameya wa Kizungu na Kihindi ila Wamegoma Kutambua Meya wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…