aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Nje ya nyumba ya Rais Mstaafu Mwinyi, Mikocheni mitaro imejaa maji, imeziba

    Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu. Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda...
  2. Ni Aibu Afrika Nzima Kutegemea 40% ya Ngano Kutoka Ukraine

    Vita ya Ukraine imesabaisha masuala mengi ikiwemo mahitaji ya vyakula kwa bara la Afrika yajulike kwa udhaifu wake. Kwa mujibu wa ripoti ya BBC iliyochapishwa wiki hii imeonesha Bara la Afrika lenye nchi zaidi ya 55 likitegemea kiasi cha asilimia 40 ya ngano kutoka Ukraine na Urusi. Mpaka sasa...
  3. D

    Waafrika wanatia aibu sana

    Tukio lililotokezea hivi karibuni kwa Mmilikiwa Club ya Napoli nchini Italia kuzungumzia kuwa kwa sasa hatapendelea tena kusajili wachezaji kutoka Africa kwa sababu ya kuwa wamekua wakim cost sana inapokuja suala la wao kwenda kucheza AFCON kati kati ya msimu Limegeuzwa na kufanywa kuwa ni jambo...
  4. Moshi: RPC afafanua vielelezo vya wizi kuibwa Kituo cha Polisi na Askari Polisi kuchangishana kumlipa mwenye mali

    Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo hicho. Vitu hivyo vilivyoibwa Julai 26, 2022 ni...
  5. M

    Ni aibu kubwa, vijana wa kiume kuishi kwa kukata viuno kwenye mabaa ili kupata riziki. Kwa nini wasilime?

    Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance. Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga? Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
  6. N

    AIBU KUU:KITENGO CHA GRAPHICS KILISAHAU KUBADILI FONTS "MATOKEO YA 12-0"

    Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o notice vitu vidooogo kama vile FONTS zilizotumika...kwenye picha ya okrah weupe haujatolewa vizuri...
  7. N

    Aibu kuu: Uongozi wa Hersi/Arafat ni lainilaini sana, mnakosea

    Hii siyo yanga ninayoijua, kuwa upande wa mwenye mapesa siyo kigezo cha kuweza uongozi, yanga ni ngangari tangu enzi hizo siyo watu wa mchezomchezo muulize Iman madega na wenzake waliowahi kuvamiwa nyumbani kwao, watu shakula bakora sanaa pale jangwani Sasa jana afisa mkubwa wa klabu...
  8. Miundombinu ya Arusha na Moshi inaleta aibu katika soko zima la utalii na uwekezaji

    Katika kipindi hichi cha mwezi wa sita hadi mwishoni mwa mwaka tumeshuhudia kabisa idadi ya watalii ilivo kubwa na inazidi ikiongezeka kadri siku zinavyozidi kwenda katika miji hii miwili ya kitalii. Ni aibu kwa mji wa kitalii kama Arusha na Moshi kuwa na aina ya masoko na vituo vya mabasi...
  9. GSM mna nafasi ya kulinda utu na kumfichia aibu Manara

    Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc. Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni ngumu kumshauri chawa wa kiwango cha kupe, tumeona ni busara kutoa ushauri wa ng'ombe mwenyewe GSM...
  10. M

    Uovu wa Marekani umekithiri! Bila aibu inadhani inaweza kuishawishi India na China kudhulumu mafuta ya Urusi

    Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
  11. Sioni aibu kukiri! Paul scholes

    Huyu ni fundi aitwae Paulo Scholes, kaona alitoe la moyoni kuhusu mchezaji huyu kuwahi kutokea.
  12. Makongamano ya aibu na makongamano ya haiba

    (sehemu 1) Kwa mada hii nilikuwa na vichwa vingi vya kumwaga. Kwa mfano, ningeliweza kuiita “WAAFRIKA HATUKO SAWA NA WENGINE” au “WAAFRIKA WAMOJA, HATUVAI MBILI.” Vichwa vyote hivyo vingeliweza kuwa muhtasari sahihi wa maudhui ya mada hii. Ninasema kwa jinsi tunavyofikiri, kuamua na kutenda...
  13. Kesi ya Mdee na wenzake 18 yaitia aibu CHADEMA

    Sisi wanachama wa CHADEMA tunataka kuona, kusikia na kufanya mambo yanayosaidia kujenga, kukuza na hatimaye CHADEMA kuingia ikulu. Kwa mara nyingine CHADEMA imenasa kwenye mtego wa ulimbo wa CCM. CHADEMA Inahangaika na kuwaondoa wanawake wao bungeni kwenye uchaguzi ambao cHADEMA walikataa...
  14. Spika Tulia Ackson simamia ubora wa bunge na michango yao Hii ni aibu nyingine

    Ni aibu nyingine imejitokeza bungeni kwa mbunge kuisimanga nchi jilani. Bahati mbaya anapoongozwa na Mbunge mwenzake haoni sababu ya kuona kosa lake. Lakini anapoonywa na Waziri, anakubali kurekebisha kosa. Kuna mambo matatu; Kwanza Mbunge hajitambui kabisa! Pili mbunge haoni sababu ya...
  15. S

    Hivi Bungeni ni lazima kila mbunge achangie hoja? Babu Tale anatia aibu Sana

    2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu (hapana, uchafuzi mkuu ) uliowaingiza bungeni watu wasiofaa kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi. Hawatambui hadhi yao, Hawatambui majukumu yao, Hawajui chochote. Miongoni mwa watu hao ni Babu Tale. Akisimama bungeni ili atoe mchango wake mimi huwa naanza kuona...
  16. F

    Usajili wa Morison aibu kwa mpira wa Tanzania

    Kwa tunavyofahamu mpira ni kazi kama zilivyo kazi zingine na mtu ili apewe kazi tabia na mwenendo ni kitu muhimu sana. sasa record za Morrison hazirizishi hata kidogo na kundelea kubaki kucheza Tanzania akilipwa ni dhararu ndio kitu kinampa jeuri, hii itawapa nafasi hata wachezaji wengine...
  17. Ushauri: Mtendaji Kata na Mratibu Elimu Kata ya Kifuru(DSM). Kuhusu uzio Shule ya Msingi Kifuru, wafichieni aibu hawa Watoto na walimu wao

    Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha. Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
  18. Kampeni za kumchafua Hayati Magufuli zimekwama

    Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM? Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika. Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua. Hii ni ngumu...
  19. Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

    Salaam Wakuu, Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa. Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha...
  20. J

    Nilichoshuhudia ni aibu, viongozi BAVICHA ni weupe kichwani, CHADEMA mna kazi sana ya kuwafundisha kujenga hoja na kufanya utafiti

    Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo. So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…