aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    AIBU: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam walipeni wafanya usafi wa Soko la Ilala, hali ya soko ni mbaya

    Habari zenu wakuu! Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
  2. S

    Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

    Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo. Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya...
  3. TAKUKURU hii Rushwa Kubwa na ya aibu katika Soka la Tanzania kwa sasa hamuioni au mnaifurahia ije Kutugharimu?

    Leo nasema (naandika) hapa wazi wazi kabisa kuwa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League imeshaharibiwa kwa Rushwa zilizovuka Viwango ambavyo GENTAMYCINE siogopi na sioni Aibu kusema kuwa zimechochewa na Utajiri wa hawa Matajiri Watatu Gharib na GSM yake, Yusuf na Azam yake na Mo na Mohammed...
  4. Niliyoyaona jana kwenye ATM ya NMB Gongolamboto yanatia aibu kwa watumishi

    Nilikuwa napita jioni kuelekea job. Si mnajua night shift zetu walinzi ndugu zangu. Nilikuwa nimempa lift mfanyakazi mwenzangu tukitokea Chanika. Sasa nafika NMB Gongolamboto nikiwa barabarani jamaa akaniambia ona ile foleni, nikacheki kushoto nakuta foleni ya haja. Nikakumbuka kuwa ni tarehe...
  5. Timu zetu za Kiafrika zitaleta aibu kama kawaida

    Nawaangalia Senegal, hii mechi wangecheza kiume wangeshinda, lakini wanapaka paka sana rangi mpira. Wangeingia na ile ari ya miaka ile ya Cameroon na Nigeria. Mpira magoli, haina haja ya kupaka paka rangi. Mnapata, mnakimbiza golini, mnachana nyavu. Nao wanataka pasi na chenga za kipuuzi. Sijui...
  6. L

    ITV mmenifanya kujiskia aibu na kipindi chenu cha kipima joto.

    Kipindi chenu cha kipima joto cha leo, hakikuwa na mvuto sababu ni staged! Hakina mvuto sababu kama Taifa bado tunasafari ndefu sana! Mambo muhimu kama ya umeme, maji , Afya, Elimu etc ,tuweke mambo ya siasa mbali, tuwe na focus kama nchi! hao ilipaswa waulizwe maswali ambayo hayakupangwa...
  7. Kwa mpira huu wanaocheza Ubelgiji nawashauri wasiende Qatar kuepuka aibu

    Naangalia mechi kati ya Misri na Ubelgiji hapa na ninaona hawa Wabelgiji warudi nyumbani kwao kuepuka dhahama kwenye Kombe la Dunia. Beki zinakatika na kutoa maboko, haziwezi kufanya marking wala kukaa man to man. Forward hazifanyi attempt yoyote zaidi ya kupiga back pass. Wameshapigwa 2 bila.
  8. Timu za Afrika zinaenda kupata aibu Kombe la Dunia Qatar 2022

    Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto. Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi...
  9. F

    UDSM kuteseka na mgao wa maji ni aibu kwa Maprofesa na wasomi waliojaa UDSM

    Habari wadau Ninajiuliza why chuo kikuu chenye wasomi wengi.. cream of the nation kinashindwa kutatua tatizo la maji hata kwa matumizi yao tu ya chuo kikuu Udsm wanategemea dawasco.. yaani dawasco wakikosa maji.. na chuo kikuu nacho kinateseka sawa sawa na mitaa yetu ambayo imejaa la 7b...
  10. M

    Kinondoni tunalipa hela za taka ila magari ya kuzoa taka hatuyaoni

    Mhe. Mkuu wa Mkoa leo unakabidhi vifaa vya usafi hapa Makumbusho, lakini sisi wakazi wa hapa tunasikikitika kuwa mataka taka yamejaa kwenye majumba na mitaa yetu, hayachukuliwi kwa wakati huku tunalipa ada zetu kilamwezi. Mfano, sisi wakazi wa Bwawani gari hatulioni mtaani na pia kwenye eneo...
  11. P

    Mbinu ya Majaliwa kuficha aibu na Kazi ya Serikali ya lazima ya uokoaji

    Mimi ni mmoja wa walioamini katika story ya Majaliwa Jackson kijana wa kihaya aliyeokoa abiria siku ile ya ajali ya Ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nilipomuona anaongea katika runinga akihojiwa na mtangazaji wa TBC asubuhi baada ya ajali kutokea jana yake nikaamini nilichokiona. Kijana ameucheza...
  12. Hadi aibu, Warusi kwa uwoga wao walipua daraja huku wakitoroka

    Jameni wazalendo wa Ukraine wanatembeza moto hadi naumwa aki ya nani, Warusi wameona ili kupunguza kasi ya kufukuziwa, wamelipua daraja na kutoroka. Ukrainian armed forces have retaken another part of the Kherson region — the village of Tyahinka, near the strategic town of Nova Kakhovka —...
  13. Namshangaa mke wangu ananunua sana CHUPI kuliko Sindiria ona sasa matiti yanadondoka TUBWi, hadi wa Ng'ambo wanaliona TITI lililo lala ni aibu

    Miaka kadhaa iliyopita nikiwa maeneo ya Namanga Makangira nikiwa njiani kuelekea kanisa la St Peter pale, nilipofika karibu na shule ya msingi Mbuyuni Kuna gari moja ilitokea Mwenge, karibu na Mbuyuni palikuwa na kijishimo uchwara yule bwana aliendesha gari Kwa kasi na kunimwagia Yale maji(kama...
  14. M

    Guardiola kwa aibu achezesha Waafrika Mancity lakini bado hatujaridhika

    Mzuka Wanajamvi! Baada ya kelele na malalamiko Pep Guardiola kocha wa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Manchester City amewapa nafasi za kudumu na kuwachezesha waafrika wawili Ake na Manuel Akanji. Wachezaji hao wanacheza katika safu ya ulinzi na wameweza kumudu vyema. Kwa hilo...
  15. F

    Mechi ya marudiano ya yanga na club African nchi inaenda kuingia kwenye aibu ya karne

    Kwa Ile mechi ya awali dakika za mwisho waarabu walionyesha kile watakachoenda kukifanya kule kwao..ni suala la muda tu,tunaenda kupata aibu. Mwarabu anajua yanga watataka kupata goli la ugenini na hapo ndio watakapofungulia turbo huku wakichagizwa na vibe la mashabiki wao lukuki...
  16. T

    USHAURI: Mwakani Simba Sc na Simba Queens tu ndio zikashiriki CAF champions league ili kuepusha aibu kwa taifa

    Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine bali ni Simba sc na Simba Queens. Washiriki wengine wamezidi kulitia aibu taifa.Ni wito wangu kwa...
  17. Bunge la 12 : Mkutano wa 9 Kikao cha 5 ni aibu - why viti ni vitupu, wabunge ni watoro?

    Team, Hi! Bunge letu linaendelea lkn kinachonishangaza ni hiki - kwa nini vitu katika ukumbi wa mikutano vinaonekana vitupu? (a). Wabunge wanadoji vikao? (b). Wabunge wengi wana kazi za nje ya bunge kipindi hiki cha vikao vya bunge? (c). Posho za vikao kwa wabunge hao zinalipwa kwao au...
  18. M

    Hii ni kutaka kuficha aibu: Marekani ilishapeleka ulinzi wa anga Ukraine lakini Ukraine inapigwa kila leo na Urusi

    Baada ya Ukraine kuchakazwa na makombora na drones za urusi, Marekani inajinasibu kuwa itapeleka huko ulinzi wa anga /air defenses wa kiwango cha juu ili kulinda anga la ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi. ======= US air defense systems to arrive in Ukraine soon – Pentagon Amid an onslaught...
  19. M

    Aibu kubwa kwa taifa letu kuwa na taasisi kama Tahliso ambayo haijui kuwa Chadema wana haki kikatiba kukubali au kukataa hoja za kikosi kazi

    Mtu upo chuo kikuu unashindwa kutambua kuwa haki za kimsingi zimeanishwa wazi kabisa kuanzia ibara ya 13 - 29 ya katiba ya JMT Unabaki kubwabwaja hovyo kama unahara. Sio kila kinachofanywa na serikali hakitakiwi kupingwa inategemea. Ndio maana ibara ya 18 ya katiba ya JMT inatoa haki ya...
  20. Nilipoteza fahamu kuzinduka nikajikuta nipo kwa mganga wa Kienyeji

    NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI Anaandika, Robert Heriel Loveboy Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18! Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…