ahukumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Babati: Gurtu Sirro ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuuza meno ya tembo

    Hukumu hiyo ilitolewa na hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Victor Kimario. Kimario, akisoma hukumu hiyo ya uhujumu uchumi ya mwaka 2023, alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 17 katika Kijiji cha Matufa, wilayani Babati. Alisema mshtakiwa alikutwa amebeba meno matatu ya tembo...
  2. Afisa Usalama Feki ahukumiwa jela miezi 3

    Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara imemuhukumu Patrick Wambura (34) Mkazi wa Bariadi Mkoani Simiyu kutumikia kifungo cha miezi mitatu gerezani kwa kosa la kujifanya Afisa Usalama wa Taifa. Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Victor Kimario...
  3. Sudan: Mpinzani Mkuu wa Rais ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa mashtaka ya ugaidi

    Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua...
  4. O

    Baba ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzaa na binti yake

    Kibaha. Hakimu Mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Yudith Lyimo amemhukumu kifungo cha miaka 40 jela, na viboko 12 mkazi wa ‘Kwa Mfipa’ Kibaha, Fadhiri Msham kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanawe wa kumzaa na kumpa ujauzito. Mbali na adhabu hiyo pia Msham ambaye...
  5. Mbeya: Shoga ahukumiwa miaka 30 jela

    Mahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa...
  6. O

    Houseboy' ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua bosi wake

    Arusha. Mfanyakazi wa ndani wa kiume (house boy), Ismail Sang'wa (28), amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua kwa kumkata shingo na panga aliyekuwa mwajiri wake Emily Kisamo (52) Kisamo alikuwa Ofisa wa Intelijensia wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini (Tanapa). Hukumu hiyo...
  7. Ufaransa: Mwanamuziki wa Morocco ahukumiwa miaka 6 jela kwa kesi ya Ubakaji

    Saad Lamjarred (37) amekutwa na hatia katika kesi hiyo dhidi ya msichana mwenye umri mdogo ambaye Mahakama haijamuweka wazi, ikidaiwa alitenda tukio hilo hotelini Mwaka 2016. Mara baada ya hukumu kusomwa Jijini Paris, Lamjarred hakuonesha mwitikio wowote na muda mfupi baadaye akawekwa...
  8. R. Kelly ahukumiwa kifungo cha miaka 20 kwa uhalifu wa Kingono

    R. Kelly amehukumiwa kifungo kingine cha miaka 20 huko Chicago kwa kesi yake ya uhalifu wa ngono ya mtungo. Mwimbaji huyo alikuwa katika mahakama ya shirikisho huko Illinois ambapo miaka 19 kati ya miaka hiyo atatumikia kifungo sawa na kifungo anachotekeleza sasa. Waendesha mashtaka...
  9. Aliyemuua rapa Nipsey Hussle ahukumiwa miaka 60 jela

    Eric R. Holder, Jr. amekutwa na hatia ya kufanya mauaji ya mwanamuziki ambaye jina lake halisi ni Ermias Asghedom tukio lililotokea Mwaka 2019, Los Angeles. Hussle alikuwa baba wa watoto wawili aliowapata na nyita wa filamu, Lauren London, aliuawa akiwa na umri wa miaka 33 katika tukio ambalo...
  10. Arusha: Aliyemuua mwanaye kwa kugomea Jando ahukumiwa Kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watatu wakazi wa mkoani Arusha akiwemo baba aliyemuua mwanaye wa kidato cha pili baada ya kugomea jando. Hukumu hizo zimetolewa leo Jumatano Februari 15, 2023 baada ya watuhumiwa hao kutiwa hatiani na mahakama hiyo katika...
  11. Mwanamme aliyemchinja kichwa mkewe ahukumiwa kifungo cha miaka nane jela

    PICHANI: Binti mdogo Mona aliyekuwa mke wa muuaji aitwaye Sajjad Heydari. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja nchini Irani amemchinja pichani juu binti aliyekuwa mkewe kutokana na kumkimbia kwa sababu mateso na manyanyaso ndani ya Ndoa yao. Binti huyo mdogo aliolewa akiwa na miaka 12 na...
  12. Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Watalamu wa sheria hii imekaaje, kifungo cha maisha hapo hapo miaka mitano jela hapo hapo faini Sema mwamba shujaa sana unamvua mwenzio ubigwa mbele za watu Source Azam tv
  13. Arusha: Afungwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa miaka 10

    Mahakama ya Wilaya ya Arusha, imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Godlisten Kibwana (22), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kiume wa miaka 10. Kibwana ambaye ni mkazi wa eneo la Mianzini, jijini Arusha amehukumiwa adhabu hiyo leo Alhamisi, Desemba 29, 2022 na Hakimu Mkazi...
  14. Arusha: Ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka mtoto

    Mkazi wa kijiji cha Geilailumbwa kilichopo wilayani Longido mkoani Arusha, Lemindia Lesiria amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka binti mwenye umri wa miaka 16. Mbali na kosa hilo mtuhumiwa huyo na rafiki yake, Kulasa Mandeu wamekutwa na hatia katika makosa...
  15. Nigeria: Shehe ahukumiwa kifo kwa kukufuru

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi kupitia baadhi ya mahubiri yake, ingawa anakanusha mashtaka hayo. Kabara (52) anashikiliwa na mamlaka tangu Julai 2021 alipotuhumiwa. Kano ni...
  16. Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumtupa mtoto wake Mto Ruaha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopewa mamlaka ya ziada mkoani Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Abuutwalib Seif (34) Mkazi wa Igumbilo, baada ya kukutwa na hatia ya kumuua kwa kumtupa mtoto wake Khadija Seif (5) mto wa Ruaha. Mtoto alikuwa ni mlemavu wa viungo. Akisoma kesi hiyo jana Hakimu...
  17. Tabora: Aliyeua mtoto baada ya kumkuta mama yake na ARV ahukumiwa kifo

    Hukumu imetolewa na Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora dhidi ya Haruna Ndayanze baada ya kumkuta na hatia ya mauaji hayo kwa madai alibaini Mama wa mtoto anatumia Vidonge vya Kufubaza Virusi vya UKIMWI. Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya, Demetrio Nyakunga alisema Mahakama imeridhika na ushaidi na...
  18. Argentina: Makamu wa Rais ahukumiwa Kwenda jela 6

    Mahakama imetoa hukmu hiyo kwa Cristina Fernandez de Kirchner mwenye umri wa miaka 69, kutokana na kumkuta na makosa ya rushwa Kiongozi huyo amedaiwa kutumia vibaya madaraka yake kwa kutoa kandarasi ya umma kwa rafiki yake, lakini hataweza kutumikia kifungo hicho hadi rufaa yake itakapokamilika...
  19. Muandamanaji ahukumiwa kunyongwa Iran, atuhumia na kosa la kuwa 'adui wa Mungu'

    Atanyongwa kwa kuandamana, kosa lenyenye wanaliita "moharebeh" (enmity against God)', au adui wa "mungu". Hata hivyo maandamano yako pale pale. Acourt in Iran has issued the first death sentence to a person arrested for taking part in the protests that have engulfed the country, state media...
  20. Musoma: Afungwa miaka 30 jela kwa kumbaka mlemavu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma Mkoa wa Mara imemhukumu kwenda jela miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Kibubwa Wilaya ya Butiama, Juma Ligamba (40) baada ya kupatikana na kosa la kubaka kinyume cha sheria. Mahakama hiyo imemtia hatiani, Ligamba baada ya kuthibitika kuwa alimbaka binti mwenye umri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…