ahukumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Raia wa Ufaransa ahukumiwa Azerbaijan miaka 10 jela kwa kosa la Ujasusi

    Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti. Mamlaka ya mji mkuu Baku...
  2. R

    Mwanamtandao Zambia ahukumiwa jela miezi 18 kwa kumtukana Rais

    Ethel Chisono Edwards, anayefahamika mtandaoni kama One Boss Lady, amehukumiwa na mahakama ya Lusaka baada ya kukiri kosa la kuchapisha maneno ya kumdhalilisha Rais Hakainde Hichilema. Hukumu yake imekuja licha ya hatua ya rais huyo mwaka 2021 kufuta sheria ya makosa ya kumkashifu rais —...
  3. Q

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ahukumiwa kifo kwa kuua waandamanaji 1,400

    Waziri mkuu aliyeondolewa madarakani nchini Bangladesh Sheikh Hasina amehukumiwa kifo na mahakama ya Dhaka bila kuwepo mahakamani kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kutokana na mandamano makubwa yaliyoongozwa na wanafunzi mwaka jana. Mahakama ya majaji watatu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu...
  4. Waufukweni

    Tunisia: Mtu mmoja ahukumiwa kifo kwa kuchapisha maneno ya kumkosoa rais Facebook

    Raia mmoja wa Tunisia, Saber Chouchane (56), amehukumiwa adhabu ya kifo kwa kosa la kuchapisha kwenye mtandao wa Facebook, maneno yanayodaiwa kumkashifu Rais Kais Saied na kudhalilisha vyombo vya usalama. Hukumu hiyo ilitolewa jana Oktoba 3, 2025 na imekuwa gumzo nchini humo. Mawakili wa...
  5. DuaZaMama

    Rais wa zamani wa Brazil Ahukumiwa miaka 27 jela

    Rais wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kupanga njama ya kupindua serikali halali iliyochaguliwa mwaka 2022. Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu ya Brazil, ambapo jopo la majaji watano lilimkuta na...
  6. F

    Muinjilisti ahukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka mtoto wa mwaka 1 Pangani

    Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (miaka 55), Mkristo, Muinjilisti na mkazi wa Raskazoni Tanga, baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4. Akisoma hukumu hiyo jana tarehe 10...
  7. JanguKamaJangu

    Simiyu: Luth Jacob (umri Miaka 50) ahukumiwa Miaka 30 jela kwa kumbaka Mtoto wa Darasa la Tano

    Mahakama ya Wilaya ya Maswa imemhukumu Luth Jacob, mwenye umri wa miaka 50 na mkazi wa Kijiji cha Mwanundi, Kata ya Sengwa, kifungo cha miaka 30 jela pamoja na faini ya shilingi 300,000 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 15. Katika kesi...
  8. Loading failed

    Mwanamke ahukumiwa kwa kula nauli ya mwanaume, Nigeria

    Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer...
  9. kadiri kasimba

    Ahukumiwa miaka 7 jela Kwa kula nauli ya mwanaume!

    Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume 30,000 ambayo alitumiwa na mwanaume Emmanuel kisha hakwenda kwa mwanamume huyo. Mwanamke huyo alishtakiwa na mwanaume ambae alituma nauli hiyo kwa kusema...
  10. The Zanzibar Echo

    Mwanajeshi wa Marekani ahukumiwa kwa kufanya ujasusi kwa ajili ya China

    Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii. Jinchao Wei, 25, alipatikana na hatia ya mashtaka sita, ikiwa ni pamoja na ujasusi, njama ya kufanya ujasusi...
  11. Abdul Said Naumanga

    Botshwana: Mwanamke wa Kitanzania Ahukumiwa kwa Kosa la Kukutwa na Bhangi

    Tarehe 11 Agosti 2025, Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Broadhurst, nchini Botswana, ilitoa hukumu dhidi ya raia wa Tanzania, Emma Sezary Beda (42), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la umiliki wa dawa za kulevya aina ya “dagga” (bhangi). Kwa mujibu wa taarifa za Jeshi la Polisi la Botswana, tukio...
  12. R

    Mgombea wa Republican ahukumiwa Miaka 80 jela kwa kuandaa Mashambulizi ya Risasi dhidi ya wapinzani wake wa Democratic

    Mwanasiasa wa chama cha Republican nchini Marekani, Solomon Pena, ambaye alishindwa kwenye uchaguzi wa jimbo la New Mexico mwaka 2022, amehukumiwa kifungo cha miaka 80 jela kwa kuandaa mashambulizi ya risasi kwenye nyumba za maofisa wa chama cha Democratic. Mashambulizi hayo yalifanyika katika...
  13. R

    Mwanaume wa miaka 23 ahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi County ya Lamu

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 23, Lukman Ismail Athman maarufu kama Jelal, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Lamu kwa kosa la kumbaka mara kadhaa mwanafunzi wa Darasa la Tisa kati ya Novemba 14 na 24, 2024 katika eneo la Paradise, Langoni. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu...
  14. Intelligent businessman

    Balthazar Engonga ahukumiwa kifungo Cha Miaka 18 jela

    Balthazar Engonga Ebang ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela leo Julai 2, 2025, kwa ubadhirifu wa pesa za serikali, utajiri haramu na matumizi mabaya ya madaraka. Inasemekana alifuja zaidi ya Faranga bilioni 1, huku sehemu yake ikiwa ni Faranga milioni 910. Pia alipigwa faini ya faranga za CFA...
  15. M

    Mwandishi wa Star Tv, Aloyce Nyanda aamriwa kumlipa fidia DED Tsh bilioni 2 kwa udhalilishaji wa mtandaoni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imemhukumu Mwandishi wa habari kituo cha runinga cha Star Tv, Alocye Nyanda kulipa faini ya Sh 2 bilioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kufanya udhalilishaji wa kimtandao. Hukumu hiyo iliyosomwa leo Aprili 11, 2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mkoa wa...
  16. JanguKamaJangu

    Morogoro: Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua baba yake mzazi na kumzika

    Mahakama ya Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshtakiwa Amos Martin Masua mkazi wa Kingolwila mkoani Morogoro kwa kosa la kumuua baba yake mzazi Martin Masua (84) mkazi wa Kidunda na kumzika pembeni ya nyumba yake. Hukumu hiyo imetolewa Aprili 4, 2025 na Jaji Aisha Sinda...
  17. Inside10

    Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Hakimu Rugemalila imemhukumu Daudi Mashimo kifungo cha miaka miwili na miezi sita jela baada ya kumkuta na hatia katika mashtaka mawili kati ya matatu yaliyokuwa yakimkabili. Mashimo alikuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuvamia na kuishi kwenye eneo la...
  18. Carlos The Jackal

    Aliyemchoma Mkewe Kwa Mkaa, ahukumiwa Kifo , ila Marehem Dada wa Bilionea Msuya , hakuwahi pata Haki yake

    Hizo ndo Mahakama zetu sasa , Wenyewe Wana Lugha yao utasikia "Technical Errors" https://youtu.be/ydRPqeEjo68?si=fXGHbowBJnoiD4pW
  19. Waufukweni

    Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) ahukumiwa miaka mitatu jela, na faini ya TSh. 500,000

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu 'Chuma cha Chuma', kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya TSh. 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuwepo nchini Tanzania bila kuwa na kibali. Chuma cha Chuma ambaye ni msanii...
  20. didy muhenga

    Mtoto wa senator ahukumiwa kifungo

    Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53 ambae ni sheriff
Back
Top Bottom