ACT Wazalendo imesikitishwa na taarifa na kauli za Serikali zinazotolewa kupitia vyombo vya habari, majukwaa mbalimbali na Bungeni kuhusu mwenendo wa ugharamiaji wa huduma za afya nchini, hususan utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote.
ACT Wazalendo imefanya tathmini na kubaini kuwa, licha ya...
Ilani ya CCM ya 2025-2030 Ibara ya 2.6 inayohusu uimaridhaji Utawala Bora na Demokrasia kifungu (v) wametoa ahadi tatu Kwa Polisi, Magereza, uhamiaji na Zimamoto ambazo ni;-
1. Mishahara kuboreshwa.
2. Mafao ya kustaafu kuboreshwa.
3. Umri wa kustaafu kwa Askari wa chini kuongezwa ikiwa na...
Barabara ya Lemara imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu, licha ya kuwa kila kipindi cha uchaguzi baadhi ya wagombea wa udiwani wamekuwa wakiitumia kama sehemu ya kampeni na kuahidi kuiboresha. Hata hivyo, hadi sasa hakuna hatua za maana zilizochukuliwa kuboresha barabara hiyo.
Mara kwa mara...
Anonymous
Thread
ahadiahadihewa
barabara
hewa
kati
kero
kero ya barabara
ubovu
ubovu wa barabara
Wana-JamiiForums,
Nimefika kikomo cha uvumilivu. Naandika post hii kwa hasira, masikitiko na maswali mengi ambayo naamini mimi siyo mhanga pekee katika nchi hii.
Mnamo mwaka 2020, nilikamilisha taratibu zote za usajili wa Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Nilipigwa picha, nikatoa alama za vidole...
JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025?
Habari,
Kwa masikitiko makubwa napenda...
Anonymous
Thread
afya
ahadiahadihewa
fedha
hewa
muundo
mwaka
mwaka wa fedha
ofisi ya rais utumishi
sekta
sekta ya afya
tanna
tnmc
utekelezaji
utumishi
wizara ya afya
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 29, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2025 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
ZIFUATAZO NI AHADI ZILIZOTOLEWA .
1. Kuna majimbo 50 na kata 1000 tumeahidiwa na ccm kwa tutapita bila shida yoyote.
2. Kila mgombea ubunge na udiwani atawezeshwa kifedha ktk kampeni.
3. Mbowe atahamia chaumma ili kuleta hamasa kubwa ndani ya chama hivyo kampeni kuwa rahisi.
4. Maelfu kwa maelfu...
Zile mbwembwe za muwekezaji wa jezi, kujenga uwanja, mabweni na Basi la kisasa zimeishia wapi?
Misifa mingi na kujipa promotion. Hawa watu wanazitumia timu hizi kwa manufaa yao.
Ahadi kibao, hakuna hata nukta ametimiza. Pesa za kwenye makaratasi tu. Hazina ukweli.
Tatizo la wanasiasa kurudia ahadi zilezile kila kipindi cha kampeni ni kiashiria cha mfumo wa siasa ambao haujalenga kutatua matatizo ya wananchi, bali kudhibiti mamlaka na kulinda maslahi binafsi ya viongozi. Hii ni hali inayojitokeza sana katika nchi za Dunia ya Tatu, ikiwemo Tanzania, ambapo...
Kwa Uganda Taifa langu la Pili Kiuraia (kutokana na Kunilea na Kuishi huko Kimasomo) na ninavyojua Uwekezaji wao katika Michezo na Seriousness yao hata Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ingewekewa Ahadi ya Tsh Bilioni Tano bado tusingewaweza.
Akina Okwi, Owino, Ochan na Wengineo mliowajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.