CCM na ahadi hewa kwa vyombo vya Usalama wa ndani

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,843
Reaction score
40,479
Ilani ya CCM ya 2025-2030 Ibara ya 2.6 inayohusu uimaridhaji Utawala Bora na Demokrasia kifungu (v) wametoa ahadi tatu Kwa Polisi, Magereza, uhamiaji na Zimamoto ambazo ni;-

1. Mishahara kuboreshwa.
2. Mafao ya kustaafu kuboreshwa.
3. Umri wa kustaafu kwa Askari wa chini kuongezwa ikiwa na lengo la kuongeza Mafao ya kustaafu.

Cha kushangaza karibu mwaka mzima baada ya uchaguzi hakuna walichotekelezewa. Yaani hata hilo la kisheria la kurekebisha umri wa kustaafu hakuna kitu. Bado mnaamini chini ya CCM mna chenu?
 
Attachments

  • Screenshot_2026-08-18-17-24-29-060_cn.wps.moffice_eng.jpg
    Screenshot_2026-08-18-17-24-29-060_cn.wps.moffice_eng.jpg
    272.9 KB · Views: 3
kwahiyo ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2025-2030 ulalalamikia utekelezaji wake 2026?

gentleman,
are you serious? :pedroP:
 
Back
Top Bottom