afya

  1. Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

    WATOTO WA KISASA Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza. Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
  2. M

    Namna bora ya kunenepesha, kukuza mifugo na kuifanya iwe na afya bora kwa gharama nafuu

    Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji? mifugo plus tumekuletea PROMASS EXTRA PROMASS EXTRA ni protein asilia iliyo Bora zaidi inayo tokana na mazao ya wanyama hasa wa...
  3. GE2025 Kiza Mayeye: Huduma ya Afya Tanzania zinatolewa kwa matabaka

    Tanzania imebarikiwa utajiri wa kila kitu, lakini tunashangaa huduma ya afya ni mbovu, tumekuja hapa Tunduru kinamama wanalalamika wakienda kujifungua wanauziwa watoto, vifaa vya kujifungulia hakuna, wazee wanatozwa hela, lakini tunashangaa wenzetu wa Chama Cha Mapinduzi wanajisifia eti nchi...
  4. E

    Mpango wa diplomasia ya afya wazinduliwa Cairo

    Cairo. Mpango wa Diplomasia ya Afya kwa Wanafunzi wa Tiba umezinduliwa nchini Misri kwa udhamini wa Muungano wa Kimataifa wa Wanafunzi wa Tiba wa nchi hiyo na tawi lake katika Chuo Kikuu cha MTI. Mpango huo unaolenga kuwawezesha madaktari chipukizi na wanafunzi wa tiba kutoka Misri na wa Sudan...
  5. GE2025 Janeth Rithe: Msitegemee kupata huduma bora za afya

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa Chama Cha Mapinduzi hakijali matatizo ya wananchi hivyo dawa pekee ya kuboresha huduma zote za kijamii...
  6. Nimewanyima pesa nyingi Madaktari. Wanisamehe bure tu!

    Sijui kama watanielewa, nahisi watachukia. Ila kama posho zao zimeongezwa, labda watacheka tu. Lakini ukweli ndio huu, na nimeamua kuusema wazi hapa JF -where we dare to talk openly! Kila nikikumbuka niliyofanya, najua kabisa madaktari wana kila sababu ya kunikazia macho. Lakini kabla wewe...
  7. W

    Wengi tumeharibu maisha yetu kwenye rika la miaka 20 - 35, kijana jitambue mapema lasivyo utajikwaa tulipoangukia

    Afya Katika rika la miaka 20 hadi 35, wengi hujisahau kwa sababu mwili bado una nguvu, lakini hapa ndipo msingi wa afya ya baadaye hujengwa. Kula hovyo, kukosa mazoezi, usingizi mbovu, matumizi ya pombe, sigara, au dawa za kulevya huanza kuharibu mwili kimyakimya. Magonjwa kama kisukari...
  8. A

    Mafuta halisi ya alizeti kuimarisha afya yako

    Habari za wakati huu wana JF tumeleta product mpya na ya asili kwa 100% mafuta halisi ya alizeti kutoka dodoma kwa lita 5 utapata kwa 30k kwa lita 20 utapata kwa 115k usipange kukosa tunauza jumla na reja reja 0762441818 Tupo Dar es Salaam na Dodoma delivery tunafanya karibu sana
  9. Apk ya kujua afya ya battery ya simu yako (android phones)

    HABARI YAKO. Najua utakua umewahi pitia changamoto kwenye simu yako (Android phones) na kujiuliza sana kua "Mbona simu yangu inawahi kuisha chaji haraka sana?" bila kujua shida ni nini. Kwa upande wa iOS devices ninamaanisha iPhones hua wanakuonesha hali ya afya ya battery yako kwa mfumo wa...
  10. A

    DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  11. Afya ya umma: Serikali iangalie ubora wa mablankenti yanayouzwa nchini. Mengi yanatengenezwa kwa material yanayoleta allergy(mzio)

    Kuna mablankenti ukilalia unajikuta unakohoa sana. Usipolilalia unakuwa sawa. Ni kama yana materials mabaya yenye kuleta allergy. Hatujui madhara mengine yanayoweza kuleta kwenye mfumo wa upumuaji wa binadamu. Serikali iangalie ubora wa mablanketi yanayoingia nchini na kupitia materials...
  12. Waziri Mhagama achaguliwa Makamu Mwenyekiti Kamati Tendaji ya Masuala ya Afya Ukanda Wa Mashariki Mwa Afrika

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo). Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika...
  13. A

    KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  14. W

    Tafuta wako mtulie mlinde afya, watu wengi wana magonjwa ya ngono

    Siku ya kwanza na ya pili condom huwa inazingatiwa sana Siku ya tatu na kuendelea mpira hauna thamani tena, mnaaminiana sana, Baada ya mwezi watu wanaanza kuchokana, wanahama kwa wapya, na huko cycle inajirudia,
  15. B

    Pamoja Mapungufu ya CCM, Kwenye Sekta ya Afya Serikali ya Awamu ya Tano na Sita zimefanya vyema. Waongeze Wahudumu wa Afya zaidi

    Habari za jioni ndugu wana JFs Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kabisa kaa Serikali ya CCM ya awamu ya tano na hii ya sita kwa kazi nzuri waliyofanya kwenye sekta ya afya. Mambo ni mazuri tunakoelekea na kiukweli kwenye miundo mbinu kwa sasa ni bora kwa viwango vinavyokubalika( healthcare...
  16. Bunge la Ulaya kuijadili Tanzania siyo jambo la afya!

    Sikiliza hapa wanajadili kesi za Tundu Lissu. https://twitter.com/EduTalkTz/status/1934829754852491305?t=TiZp-zvXELlD5i62LV7I2Q&s=19
  17. KERO Vyoo vya stendi kuu ya Mtwara ya Mkanaledi ni hatari kwa afya

    Jionee mwenyewe kwenye picha... Hapa ni Manispaa ya Mtwara Mikindani. Bwana Afya na Bibi Afya wapo tu, wanasubiri milipuko ya magonjwa ili waandike madosari ya kuomba fedha. Hakuna jitihada za kweli za kuzuia, bali kusubiri matatizo yatokee ndipo wachukue hatua – tena kwa maslahi yao binafsi.
  18. Mamlaka za afya zichukue hatua za haraka sana kuzuia aina hii ya kuandaa chapati kwa kutumia sponji

    Habari wakuu, Nlishawai kuleta huu uzi kipindi cha nyuma kidogo, lakini naona hili swala ndo limeshika kasi sana, swala lenyewe ni huu uandaaji wa chapati kwa kutumia sponji, ukienda migahawa mingi, watu wanatumia sponji kwenye uchomaji wa chapati kwakua inasaidia sana kuweza kurahisisha...
  19. DOKEZO Responded Ukweli Usiosemwa: 'Mboga zenye Viwatilifu vyenye viambata vya sumu' zinavyohatarisha afya za maelfu ya wananchi wa mijini

    Katika hali ya kawaida, mbogamboga huonekana kuwa chakula salama na chenye faida nyingi kiafya. Hata hivyo, katika muktadha wa miji au Majiji makubwa kama makubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Arusha na Mwanza, mboga hizo zinaweza kugeuka kuwa chanzo cha hatari ya kiafya kwa wananchi wengi maelfu...
  20. Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Poleni na majukumu ndugu zanguni . Ni siku nyingine tena tunakaribia kuifunga Mwenyezi Mungu ametujalia kwa tuliobahatika kuiona na tunapoelekea kuifunga . Mimi ni kijana umri wangu miaka 30 , mpaka sasa nina watoto 02 kila mtoto na mama yake , mtoto kwanza ilikuwa enzi za ujana wangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…