afya

  1. Nadhani Wizara ya Afya wako sahihi kusema tutumie dawa yenye vitunguu swaumu kupambana na korona

    Nimesoma sehemu kuwa miili ya watu wengi waliokufa korona imekutwa na damu ikiwa imeganda kwenye mishipa midogomidogo ya damu na kuiziba (thromoembolism). Wamesema hii ni moja ya complication ya korona. Sasa kitunguu swaumu kina tabia ya kufanya damu iwe nyepesi na isigande kirahisi. Naona ule...
  2. Z

    Maswali matatu kwa Waziri wa Afya

    Ndugu Waziri wa Afya, naomba kukuuliza MASWALI matatu tu ili nisikuchoshe. Nikiwa mwananchi wa nchi hii ninahitaji majibu sahihi kutoka kwako tena yawe ya kitaalamu na si ya kisiasa: 1) Je, korona ipo au haipo hapa Tanzania, na kama ipo Ni ya aina gani, ya China au ya South Africa? 2) Je...
  3. Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

    TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19 Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
  4. Wizara ya Afya: Tutafunga kila mtu kwa wizi wa dawa

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema kama wataamua kuwachukulia hatua watumishi wanaojihusisha na wizi wa dawa watawafunga watumishi wote. Amesema hayo alipokuwa katika hospitali ya Mount Meru ambapo amesema kiwango cha dawa kinachoingia...
  5. B

    Mhe. Waziri wa Afya, vitendo vyakupiga picha kwenye vituo vya afya na hospitali vimekithiri, faragha za wagonjwa zilindwe

    Watu wanafika hospitali, wanapiga picha wapendwa wao na watu wengine wanowazunguka bila ridhaa ya wale waliopigwa picha, hii si sawa. Madaktari wapo kazini, baadhi ya wahudumu wa afya wasio na maadili wanarekodi video na kupiga picha kwa maelekezo ya ndugu wa mgonjwa au utashi wao tu..hii si...
  6. Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

    Gts, Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba. Wizara ya afya toeni ufafanuzi. Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa...
  7. Wito kwa Watanzania , Afya yako ndio mtaji wako , Usiburuzwe na yeyote kwa sababu zozote zile , fuata mwongozo halali tu.

    Bila kumung'unya maneno naanza moja kwa moja kuwaasa wananchi wa Tanzania kulinda afya zenu wenyewe , hii ni kwa sababu usalama wa maisha yako ni HAKI YA KIKATIBA , mtu mdogo kama Meya wa Manispaa yoyote ile aliyetokana na udiwani wa kata hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kuamuru mtu yeyote...
  8. E

    Dawa ya kufukiza UDANOL hulinda Afya yako

    Taifa letu likiendelea kwa mwendo kama huu tutafika mbali sana. Katika video hii kuna dawa iliyotengenezwa hapa hapa Tanzania, ni dawa ya kufukiza inayoitwa UDANOL.
  9. COVID-19: Watumishi wa Afya ni kama tumetolewa kafara?

    Ndugu Mh. Waziri wa Afya, Fieldmarshal Dr. Dorothy Gwajima naomba nichukue dakika zako chache tu kukuuliza jambo moja tuu wewe kama askari mwenye amri ya mwisho pindi tupo vitani. MMEAMUA KUTUTELEKEZA WAFANYAKAZI WA AFYA TUPAMBANE NA HALI ZETU? Watakaopoteza maisha yao kutokana na negligence...
  10. J

    CHADEMA ni wazuri kwenye kukosoa mambo ya fedha na Ufisadi. Mambo ya afya tuwaachie wanasayansi, yaani Wakemia na Wanabaiolojia

    Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo. Ila kwenye eneo la Kemia, Baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli. Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi...
  11. Wizara ya Afya: Hakuna tishio la UVIKO-19, likiwepo tutatoa taarifa

    Wakati Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) likiwataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya corona ambavyo vimeshambulia nchi kadhaa, Serikali imewataka wananchi kutoingiwa na hofu bali wasubiri maelekezo ya Serikali. Waraka wa tahadhari wa TEC ulitolewa...
  12. Askofu mkuu Ruwa'ichi anasema corona bado ipo, amesihi tuendelee kuvaa barakoa, tunawe mikono, tufuate kanuni za afya

    Askofu mkuu wa jimbo katoliki la Dar es Salaam amewasihi waumini kufuata taratibu za kisayansi kupambana na corona. Askofu ameomba tusaidiane na Mungu kupambana na corona. Askofu amesisitiza kuwa corona bado ipo na kuwasihi waumini waendelee kuvaa baracoa, kunawa mikono na maji tiririka pamoja...
  13. Afya ya Akili na Ujasiriamali

    Habari za wakati huu; Leo nataka nizungumzie jambo tata sana ambalo wengi hukutana nalo ingawa hawajui kama ni tatizo.Jambo hili linahusu uhusiano uliopo kati ya afya yako ya akili na mafanikio yako ya kibiashara. Kwanza nianze kwa kueleza kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati afya ya akili ya...
  14. Taarifa kwa Umma tamko la Wizara ya Afya kuhusu tukio la askari wa ulinzi SUMA – JKT kutuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA
  15. R

    Vyuo vya afya kozi ya clinical medicine MARCH, 2021 intake

    Naomba anayejua vyuo vya afya vinavyochukua MARCH intake 2021 aniwekee hapa. Kiwe na Clinical Medicine please.
  16. Naomba kujuzwa vyuo vya serekali vya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)

    Naomba kujuzwa vyuo vya serekali kada ya afya vinavyotoa diploma ya medicine(clinical officer)
  17. J

    AFYA: Kwanini watu wanang’ata kucha? Zijue Dalili, Sababu na Matibabu

    Kung’ata kucha(Onychophagia) Tabia ya Kung’ata kucha inaweza kuwa haina madhara iwapo itakuwa ya muda labda wasiwasi wa urembo wa kucha lakini tabia hii inaweza kuendelea na kulifanya tatizo la kudumu. Kung’ata kucha kulikopitiliza(Onychophagia) kunaharibu kucha na tishu zilizozizunguka DALILI...
  18. Mongolia: Waziri Mkuu na Waziri wa Afya wajiuzulu baada ya Maandamano makubwa kufanyika

    Waziri Mkuu wa Mongolia Khurelsukh Ukhnaa amewasilisha barua ya kujiuzulu mbele ya Bunge leo kufuatia maandamano ya umma kulaani jinsi serikali yake inavyoshughulika janga la virusi vya Corona. Shirika la Habari la Taifa limeripoti kuwa Ukhnaa amesema anachukua uamuzi huo kama sehemu ya...
  19. J

    Ijue Afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

    Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo. Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba. Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
  20. Mfanyakazi yeyote mwenye akili hawezi kuwa na urafiki wenye afya na Mwanasiasa

    1. Ndie anaeamua ulipwe kiasi gani. 2. Ndie anayebutua mkataba wako wa ajira Kama ilikuwa ya kudumu inakuwa on temporary basis. 3. Ndie anayeweza kuamua uongezwe makato au uongezewe Kodi kwenye mshahara wako. 4. Ndie anayeweza kuamua ulipwe au usilipwe mafao yako. Mfano fao la kujitoa au wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…