afya

  1. JamiiForums Tanzania Gumzo: Mayai ya kisasa yana manufaa kwa afya ya mtumiaji?

    Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavo someka hapo juu. Siku hizi kumekuwa na matumizi makubwa sana ya hii bidhaa. Ila kutokana na jinsi yanavyo zalishwa nimepata kigugumizi kidogo kuhusu lishe tunayopata kutokana na matumizi ya hayo mayai. Sasa je kuna Nutrient zozote kweli au ni...
  2. JamiiForums Tanzania Ajira 800 za afya kumwagwa

    wizara ya afya jana imetangaza kumwaga ajira 8000 na hii ni kutokana na uhaba mkubwa wa watumishi katika hospital za rufaa, kwa hiyo vijana jiandaeni tena kufanya maombi ili mlambe asali
  3. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Afya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Afya kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/24
  4. J

    JamiiForums Tanzania Afya ya Akili: Ni vitu gani unajifanyia kama ishara ya kujijali, kujithamini na kujipenda?

    Kujijali (Self-Care) kuna maana tofauti kwa kila Mtu, na wote tuna namna yetu ya kujijali ili kupunguza Msongo wa Mawazo (Stress) na kulinda Afya ya Akili Kwa wengine, kujionesha Upendo ni kwa kujinunulia kitu kipya, kusafiri au kutembelea sehemu mpya, kutenga muda wa kupumzika au kufanya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kifo cha MC Joel Misesemo ni changamoto ya afya ya akili

    Ndani ya wiki hii kumekuwa na matukio mawili ya kushtusha ndani ya Kijitonyama yote yakihusiana na majengo aina ya ghorofa ambapo moja limepelekea kifo cha MC Joel kwa kujirusha toka ghrofa ya kumi na tano na lingine kufeli kwa lift ya kupandisha na kushusha na kupandisha watu ghorofani ndani...
  6. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuboresha huduma za afya katika hospitali za serikali

    Simulizi: Siku moja, nilipokea simu kutoka kwa kaka yangu na sauti iliyosikika ilikuwa ya wasiwasi kabla ya simu kukatika ghafla. Nilijaribu kupiga simu mara kadhaa, lakini hakuna aliyepokea. Baadaye, muuguzi kutoka hospitali moja ya serikali huko Sinza alipokea simu. Nilikwenda haraka na...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Wizara ya Afya iunde mfumo mmoja wa kompyuta wa afya utakaotumika katika ngazi zote za hospitali za Serikali ili kurahisihsa rufaa na mengineyo

    UTANGULIZI. Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa mambo mengi yanafanyika kwa njia ya mtandao na mifumo ya kompyuta, sekta ya afya inatumia mifumo ya afya kukamilisha huduma kwa wagonjwa ambapo taarifa zote zinakuwepo katika mfumo huo. Kila hospitali inatumia mfumo wake kulingana na...
  8. JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali itoe ruzuku Bima ya Afya ya watoto

    Serikali hii yenye fedha nyingi mno kiasi cha baadhi ya watu kujichotea mihela bila aibu hata hofu ya Mungu haiwezi kushindwa kutoa ruzuku kwenye bima ya afya ya watoto. Nilimsikia waziri wa afya akilalamika kuwa michango ni bilioni 4 wakati matumizi ni bilioni 40 (kwa mwaka?). Serikali hii...
  9. JamiiForums Tanzania The Bistro Bar Dodoma wanawahitaji Tena NEMC au Idara za Afya

    Nimeingia Dodoma Jana kuhudhulia uzinduzi wa Ikulu , Jioni hii nimefika Bar Ilivyokua imefungiwa na NEMC inaitwa The Bistro ...Iko Dodoma Nkuhungu. Hii bar Kuna haya Mamitungi ya Shisha yanavutwa kila upande na kufanya indoor bar kuwa na mimoshi kwelikweli . Mamlaka , zichukue hatua kuhusu...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya Kiteknolojia katika Sekta ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi: Sekta ya afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa lolote. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kiteknolojia ili kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya afya. Kwa kuzingatia umuhimu huo, takwimu...
  11. JamiiForums Tanzania Juice ya Beetroot inasababisha mawe kwenye figo?

    habari wapendwa, Je, ni kweli fresh juice ya Beetroot inasababisha mawe kwenye figo?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz case: Ubovu wa Sekta ya Afya Nchini

    Kutokana na taarifa za tukio la kifo cha nguli wa mitandao ya kijamii nchini Ndugu William Malecela ajulikaye kama Le Mutuz. Nini hatma ya sekta ya Afya nchini katika kuwa na uwezo wa kuwa na wataalamu wa magonjwa ya moyo na vifaa vya kukabiliana na magonjwa ya dhararu kama magonjwa ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uchaguzi vyuo vya afya

    Kuna tetesi kuwa majina ya form four wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya afya. Majina hayo niangalie kwenye link ipi? Saidia maskini
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Benaya Kapinga asisitiza Dawa na Vifaa Tiba vipelekwe kwa wakati sehemu za kutolea huduma za afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo la...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Benaya Kapiga Asisitiza Vifaa Tiba na Dawa zipelekwe kwa Wakati Maeneo ya Kutolea Huduma za Afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Mhe. Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo...
  16. JamiiForums Tanzania Ukiumwa ndiyo unaelewa vizuri umuhimu wa afya kuliko kitu kingine

    Hapa kichwa kinagonga, koo linakereketa, mwili unauchovu mzito ambao sijui umetokea wapi, no malaria no UTI. Hapa sitamani kitu chochote zaidi ya kupata ahueni. Afya inastahili uwekezaji mkubwa sana.
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji katika Sekta ya Afya: Changamoto na Suluhisho

    Kuimarisha Uwajibikaji katika Sekta ya Afya: Changamoto na Suluhisho Afya ni haki ya msingi ya kila mwanadamu, na ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa kila mwananchi anapata huduma bora za afya. Hata hivyo, katika nchi nyingi za Afrika, huduma za afya zimekuwa zikikabiliwa na changamoto...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la Magonjwa ya Mfumo wa Upumuaji

    Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la? Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
  19. JamiiForums Tanzania Pongezi kituo cha afya GAIRO

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Serikali na kituo cha afya GAIRO, nimekwenda kupata HUDUMA majira ya saa 14:00. Nimepokelewa vzr, toka mapokezi mpaka kwa daktari. Baada ya maelezo kwanza nimepimwa pressure. Kisha nikaelekezwa niende MAABARA. nimechukuliwa vipimo. Jamani hili kipindi cha...
  20. JamiiForums Tanzania Uvinza, Kigoma: Barabara ya kwenda Kituo cha Afya Kalya hali ni mbaya, Serikali iangalie jinsi ya kusaidia Wananchi

    Ujumbe huu kutoka kwa Daktari anayefanya kazi shughuli zake Mkoani Kigoma. UJUMBE HUU HAPA: Mi naitwa Dkt. Amos Matajiri nafanya kazi Kituo cha Afya Buhingu kilichopo Mkoani Kigoma, hayo ndio mazingira yanavyokuwa kipindi cha mvua. Nilifanikiwa kurekodi hiyo video nikiwa naenda Kituo cha Afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…