Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya?
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Mafuta ya kupikia ni kiungo cha msingi sana jikoni.
Lakini kuna habari nyingi zinazokinzana kuhusu kila aina ya mafuta na afya.
Pamoja na mengi kwenye rafu unapokuwa dukani – kuanzia yale ya nazi hadi mizeituni...