afya

  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jenista Karibu Afya:; Fanya Haya Kwa NHIF

    Ninaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:- 1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini

    Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini. Vituo vya kutolea huduma za Afya 9,693 mwaka 2024. Kwa mwaka 2021 jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya vilikuwa 8,547 ambapo Ongezeko 1,146.
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Wanaochangia figo wanaishi muda mrefu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema tafiti zinaonesha kuwa watu wanaochangia figo wanaishi maisha marefu ikilinganishwa na ambao hawachangii.
  4. Blender

    JamiiForums Tanzania Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

    Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho. Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mama Ntilie na wauza chips, wauza pweza wanaharibu miundombinu ya mwendokasi. Mabwana afya wasimamie na watoe maelekezo

    Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro ya hizi bara bara hali inayopelekea kujaa na muda mwingine kutoa harufu mbaya sana. Bwana afya wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Takataka zahatarisha afya ya wananchi Tegeta Chasimba

    HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana muda mtefu huku ikilelezwa ni kwa sababu ya miundombinu na sababu nyingine nyingi. Kwa sasa hivi...
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

    Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa . Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuoga maziwa kunaleta afya ya ngozi?

    Habari, nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi. Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi: Majengo ya Kituo cha Afya yaliyotelekezwa Mkuranga sio yetu, iulizwe taasisi iliyohusika

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai majengo ya Hospitali yaliyopo Kijiji cha Hoyoyo, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani yametelekezwa licha ya kukamilika kwa ujenzi na kuwa Wananchi wanalazimika kwenda umbali wa Kilometa 7 kupata huduma ya afya, ufafanuzi umetolewa. Kusoma hoja ya Mdau...
  10. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya 5G Tanzania: Jinsi Teknolojia Hii Inavyobadilisha Mawasiliano, Afya, na Biashara

    5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za 3G na 4G zilikuwa zimeleta maendeleo makubwa, lakini 5G inatoa uwezo wa juu zaidi kwa kasi, uwezo...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwa mikopo hii, Mwalimu huyu sidhani kama afya ya akili ipo sawa

    Mikopo juu ya mikopo, huyu mwalimu kazini anakuwaje na ufanisi? Cc; Mpwayungu Village
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Neema Joshua: Uelewa mdogo chanzo cha utapia mlo kwa jamii

    Uelewa mdogo wa jamii kuhusu masuala ya lishe ikiwemo matumizi sahihi ya vyakula vinavyopatikana katika maeneo mbalimbali ya nchi ni miongoni mwa sababu zitajwa kuchangamoto utapiamlo ndani ya jamii. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma Lishe Wizara ya Afya, Neema Joshua, Julai 23...
  13. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na Tatizo la akili

    🔹Kuwa kijana huja na Matukio ya kusisimua ambayo yana Changamoto maradufu. 🔹Akili ya kijana hukua Kulingana na namna anavyoshughulikia maisha yake ya kila siku. 🔹 Tafiti Zinaeleza kuwa 75% ya Matatizo ya akili huanzia katika umri wa ujana. Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni bima ya afya

    Asilimia kubwa ya wananchi wana Bima ya Afya lakini hakuna manufaa wanayopata kutokana na Bima ya Afya. Kila hospitali unayoenda ukiisha elezwa na mganga ugonjwa wako na dawa unazotakiwa kutumia basi hapo lazima uingie mfukoni. Jana nilienda kupata chanjo ya homa ya ini katika hospitali...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyetoka diploma ya afya akapata digrii MUHAS?

    Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap?? Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu wasikate tamaa
  16. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Ombi Kwa Bwana Afya mkoa wa Dar Es Salaam

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote yanayoweza kuambukizwa kupitia mikono isiyo salama. Asante .
  17. BOFREE

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia kwa waombaji wa ajira za ualimu na afya secretarieti ya ajira

    napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma 1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na kuweka muhuri wa kuverify kwa wakili, mwanasheria au mahakama 2. unapoandika barua ya maombi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ililenga nini kufuta bima ya AFYA ya watoto chini ya miaka 5?

    Salaam, Shalom!! Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika

    Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta wagonjwa 12 wakiwa wametandikiwa magodoro maeneo mbalimbali ikiwemo sakafuni, kwenye mabenchi ya...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Helkopta ndio "imetonesha" majeraha ya Lissu? Namshauri ashughulikie afya yake, asifanye Urais jambo la dharura kwake

    Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni? Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
Back
Top Bottom