Habari jf , ni vifurushi vya Ngorongoro na Serengeti kwa kuanzia :-
1. Kuna dawa muhimu zimetolewa
2.Gharama zimeongezeka
3.kuna ukomo wa gharama zako za kutibiwa
Nini kifanyike kuboresha hivi vifurushi na huduma za afya ?
Nakumbuka enzi za zamani mtu mwembamba alikuwa anaonekana mgonjwa na watu kuwa na hofu nae lakini mambo yamebadilika kwasasa mtu ukiwa mnene watu ndio wanakuwa na hofu nawewe.
Kwa ufupi maisha yamebadilika wembaba imekuwa afya unene imekuwa ugonjwa watu kunyoosha kidole jamaa yule sio bure...
Habari Wana JF natumaini muwazima
naomba kuuliza niwapi nitapata kipimo kikubwa Cha afya Yani HIV ambacho kinadetect kwa muda mfupi nanitapatiwa huduma kwa bei gani
Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema;
"Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza."
"Sasa mimi...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amempongeza Naibu Waziri wake, Dkt. Godwin Mollel na kueleza kuwa anaitendea haki nafasi yake hiyo na amekuwa msaada mkubwa kwake.
Amesema hayo Aprili 8, 2025 ambapo amekabidhi zawadi kwa mikoa, wilaya, vijiji na shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu katika...
Juzi nikiwa katika safari zangu nilipita Urambo, nilipofika katika Stendi ya Wilaya ambapo basi letu lilipita hapo, nilishangazwa na muonekano wa Kituo hicho, kilikuwa ‘too local’, mazingira yake sio mazuri na ukweli hali hiyo inasikitisha.
Tulishuka na wenzangu kadhaa na kwenda kwenye vyoo vya...
Hello bosses and roses....
Afya Mingle App ni suluhisho lako kwa mambo ya Afya na Mahusiano.
Ni app pekee hapa Tanzania ambayo inakuwezesha kuwasiliana na madaktari wabobevu lakini pia kupata mchumba unaeendana nae.
Tunajali sana faragha za watumiaji wetu na ndio maana hata kwenye kipengele...
Habari za Leo wakuu,
Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa.
Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo,
Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo?
Japo nasikia...
Habari za jumapili wakuu,
Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa.
Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo,
Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo?
Japo...
Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !!
Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!.
Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa.
Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo.
Ni mbinu ya wagonjwa kukwepa misururu mirefu kupata huduma za afya.
Mara nyingi malalamiko ya vitendo vya...
Wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wametakiwa kuepuka tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono sambamba na kuacha kutumia vitoweo vya wanyama kama Nyani pamoja na Ngedere ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Mpox.
Kauli hiyo imetolewa na Afisa afya halmashauri ya wilaya ya Makete na...
Nimeleta nyuzi zaidi ya moja humu kuhusu hawa watu wa bima na sidhani kama nitawazungumza vizuri bila ya wao kujirekebisha. Namuomba mola awajaalie baya lolote tu kama zawadi yao kwa huu uhuni na usumbufu wanaonifanyia
Tunawasemaga polisi bure tu mazee, sekta sumbufu ni afya! Nataja kwa ufupi...
Wizara ya Afya maazimio yenu ya mwanzo
1-Kupimisha DNA
2-Kumsimamisha kazi Nurse alochanganga Vitenge.
Haya yote yalilenga Suala la Mama kubadilishiwa mtoto.
Sasa moto ndio aliyekufa !!
Sasa swali ni je, ni changamoto gani hiyo ambayo ilipelekea mtoto Kufariki ?.
Turudi nyuma, Mama wa...
Wawakilishi wa Shirika la Afya duniani waingilie sakata la mama aliyeibiwa mtoto Hospital ya Mount Meru kwasababu vipimo vya DNA vimebatilishwa
Ikumbwe mama aliyeibiwa mtoto alijifungua kwa Operation, anauguza vidonda kwa maumivu makali huku akihangaika kutafuta mtoto wake...
Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025.
Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
Ila Serikali ya CCM Ina maigizo mpaka Shetani anashangaa .
RC Chalamila aliposikika anamwambia Mjamzito kama hawezi kuchangia aende Mumewe ampasue, Kila Neno lilisemwa.
Sasa huko Arusha , Hospital ya Mount Meru kumetokea tukio.
Hili Tukio ni Mama akiomba kusaidiwa apewe mtoto wake akidai...
Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya uzazi.
Hali hii inasababisha changamoto kubwa katika utekelezaji wa mipango ya afya, hasa katika...
Kuna umri ukifika, hasa 38+, ndipo unagundua kuwa mambo mengi yanapoteza maana isipokuwa pesa, familia, na afya njema.
Aise hata Kama umekuwa ukijituma maishani kuchangamana na watu sijui ndugu jamaa na marafiki au shughuli nyingine – lakini huna uthabiti wa kifedha wala familia ya kueleweka...
Katika hali ya kusikitisha, leo tumeshuhudia matatizo makubwa yanayotokana na kukosekana kwa huduma za afya nchini. Bima ya Afya makao makuu inapaswa kutoa kinga kwa wagonjwa, lakini ukweli ni kwamba hali ni tofauti kabisa.
Wagonjwa wanakabiliwa na changamoto kubwa: hakuna mtandao, huduma...