afya

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nukuu za Waziri Mkuu katika Sekta ya Afya

    Nukuu za Waziri Mkuu katika Sekta ya Afya
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani zaahidi kuendeleza ushirikiano katika nishati, afya na uwekezaji

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi, pamoja na dhamira ya kuendeleza mazungumzo na ushirikiano wa kitaalamu...
  3. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  4. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Kipato chanzo cha Changamoto za Afya ya Akili

    Umasikini wa kipato umetajwa kuwa kichocheo kikubwa cha migogoro katika familia na hatimaye kusabaisha msongo wa mawazo na changamoto za afya za akili. Hayo yameelezwa Agosti 6, 2026 katika mkutano wa tathini ya matokeo wa mradi wa unasihi wa busara, Faraja na Ustawi uliofanywa kwa miezi sita...
  5. JamiiForums Tanzania Mabadilishano kati ya elimu bure na huduma ya Afya bure, elimu tulipie, huduma ya Afya ndio iwe bure

    Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya Bora zaidi huduma ya Afya ndio iwe bure na elimu ndio tulipie, Kwa sababu elimu imetangazwa bure ila michango...
  6. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Afya, nitathibitishaje kama mimba ni yangu?

    Ukiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona kama takataka tu. Kama sifai kwa chochote kwake. Tofauti na mwanzo alinipenda sana ila kwa sasa upendo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyuo vya kati vya afya havina usimamizi wa kutosha kutoka kwa taasisi husika

    Vyuo vya kati vya afya havina usimamizi wa kutosha kutoka taasisi husika kama NACTVET na mabaraza ya taaluma ikiwemo TNMC, MCT na Pharmacy Council. Miongozo ya elimu inaelekeza kuwa wanafunzi wa ngazi ya diploma wanapaswa kufundishwa na wakufunzi wenye elimu ya kuanzia shahada (Bachelor...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Sayansi ya Afya KAM college Kimara Korogwe Dar, es Salaam kinanyanyasa wafanyakazi wake

    Mmiliki wa chuo anawadharau waalimu na kutukana waalimu mbele ya wanafunzi jambo ambalo linapelekea waalimu kukosa sauti kwa wanafunzi. Mmiliki amegoma kulipa mishahara ya watumishi kwa mwezi wa July akidai hajafurahishwa na utendaji kazi japo yeye hakuwepo chuoni maana alisafiri. Jambo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Miezi 11 Bila Mshahara Chuo cha Afya Mvumi (MIHS) kilichopo Dodoma, Serikali Iingilie kati

    Wafanyakazi katika Chuo cha Afya Mvumi (Mvumi Institute of Health Sciences – MIHS) kilichopo Mvumi, Dodoma tunaomba msaada na uingiliaji wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa zinazotukabili kwa muda mrefu. Kwa sasa baadhi ya wafanyakazi tumekaa takribani miezi 11 bila kulipwa mishahara...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

    Hii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada. Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja na gari lake ana paki hapo anashuka na kiti chake anakaa hapo nje ya gari chini ya mti, halafu...
  11. JamiiForums Tanzania Je, una Changamoto Yoyote Ya Afya Kinywa na Meno!? Ikiwepo kukosa meno !? Suluhisho hili hapa

    😁 Rudisha tabasamu lako kwa meno bandia ya kudumu (Crowns & Bridges)! Je, una jino lililovunjika, lililoharibika au lililopotea? Tunakupa suluhisho la kudumu kwa kutumia Crowns & Bridges zenye muonekano wa asili, uimara na faraja. ✨ Faida zake: 🦷 Hurejesha umbo na kazi ya meno. 🦷 Huboresha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wachunguze Kituo cha Afya Kadashi, Wilaya ya Kwimba – Mwanza. Utendaji unatukwaza Watumishi

    Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1. Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Mbezi kiboreshe huduma, kuna kompyuta moja tu, huduma zipo slow sana

    Mimi ni mdau wa afya ila kitu kinanikwaza kutoka Kituo cha Afya Mbezi, kituo hakina kompyuta za kutosha, vyumba vitatu vya madaktari chenye kompyuta nzima ni kimoja tu. Tupo hapa tumelundikana kusubiri huduma uongozi hata hautoi mwafaka wanapitapita tu, kuna daktari mmoja, wengine wanazunguka...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Tumaini Nagu: Serikali imeelekeza matumizi ya mifumo ya Kidijitali katika vituo vya afya ili kuongeza ufanisi

    Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Tumaini Nagu, amezielekeza Timu za Usimamizi wa Huduma za Afya za Mikoa na Halmashauri kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijitali katika vituo vya kutolea huduma za afya ili kuongeza ufanisi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  16. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania kwa upande wa afya na teknolojia. Watu watakufa na wengine watakuwa wahanga

    Kuna mada niliweka kuwa na mashaka na elimu ya sasa niliweka JF. Moderator utaweka. Elimu ya tanzania sasa mtoto kafaulu mfano PCB ila ukiangalia tokea nyuma background na maswali una muuliza ni kichekesho. Mimi hapa JF sikusomea HKL ndio maana napata tabu na wengi wanaona navyo wasilisha...
  17. JamiiForums Tanzania Tunakumbushana: Ukitaka Kuyaelewa Maisha yako na umuhimu wake, Tembelea Maeneo Haya Matatu. Please tusijisahau

    Kwa heshima na taadhima, habari zenu wanajukwaa. Please, ukipata muda tembelea hayo maeneo matatu nitakayo orodhesha hapa au pia naweza kukukumbusha humu humu kama utakua huna muda ili kujikumbusha yalio muhimu sana katika maisha yako. 1. Hospitali. Hapa utaona jinsi mwanadamu alivyo dhaifu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dampo la Murubona - Kasulu Kigoma ni Hatari kwa Afya na Mazingira

    Kero yetu ni uwepo wa dampo kubwa la takataka katika Kata ya Murubona, Wilaya Kasulu Mji, dampo hilo ni hatarishi kwa jamii inayozukwa na taka kwani ni chanzo kikubwa cha magojwa, lilianzishwa hapo Mwaka 2023. Harufu mbaya ya taka, wadudu wasumbufu imekuwa tatizo kubwa.jambo hili linakingiwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    JWTZ limeanzisha bima ya afya kwa ajili ya wanajeshi na familia zao ila bima hiyo imekuwa na msaada mdogo sana ukilinganisha na fedha ambazo tunachangia kwa mwezi kitoka katika mishahara yetu. Masharti ya kunufaika katika bima hii ni mengi sana kiasi kwamba wanufaika wanashindwa kunufaika nayo...
  20. JamiiForums Tanzania Joel Nanauka: Miradi ya Elimu na Afya Ni Msingi wa Kujenga Kizazi cha Taifa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka amesema miradi ya elimu na afya inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita siyo tu uwekezaji wa leo, bali ni msingi wa kujenga kizazi chenye elimu bora, afya njema na uwezo wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…