Lithiamu inajulikana kama “mafuta meupe” katika zama ya nishati safi ya karne ya 21. Hivi karibuni shehena ya kwanza ya bidhaa za lithiamu sulfate zilizosindikwa kutoka Afrika ilisafirishwa kutoka mgodi wa Acadia karibu na Harare, mji mkuu wa Zimbabwe. Mafanikio haya ya kihistoria yanamaliza...
Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia.
Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2
Hii ni baada ya Kenya kufululiza...
Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri.
Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani.
Nguvu ya...
Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili...
Kwa heshima kabisa, kuna tabia ambayo imekuwa ya kawaida sana siku hizi hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wadada wengi wanapojirekodi video mara nyingi hugeuka makusudi kuonyesha maumbo yao hasa makalio, hadi imekuwa kama ni sehemu ya kawaida ya content nyingi za Afrika na hasa Tanzania.
Swali...
Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha mafunzo ya utawala bora barani Afrika baada ya kupokea ujumbe wa wataalamu 25 kutoka Somalia kwa ajili ya mafunzo maalumu ya uendeshaji bora wa utumishi wa umma.
Akizungumza wakati wa mapokezi ya ujumbe huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
Hii mada nitakuwa na rudia sana. Nimeona kuna mdaharo fulani shaikh fulani kaenda kulazima anacho kiamini yeye ,basi jamaa baada ya kumpa fact tena anatoa kwenye kitabu anachokitumia kilicho tokea yule sheikh alimuita chizi na watu wamuondoe.
Hii ni kwa Afrika ambapo mambo kama sayansi na...
"Ugonjwa mkubwa wa Afrika ni mfumowa vyama vingi. Afrika, amkeni ondoeni mfumo wa vyama vingi, mtamalizana wenyewe kwa wenyewe kupambania ndoto za watu binafsi sio taifa." - Alloyce, P.R
Tanzania imeshika nafasi ya tisa barani Afrika na ya 67 duniani kwa bei kubwa ya mafuta mwezi huu wa Mei 2026, ikisajili wastani wa $1.587 kwa lita.
Kulingana na takwimu za GlobalPetrolPrices, hali hii inatokana na kupanda kwa gharama za nishati duniani, jambo linaloongeza gharama za maisha...
Ni jambo la kushangaza kwamba hadi leo bado kuna watu ulaya na asia huko wanaouliza “Afrika ni nchi gani?” kana kwamba Afrika si bara lenye nchi zaidi ya 50. Hii inafanya mtu kujiuliza: je, darasani hawafundishwi vizuri kuhusu dunia au kuna kitu kinapotea kwenye elimu?
Badala ya kufundishwa...
Watu wengi wakisikia “ukoloni” wanafikiria wazungu walifika Afrika na bunduki tu wakaanza kuteka maeneo kwa nguvu moja kwa moja. Ukweli ni kwamba sehemu nyingi ukoloni uliingia taratibu sana kupitia biashara, mikataba na ushawishi wa viongozi wa maeneo husika.
Wazungu walipofika walijenga...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
afrika
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
hafla
kati
kenya
mkutano
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
na rais
rais
rais wa kenya
ruto
ufunguzi
ushirikiano
wakati
waziri
waziri mkuu
william
william ruto
KAFULILA ANASEMA UBIA (PPP) NI NGUZO MUHIMU KATIKA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NA UUGUZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema kuwa ubora wa rasilimali watu kupitia afya na elimu ndio msingi mkubwa wa Tanzania kufikia...
Viongozi wa Afrika, jitahidini kuwa na majasusi wa kimkakati.
Kuna ukoloni mamboleo unaorejea barani Afrika, ambapo baadhi ya viongozi wa ndani watatumika kuwasaliti na 'kuwauza' viongozi wenzao wa Kiafrika.
Alloyce, P.R.
KENYA KAMA “TROJAN HORSE”? VITA VYA DATA, TABIANCHI NA UTAWALA MPYA WA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI
Katika karne ya 21, vita havitangazwi tena kwa mizinga pekee. Havianzi kwa ndege za kivita wala askari kuvuka mipaka. Vita vya leo vinaanza kwa “ushirikiano wa kisayansi,” “miradi ya maendeleo,”...
Tanzania tuna LNG project yenye potential ya kubadilisha uchumi wa taifa kwa kiwango kikubwa sana, halafu watu wanataka tuwe desperate kwa sababu Dangote anaweza kwenda kujenga refinery Kenya? Tanzania tayari ina:
🇹🇿LNG project,
🇹🇿EACOP
🇹🇿Bandari za kimkakati
🇹🇿SGR
🇹🇿matenki ya mafuta...
TUSIPOJITUMA TUTATUMWA: Ukweli Mchungu Kuhusu Mustakabali wa Afrika.
Kuna jambo la kutisha linaloendelea sasa hivi: Vijana wa Kitanzania na Waafrika kwa ujumla wanalegezwa taratibu na mambo yasiyo na tija. Kamari, uraibu wa michezo bila uzalishaji, na anasa za muda mfupi zimekuwa kipaumbele...