Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda ameshiriki kikao cha Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki kinacho endelea mjini Nairobi Kenya.
Makamishna Wakuu hao wamekutana kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kuondoa vikwazo katika ukusanyaji wa...
Maana haujui kwa muda wowote litakalo kufika kutokana na hali duni za mikakati na system mbovu zinazokuzunguka.
Pale unapoambulia kitu cha faida hapa Afrika basi ujue wewe ni mwenye bahati kuu.
Hongera sana mh. RC wa Arusha, Paul Christian Makonda.
Binafsi nakukubali sana hasa kwa mambo makuu 5 ambayo ni:-
I. Ubunifu
II. Usimamizi
III. Ufuatiliaji
IV. Ujasiri
V. Kutokukubali kushindwa.
Hongera sana kwa kufuata nyayo za Mwamba wa Afrika, JPM. Tulimpenda sana yule Mwamba. Mungu...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana!
Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa walipa kodi just kwa miaka 63 bado nchi kama nchi tunasua sua kwenye uokozi? Wale ni walipa kodi...
Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu.
Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
afrika
chanzo
elimu
elimu.
kesi
kilele
kimataifa
kisiasa
kuanguka
maghorofa
makundi
siasa
siri
ubovu
uchawa
umaskini
viongozi
viongozi wa kisiasa
vyama
vyama vya siasa
wingi
zao
Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo
Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo...
Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni..
Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia.
cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
Hatua ya Kihistoria kwa Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan anakwenda kuandika historia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20. Huu ni ushindi mkubwa unaoonesha ukuaji wa ushawishi na nafasi ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa.
Je, uwepo wa nchi zinazoendelea...
Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔
1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam vina lebo ya “Made in China,” lakini ukifika China hutavikuta madukani hata ukahangaika vipi, na...
Chorus
Jumuiya Yetu sote tuilinde
Tuwajibike tuimarike
Umoja wetu ni nguzo yetu
Idumu Jumuiya yetu.
1st stanza
Ee Mungu twaomba ulinde
Jumuiya Afrika Mashariki
Tuwezeshe kuishi kwa amani
Tutimize na malengo yetu.
2nd stanza
Uzalendo pia mshikamano
Viwe msingi wa Umoja wetu
Natulinde Uhuru na...
Mwanamuziki Tyla ameweka rekodi kwa kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo tatu usiku mmoja katika tuzo za MTV European Music Awards (EMAs) za mwaka 2024 zilizofanyia usiku wa kuamkia leo Manchester.
Tyla ameshinda Tuzo ya Best Afrobeats, Best R&B Award na Tuzo ya Msanii Bora wa...
Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora.
Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
Anonymous
Thread
afariki dunia
afrikaafrika mashariki
biashara
fundi ujenzi
huduma
mradi
ubungo
ujenzi
Swali la kwa nini Afrika, licha ya kuwa na rasilimali nyingi, imeendelea kuwa na maendeleo duni, ni suala la kihistoria lenye mizizi mirefu. Watu wengi huashiria ukoloni kama sababu kuu, lakini ukweli unaonyesha kuwa hali hii inatokana na sababu nyingi, zikiwemo jiografia, ukoloni, matatizo ya...
Maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE) yanafanyika mjini Shanghai, na kuzishirikisha nchi za Afrika.
Kwenye maonesho hayo, Tanzania imekuwa mgeni wa heshima kwa mara ya kwanza, huku Benin, Burundi na Madagascar zikishiriki kwa mara ya kwanza katika maonyesho haya ya...
Wanabodi
Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni ujinga, hivyo nimeshauri 2025, Watanzania tuwaonyeshe tuna akili zaidi yao kwa kuchagua rais mwanamke...
Maonesho ya biashara ya Utalii (COTTM) yamemalizika hivi karibuni mjini Beijing, China.
Maonesho haya yaliyofunguliwa tarehe 16 na kuendelea hadi tarehe 18 mwezi wa 10, yalitoa jukwaa muhimu la kufanya biashara ya utalii nje ya China kwa kutoa fursa za uwezekezaji na soko la watalii wa China...
Mrembo wa Nigeria aliyefutiwa Uraia nchini Afrika Kusini, Chidimma Vanessa Adetshina ameshika nafasi ya tatu Duniani kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks.
Soma, Pia: Afrika Kusini yamfutia uraia mrembo wa Nigeria, Chidimma Adetshina pamoja na Mama yake
Chidimma Adetshina, ambaye alikuwa...
Najua nitakachoandika hapa kitaleta ukakasi kwa watu wengi, lakini ukweli lazima usemwe.
Wakoloni kutoka Magharibi walitumia nguvu zao za kijeshi na kiuchumi kutanua himaya zao, wakitafuta rasilimali na maeneo ya kutawala kote duniani. Walivuka bahari na kufika mabara mbalimbali, wakifanya...