afrika

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

    Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aieleza G20 namna ambavyo Tanzania itailisha Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani G20 alipata nafasi ya kueleza mikakati ya Tanzania ya kujitosheleza kwa chakula na kulisha nchi zingine Afrika. Aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano huo wa G20 kuhusu...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya waganga wa kienyeji na matapeli wa kidini waliotapakaa nchini na Afrika

    Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao. Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi. Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza. Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi. Wote wanatafuta kupiga fedha. Wote ni wababaishaji. Je, hawa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Yanga imevunja record Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

    record babkubwa zaidi. 1) Aucho mchezaji wa Yanga alikuwa timu yao ya taifa na wamefuzu. 2) Diarra yupo Yanga kashiriki kufuzu AFCON na Mali imefuzu. 3) Dube yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Zimbabwe imefuzu AFCON 4) Aziz ki yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Burkina Faso imefuzu...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Misiba bado ina nguvu sana Afrika

    Unaweza kucheza na vyote lakini sio msiba.. Misiba Afrika ni kama mila na desturi.. Ni utamaduni wenye nguvu bado Kuna muunganiko wa ajabu na wenye nguvu sana kwenye mila na desturi za Kiafrika na wageni wanautamani lakini hawawezi tena maana walishaharibu Nadhani ndio chimbuko la Ubhuntu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Huu hapa uzi mpya wa Klabu ya Yanga wa Klabu Bingwa Afrika 2024/25

    Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa sehemu ya maandalizi ya timu kuelekea michuano hiyo, huku zikitarajiwa kutumika katika mechi zao za...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania HIvi ndivyo viongozi wa Afrika wanavyonunuliwa na mataifa makubwa ikiwemo Rais Tinubu ambaye ni jasusi la CIA

    Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA. Kanunuliwa, yuko mfukoni. Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika. Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.
  8. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Makamishna wa Mamlaka za Kodi Afrika Mashariki wazindua ripoti ya utendaji

    Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya...
  9. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Wakuu wa mamlaka za mapato Afrika Mashariki wakutana

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda ameshiriki kikao cha Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki kinacho endelea mjini Nairobi Kenya. Makamishna Wakuu hao wamekutana kwa lengo la kubadilishana uzoefu na kuondoa vikwazo katika ukusanyaji wa...
  10. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ku-survive hapa Afrika inatakiwa iwekwe kama "special skill" katika resumes zetu

    Maana haujui kwa muda wowote litakalo kufika kutokana na hali duni za mikakati na system mbovu zinazokuzunguka. Pale unapoambulia kitu cha faida hapa Afrika basi ujue wewe ni mwenye bahati kuu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda, Mwamba wa Afrika ajaye.

    Hongera sana mh. RC wa Arusha, Paul Christian Makonda. Binafsi nakukubali sana hasa kwa mambo makuu 5 ambayo ni:- I. Ubunifu II. Usimamizi III. Ufuatiliaji IV. Ujasiri V. Kutokukubali kushindwa. Hongera sana kwa kufuata nyayo za Mwamba wa Afrika, JPM. Tulimpenda sana yule Mwamba. Mungu...
  12. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea kariakoo jana msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu! Viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maslahi tu

    Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa walipa kodi just kwa miaka 63 bado nchi kama nchi tunasua sua kwenye uokozi? Wale ni walipa kodi...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  15. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Afrika hawaoni thamani ya raia wao ?

    Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo...
  16. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Sala ya kuwaombea toba Washenzi wa Afrika mbele ya moyo mtakatifu wa Yesu

    Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni.. Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia. cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
  17. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Je, mwaliko wa Tanzania katika mkutano wa G20 unatoa nafasi halisi ya kuboresha ushirikiano wa kimataifa kwa bara la Afrika?

    Hatua ya Kihistoria kwa Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan anakwenda kuandika historia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20. Huu ni ushindi mkubwa unaoonesha ukuaji wa ushawishi na nafasi ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa. Je, uwepo wa nchi zinazoendelea...
  18. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Jinsi 'Made in China' ilivyowapoteza wafanyabiashara wengi Tanzania na Afrika

    Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔 1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam vina lebo ya “Made in China,” lakini ukifika China hutavikuta madukani hata ukahangaika vipi, na...
  19. Logikos

    JamiiForums Tanzania Je, unautambua Wimbo wa Taifa wa Afrika Mashariki?

    Chorus Jumuiya Yetu sote tuilinde Tuwajibike tuimarike Umoja wetu ni nguzo yetu Idumu Jumuiya yetu. 1st stanza Ee Mungu twaomba ulinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize na malengo yetu. 2nd stanza Uzalendo pia mshikamano Viwe msingi wa Umoja wetu Natulinde Uhuru na...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hakuna kama Tyla Afrika, awa gumzo tuzo za MTV European Music (EMAs) 2024

    Mwanamuziki Tyla ameweka rekodi kwa kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo tatu usiku mmoja katika tuzo za MTV European Music Awards (EMAs) za mwaka 2024 zilizofanyia usiku wa kuamkia leo Manchester. Tyla ameshinda Tuzo ya Best Afrobeats, Best R&B Award na Tuzo ya Msanii Bora wa...
Back
Top Bottom