afrika

  1. K

    JamiiForums Tanzania Unajua kwamba Yanga inagonga 90? Lakini, haijawahi Kuwa Miongoni Mwa Wababe Watano Bora Kwa Soka Barani Afrika..!

    Miaka 90 si haba..! Kwa michuano ya ndani kama NBC na CRDB si haba inayo mafanikio pia ingawa inajulikana michuano ndani kuna janja janja nyingi, sasa Kimataifa tupoje.? Simba yenyewe inaendelea kujivinjari nafasi za juu Ranking za CAF Kwa Ubora wa Kusakata Kabumbu barani Afrika, wakati fulani...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa rais Afrika, kila kitu chako kinakuwa rais na rahisi

    Ukiwa rais, hata mbwa wako anakuwa rais wa mbwa wote. Ukiwa rais, hata kuku wako anakuwa rais wa kuku wote, ukiwa rais, kila kitu kwa watu wako kinakuwa rahisi. Ukiwa rais, hata gari lako ni rais wa magari yote nchini mwako. Tulizoea kuyasikia haya huko Congo zote, Equatorial Guinea, na Libya...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania mkiambiwa maamuzi ya Ibrahim Traor'e ndiyo suluhisho la Afrika mnsenma ni udikteta, mnalalamika nini?

    Suluhisho la ufisadi ndani ya Tanzania na Afrika nzima ni mapinduzi ya kijeshi hakuna mwanasiasa au msomi wa Afrika aliye mzalendo kwa taifa lake wote ni mafisadi na wezi wakubwa bila kutaifisha mali na fedha walizoiba wataendelea kuwa juu siku zote.
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore

    Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore Miongoni mwa maeneo ya ushirikiano ni masoko ya mazao ya kilimo, elimu na mafunzo kwa vijana, nishati jadidifu, na uchumi wa kidijitali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki ufunguzi wa Mkutano wa 5 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), Agosti 26, 2025

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 jijini Singapore. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi mechi ya kenya vs Madagascar kurudiwa uamuzi wa shirikisho la soka Afrika

    Barua husika hiyo OFFICIAL statement from CAF. The body will release the same Next Week. CAF DECISION STATEMENT Following a thorough review of the FIFA match report, referee assessments, and official video footage of the CAF Africa Cup of Nations Qualifier between Kenya (Harambee Stars) and...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na ajira, ujuzi kupitia mpango wa Japan wa thamani ya dola bilioni 5.5

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na mpango mpya wa Japan uitwao “Hometown Initiative”, mpango unaolenga kuimarisha uhusiano na Afrika huku pia ukishughulikia changamoto za idadi ya watu nchini Japan. Kupitia mpango huo, Jiji la Nagai katika Prefecture ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kabla huruma zetu hazijavuka mipaka hadi Gaza, basi tuanze kuwaonea huruma wa Sudan na maeneo mengine ndani ya Afrika

    Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio? Tuacheni unafiki.. hata hapo Sudan kuna wa Afrika wenzetu wanakufa na njaa... yeah CHARITY BEGIN AT...
  9. JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana wa Afrika kwa ufinyu wa kufikiri , miaka ya hivi karibuni jeshi la marekani limekuwa likitoa nafasi za kazi katika jeshi lao kwa watu

    Nawashangaa sana wa Afrika kwa ufinyu wa kufikiri , miaka ya hivi karibuni jeshi la Marekani limekuwa likitoa nafasi za kazi katika jeshi lao kwa watu wa mataifa mengine na wamekuwa wakitoa mshahara mzuri wa kushawishi , wa Afrika kutokana na kuwa na mihemko na ulimbukeni wanakimbilia huko...
  10. JamiiForums Tanzania Kitabu cha The Animals Are Innocent: "The Search for Julie's Killers" kinaonyesha majibu rahisi ya viongozi afrika mfano tukio la Julie's kule kenya.

    Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Je wajua? Jumlisha Marekani, china na ulaya kwa pamoja ni ndogo kuliko bara la Afrika

    Salaam! Kumbe Africa yetu ni kubwa kuliko tulivyochorewa kwenye ramani. BBC Swahili imekuja na ripoti iliyoandakiwa na wataalamu toka Africa kuwa baada ya tafsiri na vipimo vya ardhi ya nchi zote Afrika, Imebainika kuwa Africa ni kubwa kuliko marekani,china na ulaya kwa pamoja na Nafasi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Majasusi wa Urusi wamkabidhi beji maalumu Rais Traore , huku wakitoa mienendo mibaya ya Marais karibu Asilimia 90 WA afrika hawafai kubebwa na Urusi.

    Ripoti za Siri zimevuja Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi. Majasusi wanasema viongozi wengi WA afrika Wana uraia Pacha hasa WA ulaya , Oman, Dubai, America, na wengi wanamiliki majumba...
  13. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

    https://youtube.com/shorts/ZE6JoCrTnxA?si=909EeGhifyHrywRl
  14. JamiiForums Tanzania Malema ajiunga kwenye vuguvugu la kufukuza wageni Afrika Kusini

    Mwanasiasa mtata wa Afrika Kusini, ambaye siku zote alikua anatetea umoja wa Afrika, abadilisha gia angani na kusema kila mtu kwao. Japo kiukweli huwa siwaelewi mnaokwenda kwenye nchi za watu na kuzaliana huko, inapaswa kila mtu ajue siku raslimali zikipungua, wajukuu na vitukuu kwenye nchi yao...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ni lazima Afrika tuondoe mfumo wa elimu ya kiloni!!

    Hili ndilo janga kubwa kwani tumelishwa na kujifunza elimu ya kikoloni hivyo tunahitaji kufanya mapinduzi ya kielimu ili kusoma vinavyotuhusu tu na vya kwetu kwa wingi zaidi.
  16. JamiiForums Tanzania Innovation bora inayotamba kwa sasa Afrika

    Wakati huko kwa wengine duniani wanatamba na AI,EVs,Solar,Nuclear......... Sisi Afrika tuna tamba na innovation yetu inayo sumbua kwa sasa katika masoko mbalimbali ya bidhaa.
  17. JamiiForums Tanzania DC Haniu afungua Mkutano wa Kimataifa wa Chama cha Wataalamu wa OPTOMETRIA TANZANIA(TOA) na Baraza la Optometria Afrika (AFCO)

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amewaomba Madaktari(Wataalamu) wa macho Kuendelea kufanya Utafiti wa kina juu ya chanzo cha matatizo ya uoni hafifu na kubaini tatizo na njia za kutibu ili kuondokana na Ugonjwa huo ambao unawashambulia kwa Kasi Wananchi wa Tanzania na Afrika kwa Ujumla...
  18. JamiiForums Tanzania Mbu wamekuwa “Vikosi Maalum” katika Ushirikiano wa China na Afrika wa kupambana na Malaria

    Hivi karibuni, ili kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Chikungunya, mkoa wa Guangdong, China uliachilia mamilioni ya mbu maalumu, ambao wanaweza kula mbu wanaoambukiza virusi hivyo. Utafiti wa teknolojia ya kiubunifu kuhusu mbu nchini China umeanzisha njia mpya za kuzuia magonjwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ukeketaji unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika kama vile Gambia

    Kuna uhusiano gani Kati ya mambo ya Imani na Ukeketaji kwa maana Ukeketaji umepigwa marufuku katika nchi zaidi ya 70 duniani kote lakini unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika, kama vile Gambia
  20. H

    JamiiForums Tanzania Ifikie wakati kudanganya madhabauni iwe kosa kisheria ndani ya Afrika

    Waafrika wanaangamia kwa kukosa wa kuwasimamia. Yaani mtu anatoka huko kijijini, anafika mjini masikini, ghafla tu anaweza kutenda miujiza na kuongea na Mungu. Je, huko kijijini alishindwa nini? Serikali zinawaangalia tu masikini wanaibiwa na kutapeliwa kuwa wanaponywa na kutajirishwa. Kwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…