afrika

  1. JamiiForums Tanzania Utajiri wa MO vs BAKHRESA: Vigezo gani hutumika kuwabaini matajiri?

    Jarida la Forbes limetoa orodha ya matajiri barani Afrika ambapo Mohammed Dewji ameendelea kushikilia usukani kutokea Tanzania na kushika nafasi 15 barani Afrika. Mimi nina maswali kuhusu orodha hii, hivi hapa nchini hamna watu wana unreported wealth? Kuna watu wanaonekana kwa macho wana...
  2. JamiiForums Tanzania "Fei Salum ni kiungo bora Afrika Mashariki" asifananishwe na kina Ndemla, Mkude, Chama, Majogoro nk

    Fei Salum ni level za kina Khama billit,Ngoma au Dieng. Anaweza akacheza kama 8 au 10. Anasifika kwa mashuti ya mbali, dribble na chenga za mauzi. Amezifunga timu nyingi kama Tunisia, Madagascar Simba nk
  3. JamiiForums Tanzania Je, Scholarship ni mbinu ya kutengeneza Vibaraka hasa wa Kisiasa?

    JE SCHOLARSHIP NI MBINU YA KUTENGENEZA VIBARAKA WA KISIASA? Anaandika Robert Heriel. Scholarship inaweza kuwa na maana nyingi, mojawapo ni kumsaidia mtu/mwanafunzi kirasilimali aweze kupata elimu Fulani; Rasilimali hiyo inaweza kuwa Fedha, au mahali pa kuishi(makazi), au chakula, au vitendea...
  4. JamiiForums Tanzania Ajificha kwenye tairi la ndege kutoka Afrika Kusini mpaka Uholanzi

    Polisi wa kijeshi nchini Uholanzi leo wameshangazwa kumkuta mtu aliyekuwa amejificha chini ya ndege kwenye eneo la tairi la mbele kuwa yuko salama. Ndege hiyo ilisafiri kwa saa 11 kutokea Afrika mpaka Ulaya. Ndege hiyo ya mizigo ilitokea Afrika Kusini na kutua Kenya kwa muda mfupi kabla ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China yaisaidia Afrika kuingia katika “zama za 5G"

    Hivi karibuni, China imeweka hatua mpya katika kuzisaidia nchi za Afrika kuendeleza mageuzi ya kidijitali. Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Zambia ya MTN imeshirikiana na Huawei ya China kuzindua mtandao wa majaribio wa 5G, na kuifanya nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi za awali barani Afrika...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kifedha wa China kwa Afrika "kupiga breki"?

    Hassan Zhou Hivi majuzi, makala ya gazeti la Financial Times yenye kichwa "Mkopo wa China kwa Afrika Wapiga Breki" imenukuliwa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya Afrika. Ikitaja hatari ya kushindwa kulipa madeni katika baadhi ya nchi za Afrika, makala hiyo ilisema China "imetuma ishara...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongereni majirani: Tanzania Yaongoza kwa Matumizi ya Bangi Afrika Mashariki

    Haiwezekani mshindwe kwenye vyote, hampo kwenye riadha, elimu, chumi bora Afrika na mengineyo...walau kwa hili mumewakilisha vyema, na lile pendwa la ushirikina...hehehehe December 3, 2021 by Global Publishers Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China inatoa msaada kwa nchi za Afrika, ili nchi za Afrika zisiombe msaada tena katika siku za baadaye

    Fadhili Mpunji Moja ya mada zinazojadiliwa katika uhusiano kati ya China na Afrika ni msaada. Hivi karibuni, ofisa mwandamizi wa shirika la misaada ya kimataifa la China (CIDCA) Bw. Liu Junfeng kwenye mkutano uliofanyika Beijing alieleza kwa kina utaratibu wa China katika kutoa misaada kwa nchi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa China kwa nchi za Afrika: Je ni mzigo wa madeni?

    Caroline Nassoro Vyombo vingi vya habari vya nchi za Magharibi pamoja na baadhi ya wanasiasa katika nchi hizo wanadai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo wa madeni, na kwamba inaendeleza ukoloni mamboleo kwa nchi hizo. Tukiangalia kwa undani, uhusiano wa China na nchi za Afrika ni wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China yabeba jukumu muhimu la kuwa nchi inayohimiza amani katika Afrika na dunia kwa ujumla

    China inaendelea kuonesha umuhimu wake duniani hasa katika bara la Afrika baada ya kutangaza kwamba itateua mjumbe maalumu katika pembe ya Afrika, ambayo imekuwa ikikabiliwa ni migogoro kila uchao. Hii pia inaonesha kwamba nchi hii kubwa ya Asia ina wasiwasi na hali ya usalama katika kanda hiyo...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yawa ya kwanza Afrika kuzindua mabasi yanayotumia umeme

    Yatapunguza gharama kwa asilimia 80% An electric bus from Opibus during a test drive in Nairobi. TECHCRUNCH Swedish-Kenyan company Opibus has launched the continent's one of a kind electric bus which is expected to start operations later this year. The bus is the first all-electric as...
  12. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Simba wadaiwa kuambukizwa covid-19

    Simba na Puma katika mbuga ya kuhifadhia wanyamaporinchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wamiliki wao, kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi katika chuo Kikuu cha Pretoria. Wanasayansi hao wameonya kuhusu hatari ya kirusi kipya kutokea iwapo virusi...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora

    Tutafika tu.... Top 10 African countries with quality roads Namibia (score 5.2) world ranking 23 South Africa (score 5.0) world ranking 29 Rwanda (score 5.0) world ranking 31 Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42 Mauritius (score 4.7) world ranking 44 Morocco (score 4.4) world ranking 55...
  14. JamiiForums Tanzania Nabi wa Afrika ni bora na mahiri 'Kiufundi' kuliko Pablo wa Ulaya na Real Madrid ya Manzese

    Nisiwe Mnafiki namkubali zaidi Kocha wa Yanga SC Nabi kuliko Kocha wangu wa Simba SC Pablo. Tuvumiliane tu kwa huu Ukweli wangu.
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania inaongoza Afrika kwa kuwa na Walevi wengi."Kwa hali hii Maendeleo ni ndoto"

    Hii ni hatari kama sio balaa.Wenzetu wanaongoza kwa mambo ya msingi,ni ajabu Tanzania yetu inaongoza Afrika kwa kuwa na wale wengi. Si ajabu wanawake wanakosa wanaume na waliopo hawana nguvu za kiume na za mwili,hupigwa hovyo kwa sababu ya ulevi. Kana kwamba haitoshi Tzn iko mingoni mwa nchi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Huawei kupeleka zana za kidijitali ili kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori barani Afrika

    Kampuni ya mawasiliano ya Huawei ya China imesema itapeleka teknolojia yake ya 5G ili kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori mashuhuri barani Afrika huku kukiwa na vitisho vinavyohusishwa na shughuli za binadamu na mabadiliko ya tabia nchi Huawei inasema teknolojia yake ya 5G na kamera za kisasa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa idadi ya Waafrika wanaoishi nchini China, ni wazi Afrika inazalisha nguvu kazi kwa nchi zilizoendelea

    Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko. Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yafaidika na maendeleo ya China katika sekta ya sayansi na teknolojia

    Mwezi Oktoba mwaka jana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) Bill Burns alisema kuwa, Shirika hilo linaanzisha vituo viwili vikubwa, kimoja kikilenga China na kingine teknolojia zinazoongoza. Hatua hiyo iliashiria kuwa, kiongozi huyo anaamini kuwa, uwanja mkubwa wa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania “Mtego wa madeni”, njama ya nchi za Magharibi kuzuia maendeleo ya Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekanusha tena “dai la mtego wa madeni” kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika alipokuwa ziarani nchini Kenya hivi majuzi. Alisisitiza kuwa China kamwe haijawahi kuzilazimishi nchi nyingine kufanya shughuli zisizotaka, na dai hilo ni kama “mtego...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Usalama, ufunguo mpya wa ushirikiano kati ya China na Afrika

    Mwanzoni mwa mwaka mpya, waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi alipendekeza "Mpango wa Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika" wakati wa ziara yake katika nchi tatu za Afrika, na kutangaza kumteua mjumbe maalum ili kuonesha jukumu kubwa zaidi la China katika kukuza amani katika eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…