afrika

  1. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika kwa Kiasi kikubwa ni walalamikaji

    Tabia hii unaweza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti. Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.
  2. L

    JamiiForums Tanzania “Jino kwa jino”: Afrika haikubali tena "kanuni za Marekani"

    Sera iliyotangazwa na serikali ya Marekani ya kupanua vizuizi vya kuingia nchini humo hadi nchi 40 kwa kisingizio cha "usalama wa taifa" imeanza kutekelezwa rasmi kuanzia tarehe mosi, Januari ya mwaka huu mpya wa 2026. Kati ya hizo, kuna nchi 27 kutoka Afrika. “Jino kwa Jino”, Niger na Chad...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jean Bedel Bokassa, na Makaburu, watawala pekee Afrika walioua watoto. RPC Mwanza atumbuliwe mara moja

    Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29. Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea. Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika? Afrika tuna bahati mbaya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bondia Anthony Joshua apata ajali Nigeria, wawili wafariki dunia

    Bondia maarufu wa Uingereza na Nigeria,Anthony Joshua amepata ajali ya barabarani katika eneo la Makun, jimbo la Ogun, nchini Nigeria. Ajali hiyo imetokea katika barabara kuu ya Lagos-Ibadan, ambapo gari lake aina ya Lexus Jeep liligongana na gari lingine ambalo lilikuwa limesimama. Joshua...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanyakyusa walikuwa wanafanya Autopsy(Upasuaji wa maiti kujua chanzo cha kifo) kabla ya wazungu kuja Afrika

    Haya yaliandikwa na mmishionari 1891-1916 Mazishi Sasa mazishi yenyewe yanaanza. Maiti akivuliwa nguo anabebwa nje ya nyumba na kuviringishwa mkeka ambao inabidi usifungwe sana, kwa sababu kamba iliyokazwa sana inaweza kuwapatia wanaozika ugonjwa wa matumbo (ingoje). Maiti katika mkeka anawekwa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Viwanja 10 vya ndege Afrika vyenye hekaheka

    Pamoja na kuwa tuna vivutio vingi vya kitalii, Tanzania hatumo. Tunakwama wapi?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Jeshi bora Afrika ya mashariki, JWTZ likiwa linajiimarisha katika mazoezi ya kijeshi,

  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Nyegezi, Mwanza wananchi wanalia na mgo wa maji! Ndugu zangu Afrika ni laana

    Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi? ni Afya? ni Elimu? ni nini hasa? Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji! Mwanza wanalia mgao wa maji? Sio siri jamani sisiemu nchi imewashinda mkubali tuu
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa ni nchi masikini, tulishaangaa sana utajiri wa Somalia mipakani Afrika Mashariki na harakati zisizoisha za al shabab. Jibu ni hili

  11. I

    JamiiForums Tanzania I Show Speed Kuzuru nchi 20 Afrika. Tanzania haimo

    https://www.instagram.com/p/DSiPoY2EV_C/?img_index=3&igsh=czl4ZGx1ajM4cTQ3
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Thabit Kombo akifuatilia majadiliano ya Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya nje

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akifuatilia majadiliano ya Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Urusi maarufu kama “Russia-Africa Partnership Forum” unaoendelea jijini Cairo nchini Misri.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
  14. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU), kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu Ndio Tumaini na Mzalendo Namba Moja Aliyebakia Hapa Afrika ambaye hata mabeberu wanamuogopa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika kwa Ujumla wake. Ndiye nuru na Mwanga wa watanzania na waafrika kwa ujumla wake. Ndiye anayeweza...
  17. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika hatuzalishi dawa za kulevya?

    Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya maendeleo katika nchi za Afrika ni kupitia elimu na tafiti

    Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke Kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kosa vyote si akili: Ulaya ina rasilimali chache ila ina akili ya kutumia za Afrika hata kwetu mikoa iliyoendelea haina rasilimali nyingi bali akili

    Ukiangalia mikoa iliyoendelea utaona haina rasilimali nyingi sana ila kuna akili ya maendeleo Mifano ya mikoa ni kama Kilimanjaro, ni mkoa wenye rasilimali chache ila wamepata maendeleo kwa kutumia akili. wameipa thamani elimu iliyowapa sifa ya kujaa katika taasisi nyeti zinazosimamia na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Afrika wapata ujuzi wa utambuzi wa mpangilio wa vinasaba kupitia mafunzo yanayodhaminiwa na China

    China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki uliodumu kwa miongo kadhaa, ukistahamili nyakati zinazobadilika duniani. Urafiki huu umezaa uhusiano na ushirikiano wa kuaminiana, kuheshimiana, kusaidiana, na kuungana mkono katika masuala ya kikanda na kimataifa. Pande hizi mbili zimesimama bega kwa...
Back
Top Bottom