JE, KAMA AFRIKA KUSINI INGEKUWA NCHI YA KIISLAMU?
Hebu fikiria hali ya Afrika Kusini ya sasa, lakini badala ya kuwa Afrika Kusini, iwe ni Tunisia, Morocco au Algeria. Kwa sasa, baadhi ya raia wa Afrika Kusini wanawashambulia na kuwachukia wageni.
Je, dunia ingeendelea kuzungumzia haki za...