africa

  1. Kwanini matumizi ya Mbolea za Kisasa katika nchi za Afrika ni lazima ikiwa nchi za Ulaya wanatumia Samadi?

    Nimefanya utafiti katika kuongeza ufahamu kwenye mashamba ya vyakula na mazao mbalimbali yalimwayo na Wazungu, kitu nilicho gundua wao asilimia 100% wanatumia mborea ya samadi kutoka kwenye kinyesi cha ng'ombe, farasi na miti, pia na mabaki ya taka za majumbani. Pia soma: Kuwa na kilimo cha...
  2. G

    Ni kwanini biashara ya kitumwa ilichelewa kuharamishwa nchi za kiarabu na mpaka sasa inaendelea kimagendo ?

    Uingereza - 1833 Ufaransa - 1848 Marekani - 1865 Saudi Arabia na Yemen 1962, Oman 1970 Mauritania 1981 Hadi leo Biashara hizi zinaendelea kimagendo -Libya -Western Sahara Kwa nchi kama Saudi Arabia mpaka leo kuna unyanyasaji unaendelea kama kuporwa paspoti, vipigo, kubakwa, kulalishwa njaa...
  3. FORD FOUNDATIONISM OF AFRICA

    Ford Foundation ilimpa Fr. Kitima hela akahonga viongozi wa dini laki tano kila siku kwenye semina za elimu ya uraia mwaka 2020; Ford Foundation inampa hela Maria Sarungi kueneza uzushi kwenye mitandao; Ford Foundation imelalamikiwa Kenya na rais Ruto kwa kuandaa maandamano ya GEN-Z ...
  4. Wachezaji watatu wabovu wa Simba wako ligi ya tatu kwa ubora Africa

    Nikiangalia taarifa za usajili wa timu mbalimbali naona wachezaji watatu wa Simba wa msimu uliopita wamesajiliwa ligi ya Algeria, ligi ya 3 kwa ubora Africa, wawili kati yao katika timu yenye mafanikio zaidi nchini humo na mmoja kwa Mabingwa wa CAFCC 2022-23. Mwingine mmoja kauzwa Morocco...
  5. Jiji la Adis ababa sasa halishikiki Africa! Mtanzania atamani maendeleo hayo yangekua yanatokea Tanzania

    Kutoka kwa kijana machachari Abi ahamed Jiji la Adis Ababa limegeuzwa kuwa jiji la kimataifa kwa kuliwekea international standard Abiy anadai Lengo ni kuifanya Adis ababa kitovu cha usasa na miundo mbinu ambayo haipo popote pale Africa. Asilimia 90% ya vitu vilivyotumika katika ujenzi...
  6. Waafrika, kumbukeni Mila na Desturi zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  7. P

    It’s always been the era in Africa.

  8. Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD

    Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD 1)- Johannesburg 🇿🇦12,300 2)-Cape Town 🇿🇦7,400 3)- Cairo 🇪🇬7,200 4)- Nairobi 4,400 5)- Lagos 🇳🇬 4,200 6)- Cape Winelands (region) 🇿🇦3,600 7)- Durban, Umhlanga & Ballito 🇿🇦3,500 8)-The Garden Route (region) 🇿🇦3,200 9)-...
  9. Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

    Ndiyo! Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
  10. Afrika kusini kuna kanisa linamuabudu rapa lil'Kim kama mungu wao

    In South Africa, there is a church in which they worship RAPPER LIL'KIM as their GODDESS. The Church is known as " THE HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL'KIM" and it operates in form of a secret society. It is located at KEMPTON PARK ( 45 MINUTES DRIVE TO DOWNTOWN JOHANESBURG) They have a very...
  11. Kenya wanatuwakilisha vizuri sana Africa Mashariki kwenye Olympics.

    Mpaka sasa Kenya wameshavuna medali nne za dhahabu katika michezo ya Olympics ya Paris na hivyo kutuwakilisha vizuri Jumuiya ya Africa Mashariki, hata hivyo tuwakanye wasituringie sana majirani zao kwani sote ni wamoja, mafanikio yao ni mafanikio yetu pia.
  12. Tems Baby ndie Msanii Bomba na Mzuri Kwa upande wa wanawake Africa.

    Wakuu poleni na majukumu.Niende moja Kwa Moja Kwa mada.Ukweli usio kwepeka huyu mwanadada kutokea Nigeria amekuwa mwenye mvuto kila aendako. Kina Drake Burnaboy na Justin Bieber wamekuwa wakimfuatilia Sana kila anapo rukia Stage. Kwa Binafsi yangu nimemkubali Sana huyu Dada aje tuu hapa Bongo...
  13. Hivi Bangladesh walilogwa miaka 20 unaongoza umekuwa Afrika?

    Kenyaaaaa Gen z Hukoo bangladesh wanafunzi wa chuoo wamemtoa resii waziri mkuu aliekuwa madaraka 20 yrs kakimbilia. India Nawaza hawa jamaa walikogwa ama? Miaka yote iio wako kimya Aisee kumbe hata Africa wale jamaa zetu wallooapa kufia madarakan na wengine wanapanga kuwapa watoto wao...
  14. Mchambuzi anasema Eritrea ina jeshi lenye nguvu kuliko jeshi lolote Afrika Mashariki, ukiitoa Ethiopia

    Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia Nini maoni yako👇🏾 https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
  15. Wazungu Uingereza wanapora vitu madukani. Hakuna tofauti na Afrika, njaa kali

    Wanakummbi. Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa...
  16. Afrika Kusini: Raia wakataa Mrembo mwenye asili ya Nigeria kuwania Miss South Africa

    Mashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni Waaandaaji wa Mashindano ya Miss South Africa wamethibitisha kuwa Chidimma ni Raia wa Nchi hiyo na...
  17. Umaskini wa nchi za Afrika umetokana na system mbovu ya uongozi

    Baada ya kuishi hizi nchi za wenzetu Nimeona mambo mengi pia nimejifunza mambo mengi Hasa hasa mambo ya uongozi japo sina elimu kubwa zaidi ya kujua how hawa wenzetu wanaongoza nchi zao ila nimejifunza machache kidogo Cha kwanza Ni madaraka ya Rais Katika nchi za wenzetu Rais ana play nafasi...
  18. B

    ILLEGAL MILITARY / POLICE CAMP EXPOSED AFTER FOREIGN NATIONALS /BEEN CAMPING IN MPUMALANGA WHITE RIVER SOUTH AFRICA

    26 Jully 2024 Mpumalanga, South Africa https://m.youtube.com/watch?v=ShyPIO7q3Yk ARE WE REALLY SAFE AS SOUTH AFRICANS?FOREIGN NATIONALS OCCUPYING OUR MILITARY DEPOTS ILLEGALLYWAS EVEN OUR MINISTER OF DEFENCE AND MILITARY AWARE OF THIS INCIDENT? LIBYA FOREIGN NATIONALS IN SOUTH AFRICA AT A...
  19. N

    Jersey mpya za Yanga Africa SC msimu wa 2024/2025

  20. N

    Kilombero sugar yapokea kundi la wapandaji mlima kilimanjaro kutoka illovo sugar africa, warejea salama na chapa ya bwana sukari kutoka kileleni

    Mhe. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasiali na Utalii, Nkoba Mabula (kulia) akiongozana pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania Ndugu: Ephraim Balozi Mafuru(kushoto) na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Sukari Kilombero Ndugu;-Derick Stanley...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…