afcon

The CAF Africa Cup of Nations, officially CAN (French: Coupe d'Afrique des Nations), also referred to as AFCON, or Total Africa Cup of Nations after its headline sponsor, is the main international men's association football competition in Africa. It is sanctioned by the Confederation of African Football (CAF) and was first held in 1957. Since 1968 it has been held every two years, switching to odd-numbered years in 2013.
In the first edition in 1957 there were only three participating nations: Egypt, Sudan and Ethiopia. South Africa was originally scheduled to compete, but was disqualified due to the apartheid policies of the government then in power. Since then the tournament has grown greatly, making it necessary to hold a qualifying tournament. The number of participants in the final tournament reached 16 in 1998 (16 teams were to compete in 1996 but Nigeria withdrew, reducing the field to 15, and the same happened with Togo's withdrawal in 2010), and until 2017, the format had been unchanged, with the sixteen teams being drawn into four groups of four teams each, with the top two teams of each group advancing to a "knock-out" stage. On 20 July 2017, the Africa Cup of Nations was moved from January to June and expanded from 16 to 24 teams.Egypt is the most successful nation in the cup's history, winning the tournament a record of seven times (including when Egypt was known as the United Arab Republic between 1958 and 1961). Three different trophies have been awarded during the tournament's history, with Ghana and Cameroon winning the first two versions to keep after each of them won a tournament three times. The current trophy was first awarded in 2002 and with Egypt winning it indefinitely after winning their unprecedented third consecutive title in 2010.
In 2013, the tournament format was switched to being held in odd-numbered years so as not to clash with the FIFA World Cup.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    FALSE Hoima is not qualified to host AFCON 2027 due to having small rooms

    Guys, is it true?
  2. Wito wa Maandamano Yasiyo na kikomo kuanzia siku ya uzinduzi wa Afcon

    Hatimaye CAF imethibitisha kuwa Tanzania itakuwa miongoni mwa waandaaji wa AFKON. Kwakuwa serikali iliyopo ni HARAMU, natoa wito wa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia tarehe ya uzinduzi wa AFCON mpaka kieleweke. Wageni waliopangwa kuja wajulishwe kabisa kuwa tunawakaribisha, lakini tutakuwa na...
  3. Wasaidizi Samia Suluhu waomba AFCON iahirishwe hadi 2028

    Ndo maana CAF hawataki Serikali kujihusisha na Mpira. Wasaidizi wa anayejiita Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, waomba AFCON iahirishwe hadi 2028. Wanadai Viwanja na maandalizi hayatakuwa yamekamilika. Wanadai eti Kenya itakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu kwamba kunaweza kukatokea Vurugu...
  4. CAF yakanusha madai ya kutofanyika AFCON ya mwaka 2027

    --- Kujiamini na matarajio vinaendelea kuongezeka kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON), huku Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) likijaribu kuzima tetesi zinazoongezeka kuhusu utayari wa mashindano hayo. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Rais wa CAF, Patrice...
  5. Maendeleo na gharama za viwanja vitakavyotumika katika Michuano ya AFCON 2027

    Tanzania Benjamin Mkapa Stadium (Dar es Salaam) Ujazo: 60,000 Gharama: $90M (Initial Construction), $12M (Renovations) Maendeleo: Renovations finalizing Vyanzo: IPP Media (https://www.ippmedia.com/the-guardian/business/read/special-report-2024-05-23-185807), Wakala wa Majengo Tanzania – Paul...
  6. AFCON 2027 continues to force Sports infrastructure revival in the country

    Let’s be honest. If AFCON 2027 was not coming to the region, would Makerere University’s training grounds be getting this level of attention right now? Perhaps it would never. The "Tear gas arena" has officially been handed over to the UPDF Engineers Brigade to begin construction of AFCON...
  7. Niueni! Nimekaa paleee. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa AFCON itafanyika nchi ya Kusadikika

    Tazameni uhalisia wa mambo unavyoenda. Nchi zinazokaribiana na nchi ya Kusadikika ukiangalia project zao wako very serious na hawana porojo. Ukiangalia nchi ya Kusadikika ni kama vile tuko tu shega tu Naiona nafasi kubwa ya mwamba PK inayosifiwa kwa WAREMBO afrika nzima kupata nafasi mbadala...
  8. H

    Dkt. Mwigulu aongoza kikao cha kamati ya kitaifa ya Afcon 2027

    DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika...
  9. Kuna uwezekano mkubwa Tanzania kupokwa uenyeji wa Afcon 2027, na kupewa Rwanda

    Kenya wamejenga viwanja vya Kisasa hasa ule wa Raila Odinga Stadium Uganda wamejenga uwanja vikubwa na vya kisasa kabisa Sisi Tanganyika viwanja vizuri vinajengea Zanzibar Kwa fedha za Tanganyika Huku Tanganyika tupo kama mazuzu, Uwanja wa Arusha hadi Leo Bado Uwanja wa Dodoma Bado...
  10. Tanzania yaomba msaada kutoka China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Dar es Salaam – Serikali imeiomba China kuunga mkono maendeleo ya miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa...
  11. Tusipokuwa makini na watu kuwajibika, basi AFCON 2027 inaweza kuwa bonge la failure badala ya fahari

    Suala la kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa Tanzania, Kenya na Uganda ulitangazwa kama ushindi wa kihistoria kwa Afrika Mashariki. Lakini kadri siku zinavyosonga, ndivyo uhalisia unavyozidi kuwa mchungu. Ila nimeshangazwa sana na taarifa na habari za Tanzania kuomba msaada wa taifa la China mwaka...
  12. Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Serikali yaiomba China kuunga mkono jitihada za kuendeleza miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON) pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa Mambo ya...
  13. Uganda's Top sports Leaders Clash ahead of AFCON 2027: What this means for PAMOJA

    A public clash between Uganda' s Football president (FUFA) Engineer Moses Magogo and Sports Minister Peter Ogwang over AFCON 2027 budgeting has exposed a deeper power struggle in Uganda’s sports leadership. Ogwang argues that FUFA acted outside the agreed government framework, insisting all...
  14. W

    CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
  15. D

    Jiji lisilo na maji wala barabara litakuwaje mwenyeji wa AFCON?

    Hebu tutafakari kwa pamoja Wakuu, Vigezo gani vilitumika na CAF kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027? HIYO NI KESHO TU ETI Kwanza, Kenya na Uganda wamekwishamaliza ujenzi wa viwanja vitakavyotumika kwa fainali hizo, Tanzania bado nywinywinywi hakuna kitu Dar es Salaam ambayo ndiyo...
  16. Kuelekea AFCON 2027: Kuanzishwe dalaladala na Mwendokasi VIP

    Usafiri wa umma wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam ni mbovu sana na haujawahi kuwa wa kistaarabu, sehemu ya kwenda kwa dakika 45 yanatumika hadi masaa mawili tena huku abiria wamebambiana kama ndizi pamoja na kuvujiana jasho. Sasa tusiwafanyie hivyo wageni wa AFCON ikiwa...
  17. Rais wa Senegal akiwa na wake zake katika hafla ya kupokea kombe la AFCON

    Hii ni picha kutoka Ikulu ya Senegal. Rais wa nchi hiyo akiwa na wake zake wawili, wakipokea kombe la AFCON baada ya timu ya taifa ya nchi hiyo kutwaa taji hilo.
  18. Yale mavitu ya AFCON Morocco, nikiiangalia Tanzania inatia huruma

    Dunia nzima imekiri AFCON imepiga hatua kubwa sana. Mbali na soka zuri, Morroco imeweka alama kwenye maandalizi, miundombinu ya soka na nje. Tazama yale madude, uwanja mkali. Chek picha za nje ya majengo na miundombinu nje ya uwanja. Kimsingi kitu kizuri huendelezwa kuwa bora zaidi. Njoo...
  19. DREAMING: AFCON Kilimanjaro climb

    Waheshimiwa najiuliza tuu kama taifa tukifadhili upandaji Mlima Kilimanjaro kwa bingwa wa Afcon kila ikitokea, jee kiutalii, kifedha na kitaswira ITATULIPA? (Picha hii ni AI generated)
  20. Isingekuwa hawa vijana hawa, Senegal isingeshinda AFCON

    Hawa vijana wa kigalatia ndo sababu ya kipekee kuwezesha timu ya mpira ya taifa Senegal kuishinda Morocco kwenye Fainali za Afcon na kutwaa kombe. Vijana hao wagalatia ni Eduardo Mendy (kipa) Nicholas Jackson (Mshambualiaji), Antoinne Mendy (kiungo) na Ismail Jakobs (beki). Siku hiyo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…