afariki dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Lukuvi, Mbunge king’ang’anizi afariki dunia

    Unaweza kusema ni mbuyu umeanguka katika siasa za Tanzania, kwani William Vangimembe Lukuvi ndiye aliyekuwa mbunge mkongwe kuliko wote katika Bunge la 13 linaloendelea sasa na waziri mwenye uzoefu mkubwa kuliko wengine. Waziri Lukuvi aliyeingia bungeni tangu mwaka 1995 aligombea na kushinda...
  2. kimsboy

    Mmiliki wa page ya ngono ya Only Fans afariki dunia

    Jamaa kafa na miaka 43 tu Alikua ni mwisrael na myahudi aliyekua sehemu ya mchango mkubwa kwa Israel Alikua anatoa mabilioni ya pesa kufadhili taifa la Mungu la Israel Alikua anamiliki page za ngono na pia alikua anamiliki makampuni ya kushoot video hizo sio hivyo tu jamaa alikua kaajiri...
  3. X

    TANZIA Mmiliki wa OnlyFans afariki dunia

    Bilionea Leonid Radvinsky, Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi aliyezaliwa Ukraine mmiliki wa mtandao wa OnlyFans (aliyezaliwa 1982), amekufa kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43 mnamo Machi 20, 2026 huko Florida. "Tuna huzuni kubwa kutangaza kifo cha Leo Radvinsky. Leo alifariki dunia kwa...
  4. BigTall

    Mtangazaji mkongwe wa EFM na ETV, Ssebo Afariki Dunia

  5. Inside10

    TANZIA Diwani Wa CCM Kata Ya Mzimuni Manispaa Ya Kinondoni Afariki Dunia

    Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026 Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
  6. Mkalukungone Mwamba

    TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, afariki dunia akiwa gerezani

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake. Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya rushwa na matumizi mabaya...
  7. Waufukweni

    Kardinali Pengo afariki dunia akipatiwa matibabu

    Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo Ijumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
  8. Huihui2

    Tom Hagen wa kwenye The Godfather afariki dunia

    Tom Hagen alikua adopted, akasomeshwa sheria na kufanywa kuwa Consigliere wa familia. Hivyo Consigliere aliiuwa ndiye mshauri na mwanasheria wa familia na shughuli zao zote
  9. Waufukweni

    TANZIA Mwandishi wa Habari, Ghaniya Jumbe wa TBC afariki dunia

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha anasikitika kutangaza kifo cha Ghaniya Jumbe, Mwandishi wa Habari, Idara ya Habari na Matukio, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo Februari 07, 2026 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam alipokuwa...
  10. figganigga

    TANZIA Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda Afariki Dunia

    Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu. Huyu jamaa alokufa alizaliwa 1954 MY TAKE Huyu jamaa ndo aliamuru Mwandishi wa Habari wa CHANNEL TEN, Daud Mwangosi...
  11. M

    TANZIA Padre Paul Nsekela Sabuni afariki dunia

    Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, anasikitika kuwatangazia kwamba leo tarehe 30/01/2026 saa 10.31 alfajiri mpendwa wetu Padre Paul Nsekela Mboje SABUNI, Paroko wa Parokia ya IPTL, ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele akiwa katika matibabu...
  12. Bawabu wa pili

    Aliyechomwa sindano kutibu tezi dume kisha kupooza, afariki dunia

    📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake. Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
  13. Bawabu wa pili

    Tabora: Bodaboda yagonga Treni, Mwanafunzi afariki dunia

    Binti aliyejulikana kwa jina la Tatu Mgeta (23), mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College, amefariki dunia huku dereva wa bodaboda akijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea wakati walipokuwa wamepakizana kuelekea chuoni,kugongana na treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Tabora kuelekea...
  14. Miss Natafuta

    TANZIA Mali Kimesera afariki dunia Marekani

    TANZIA- Kwa masikitiko makubwa LINDA WA ATLANTA USA 🇺🇸 anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa MUME wake MALI KIMESERA kilichotokea leo alfajiri NYUMBANI KWAO— inshalah MAZISHI yatafanyika siku ya IJUMAA- ratiba na adress itakuja
  15. Damaso

    TANZIA Leung Choi-Sang nyota wa filamu ya kung-fu hustle afariki dunia

    Ndugu wana jukwaa, Leo ni siku ya huzuni tunapopokea habari za kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa kweli wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong—Leung Choi-sang. Kwa wale tuliozaliwa na kukua tukitazama mikanda ya VHS na filamu za kusisimua za miaka ya 70 na 80, Leung hakuwa mwigizaji tu, bali...
  16. mcTobby

    TANZIA Aldrich Ames, Jasusi wa CIA afariki dunia akiwa na miaka 84

    Aldrich Ames, aliyekuwa afisa wa CIA kitengo cha counterintelligence afariki akiwa na miaka 84. Huyu bwana alikamatwa na makachero wa FBI mwaka 1994 kwa tuhuma za kuuza siri za shirika la CIA kwa KGB kama double agent na kujipatia mamilioni ya dola... Alihukumiwa kifungo cha maisha jela...
  17. Kiranja Mkuu

    TANZIA Askari Polisi maarufu kwa jina la Kaka Jambazi afariki dunia

    Alert🚨🚨🚨 Alert🚨🚨🚨 Alert🚨🚨🚨 .............................................................,.. 👉Huyu ni miongoni mwa Maaskari Washenzi na watekaji Huko Tanga alijulikana kwa Jina la Afande Kaka Jambazi, Namshukuru Mwenyezi Mungu kainyofoa Roho yake mapema sana💪💪 Jeshi la Polisi linatumika vibaya...
  18. Dalton elijah

    TANZIA Waziri Mkuu Wa Bangladesh Khaleda Zia Afariki Dunia

    Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh Khaleda Zia, ambaye wengi walidhani kuwa angeshinda katika Uchaguzi wa mwaka ujao kuongoza nchi yake kwa mara nyingine tena, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80. Khaleda alikuwa na ugonjwa wa cirrhosis ya ini, kisukari, kifua na matatizo ya moyo...
  19. Mkalukungone Mwamba

    Mkuu wa Majeshi Jeshi la Libya, Mohammed Ali Ahmed afariki dunia Jumanne baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kupata ajali

    Mkuu wa Majeshi ya Jeshi la Libya, Mohammed Ali Ahmed Al-Haddad, amefariki dunia Jumanne baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kuanguka muda mfupi baada ya kuondoka katika mji mkuu wa Uturuki, Ankara. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri Mkuu wa serikali ya Libya inayotambulika kimataifa, ambaye...
  20. Inside10

    Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, TP Mazembe na AS Vita, Chico Ushindi afariki Dunia

    Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa. Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho uwanjani, Chico ameacha kumbukumbu za ari, kujituma na nyakati zilizowasisimua mashabiki wa soka la...
Back
Top Bottom