adui yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mcTobby

    Mpumbaze adui yako kisha mpige kwenye Mshono

    Hii ni Iraq mwaka 2004 kwenye battle of Fallujah Sniper akimzuga adui yake kwa kofia .... Then .... AKIJITOKEZA UNALENGA KWENYE MSHONO.
  2. Sales man

    Welcome back TAL in political Arena. Ila, kumbuka Adui yako mkubwa bado yupo HAI, you used to offend the wrong enemy

    Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia. Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy. Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa interest zake. Kitu ambacho nakupa Kama ushauri wewe na wasaidizi wako make sure Una follow ur instinct...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Adui yako hatari akifa weka sherehe. Ni mila potofu kuzuia watu wasifurahie vifo vya Maadui zao hatari. Ni jamii ya kifaniki

    ADUI YAKO HATARI AKIFA WEKA SHEREHE. NI MILA POTOVU KUZUIA WATU wasifurahie VIFO VYA MAADUI ZAO HATARI. NI JAMII YA KINAFIKI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mimi siku nikifa, kama nilikutesa, nilikudhulumu, niliitesa familia yako, niliharibu Maisha yako. Siku ukisikia Nimekufa kwako weka...
  4. GENTAMYCINE

    Polepole una uhakika ulijipanga na Karata zako nazo ulizipanga vizuri dhidi ya 'Muhuni' mwenye Nguvu na Taarifa za kila Kitu?

    Ngoja nijiandae Kusikitika tu kuanzia leo!!!!!
  5. SwahiliFlirt

    [SIMULIZI] Yule Ex Aliyeniumiza Vibaya Amerudi Kama Adui Yako Kibiashara... Utamfanyaje? - Agano Lililovunjika!

    Habari zenu wanajamvi wenzangu! Shimmy wenu niko hapa. Leo, nataka tuingie kwenye safari kidogo. Hebu nikuulize kitu, shemeji. Umeshawahi kumpenda mtu kiasi kwamba unajua fika huyu ndiye wako, lakini dunia, familia, au hata uoga wako mwenyewe ukasimama kati yenu? Umeshawahi kujiuliza "what if?"...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Uume wako sio rafiki yako zaidi ni adui yako mpaka ujifunze kuudhibiti

    UUME WAKO SIO RAFIKI YAKO. NI ADUI MPAKA UJIFUNZE KUUDHIBITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli * Uliwahi kujiuliza Kwa Nini siku hizi huwezi kujisimamia? Huwezi kujiamrisha? Maisha yanahitaji Malengo, malengo huhitaji Mipango na mikakati, Mikakati huhitaji Focus, nidhamu. Nidhamu...
  7. Pdidy

    ADUI YAKO MWOMBEE NJAA..NA ZNZ MNAFUNGWA NA BERKANE KUANZIA GOLI 2+ NIKO KWA SUGUYE NAOMBEA MAADUI ZANGU MPAKA SAA NNE HAPA NIMEANZA KUWAPASUA WATEKET

    MUNGU WA BABA YANGU SUGUYE NABII HAJAWAHI KUSHINDWA ALINISHINDIA MAOMBI MECHI YA MOROCCO MUNGU HUYUHUYU WA NABII SUGUYE TUNAKWENDA KUSHINDA TENA HAPO ZNZ TEAM BERKANE HAPA TUKO KWENYE MFUNGO WA SIKU TATU MWISHO KESHO NASEMA HIVI TUNAHARIBU MAADUI ZETU WOTE TUNAKEMEA WASHINDWE LOLOTE...
  8. The redemeer

    Je wamjua adui wako

    Je wamjua Adui yako . Kumbuka Wewe ni roho. Roho haifi ,inaishi milele yote , Adui yako ni Mwili na Nafsi. Mwili na Nafsi ni marafiki. Mwili na Nafsi huenda kinyume na roho inavyotaka. Mwili unapenda majivuno,mwili unapenda kula ili ushibe,mwili hupenda ubinafsi na vyote vya mwilini,mwili...
  9. GENTAMYCINE

    Raila Odinga wahenga waliposema kuwa Kikulacho ki Nguoni mwako na Adui yako ni Rafiki yako wala hawakukosea

    Cornelius K. Ronoh @itskipronoh It’s confirmed: President Mama Samia Suluhu Hassan and Paul Kagame voted for Mahmoud Ali Youssouf. Interests come first, not neighborhood or friendship. GENTAMYCINE siongezi kitu wala sipunguzi kitu ila Raila Odinga Yeye ajue tu kuwa Waafrika UNAFIKI ni TUNU...
  10. SIPENDI SIASA

    Adui yako anaweza kuwa best friend? Any living examples please?

    Good Morning wadau wa JF. Visa vya rafiki kuwa adui ni vingi mno na vimeandikwa sana humu na sehemu zingine mbalimbali. Je, adui yako anaweza kuwa rafiki? Au aliyewahi kuwa rafiki kisha akageuka adui, anaweza kuja kuwa rafiki tena hapo baadae? Any living examples please? Kama una kisa cha...
  11. Red shadow

    Usimchukie sana adui yako na kuwa mpofu ya uangamizo wako!

    Kama una chuki na adui yako jitahidi chuki isizidi. Pindi chuki ikizidi inakupofusha kutoona uangamizo wako. Yann ya kumtilia adui yako sumu kwene kisima ambacho wewe mwenyewe ndo unatumia maji?? HISTORIA YA SOMALIA NA JINSI NCHI KUBWA ILIVO ANGUKA CHUKI. Wasomali walijikuta wametawanyika...
  12. Right Marker

    Sheria ya 15:- Mponde adui yako kisawa sawa

    Hii ni Sheria ya 15 kati ya Sheria 48 za mamlaka zilizoandikwa na mwandishi ROBERT GREENE katika kitabu chake kiitwacho THE 48 LAWS OF POWER. Sheria hii imesema; CRUSH YOUR ENEMY TOTALLY, yaani mponde adui yako ipasavyo. Bila shaka mtu anayejitafuta kwenye maisha ni lazima awe na maadui. Kama...
  13. Mhafidhina07

    Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  14. DELETED ACCOUNT

    Ndugu yako anaweza kuwa adui yako wa kwanza

    Maisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka maendeleo wala mafanikio yako. Tujifunze na tuchukue tahadhari.
  15. fakhbros

    Usimhukumu adui yako, huenda yeye ndio sababu ya uwepo wako

    Siku moja Nyani waliposikia kwamba mtu aliyekuwa akiwafukuza kwenye shamba la mahindi amefariki, walisherehekea kwa furaha kubwa na Shangwe wakijipongeza na kuamini hakuna tena atakae weza kuwazuia kuiba Mahindi. Lakini mwaka uliofuata, hakukuwa na mahindi. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu...
  16. Bams

    Watanzania Wote ni ndugu, anayeteka ndugu zako ni adui yako

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akitaka kuamsha ari ya kila mtanzania kupigania haki za Mtanzania mwenzake, alisema kuwa "WATANZANIA WOTE NI NDUGU" Sentensi hii moja, kivitendo ni majumuisho ya matendo mema msululu. 1) Ndugu yako huwezi kumwua. Hawa viongozi wa CCM wanaowaambia polisi kuwa...
  17. mahindi hayaoti mjini

    Adui wa adui yako ni rafiki yako

    Urafiki wenu umekutanishwa kutokana na adui wenu kuwa mmoja, Vijana kuweni makini sana
  18. Richard mtao

    Mchanganye adui yako

    Hellow JF. Hii inaweza kuwa mwendelezo wa makala zangu za hapa na pale japo sijazipangalia katika mtiririko sahihi kwasababu ninaishi ninachokiandika. Nataka nikukumbushe kitu, najua wajua lakini nakujuza. Toka kuumbwa kwa dunia kumekuwa na aina mbalimbali za watu, mfano, Watu wema (Watu...
Back
Top Bottom