adimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Karibu Karatu

    FURSA ADIMU YA UWEKEZAJI – KARATU MJINI Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Hii hapa nafasi ambayo haitokei mara kwa mara. Eneo lenye ukubwa wa ekari 3.5, lipo katikati ya mji wa Karatu, sehemu yenye uhai wa biashara na mtiririko wa watalii mwaka mzima. Linapatikana...
  2. O

    Wakuu kuna member humu kawa adimu! Yu wapi?

    Wa kuitwa Tumia akili kapotelea wapi!? au alitandikwa ya kwenye masaburi wakati wa maandamano? Mbona utabiri wake umeenda alijojo? naambiwa jamaa uko alipo haamini kabisa kilichotokea, tofauti na mikwala yake, wajanja wamepindua meza! mambo ya elimu ya faraqi
  3. V-2: Bidhaa Adimu ya Mjerumani iliyomtoa mmarekani Udenda

    Kuna msemo wa kijerumani huwa unasema hivi;JeDem das Seine. Kwanza niwape salamu zangu na pia poleni kwa stress za uchaguzi.. Najua mambo ni mengi lakini things will work out.👊👊👊 Leo nnalo la kushare nanyi. Kaa makini tumakinike Katikati ya nchi ya Ujerumani kulikuwa na eneo fulani...
  4. Wito kwa Wakazi wa Moshi: Fursa Adimu ya Kujifunza na Kufurahia Utalii wa Ndani

    Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi, Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa kulijadili – ni fursa adhimu, inayowahusu wote, iwe bado hujaoa au kuolewa, ama hata kama tayari una...
  5. M

    Hivi kwanini Nissan Fuga licha ya muonekano wake mzuri lakini ni gari adimu sana mitaani... Shida ni nini wataalamu?

    Kichwa cha habari chajitosheleza... 1. Bei sio kali sana 2. Muonekano ni luxury sana 3. Space ndani ya kutosha Ila wamiliki ni wachache sana shida ni nini?
  6. M

    Ruvuma: Simba adimu duniani auawa Liparamba

    Katika kijiji kidogo cha Mipotopoto, pembezoni mwa Pori la Akiba la Liparamba wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, simulizi ya nadra na ya kusikitisha imetokea simba mwenye rangi ya kahawia na nyeupe, kiumbe adimu anayepatikana katika maeneo machache duniani, ameuawa baada ya kuingia kwenye makazi ya...
  7. Natafuta Meza ya Dining ya Mbao Adimu kwa bei yoyote ile

    Ndugu zangu wanaJF, Natumaini wote mu wazima. Mimi ni mpenzi wa vitu vya kipekee, vya ubora wa juu na vyenye hadhi ya kimataifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta meza ya dining ya mbao ya asili (preferably African blackwood au mahogany) iliyo unique siyo zile zinazoonekana kila sehemu. Sitaki...
  8. Picha Adimu za Mkutano wa Kura Tatu Tabora 1958

    Athmani Kondo ni mmoja wa Wazee Mashuhuri na Maarufu wa Tabora walionialika kuzungumza katika Kongamano la CCM kuhusu mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Nilizungumza Ukumbi wa Chuo Cha Uhazili Tabora. Athmani Kondo ameniletea picha hizo hapo chini zikionyesha mambo kama...
  9. Tanzanite ni Adimu kuliko Almasi; Tofauti ya Bei ni Promotion na Huenda Bei yake ikazidi kupaa

    Kuna mambo huwa nikawaza na kuwazua naona vitukuu watatushangaa Sana..., De Beers ameweza kupata pesa nyingi sana na kuwa Kampuni kubwa ambayo ni (Cartel) kwa kuweza kuwaaminisha watu kwamba Almasi ni Adimu sana na inapatikana kwa shida na sehemu chache sana (Ingawa ukweli Almasi ni nyingi ila...
  10. Ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu(Dementia) ni ugonjwa adimu Tanzania?

    Huu ugongwa wa kupoteza kumbukumbu(dementia) ni common sana kwa watu hasa wazee kuugua huko Marekani na Ulaya. Kwa hapa bongo ni nadra sana kukutana na mtu anayegua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia). Maisha yangu yote nimewahi kumuona mzee mmoja tu akiugua huu ugonjwa, tena alikuwa...
  11. Mama Erick Kabendera ni aina ya wamama adimu sana, wanawake wenye maono makubwa

    Erick Kabendera anasema mama yake alikuwa mwalimu wa enzi za ukoloni na ndiye aliyemfundisha yeye na kumpa ujuzi mwingi wa Kingereza, Historia na Uandishi. Anasema nyumbani kwao kulikuwa na maktaba kubwa ambapo walikuwa wanasoma vitabu vingi sana pamoja na mama yake. Kabendera anasema hata...
  12. K

    Watu kama Tundu Lisu ni adimu sana Dunia.

    Watu Hawa hawazaliwi mara kwa mara na pengine Kila nchi huweza kupata mara Moja kwa miongo kadhaa Sifa ya watu Hawa Huwa hawapendwi na waovu na pia hata wao wenyewe hufika pahala wakajikataa Hebu msomeni Martin Luther na hata kina Che Guevara Watawala na wabadhirifu...
  13. I

    Ugunduzi wa zaidi ya tani 2,000,000,000 za madini adimu ya Dunia yaliyopatikana Marekani unaweza kuifanya nchi hiyo kuwa 'kiongozi mpya wa dunia'

    Inaweza kubadilisha mustakabali wa utengenezaji wa bidhaa nchini Marekani. Kufuatia uchaguzi uliomalizika, bilionea Elon Musk amekuwa akionya kuwa uchumi wa Marekani unaelekea kufilisika na kumtaka Rais Donald Trump kuzingatia Bitcoin kama suluhu la deni linalozidi kuongezeka nchini humo...
  14. Fursa adimu ya kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa Mikocheni A, Pata taarifa zaidi"

    " Ni fursa adimu kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa huko Mikocheni A. Kiwanja hiki kina ukubwa wa 1500sqm na kina hati miliki, kwa hiyo unaweza kuwa na uhakika wa umiliki wako. Kiwanja hiki ni muhimu sana kwa ajili ya ujenzi wa apartments, office block, au hata ukumbi wa starehe. Bei yake ni ya...
  15. I

    Zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu zilizovumbuliwa nchini Marekani zinaweza kuifanya iongoze kwa madini hayo duniani

    Baada ya kugundua zaidi ya tani bilioni 2 za madini adimu sana, Marekani sasa ina uwezo wa kuwa kiongozi wa ulimwengu katika suala hilo. Kuwa kiongozi wa dunia linapokuja suala la rasilimali kunaelekea kuwa jambo zuri katika jukwaa la kimataifa - na Marekani inaweza hivi karibuni kuwa kiongozi...
  16. Wanaume ni bidhaa adimu, wanaume wapo wanawake ndiyo hakuna

    Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanamke mwenzenu, huyu mama kaongea kwa uchungu sana maana ndiyo ukweli wenyewe wa kinachoendelea kwa sasa. Dada na wadogo zetu wa kike msipoamka kutoka kwenye huo usingizi mzito basi miaka 20 ijayo jamii itakuwa na kizazi cha ajabu sana, na msidhani...
  17. J

    Mjadala: Athari za 'Magonjwa Adimu' pamoja na Huduma zake

    Je unajua kwamba kuna watu Milioni 300 Duniani wanaishi na magonjwa Adimu? Magonjwa Adimu ni matokeo ya maambukizi ya Bakteria au virusi na sababu za mazingira au kansa adimu. 5% ya idadi ya watu Duniani wanakabiliwa na Magonjwa Adimu kwa sasa. 72% ya Magonjwa yote ya adimu yanatokana na...
  18. Tanzania yajadili namna ya ununuzi wa dawa adimu kutoka Cuba

    Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Grace Magembe pamoja na Wakurugenzi wa Wizara ya Afya leo Februari 2, 2024 wmekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Bw. Humphrey Polepole, wadau wa Hospitali, MSD pamoja na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA)...
  19. Ununuzi wa awali wa pointi za matumizi 1,000 zenye thamani ya $10 million kwa bei ya TZS 300,000 tu

    Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu. Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani...
  20. U.S-CHINA Tech War: China kuzuia uuzwaji wa madini adimu ya vifaa vya kielekitroniki kwenda marekani

    Huku mbiringe mbiringe zikiendelea baina ya Wamarekani na Wachina katika kugombania utawala wa kiteknolojia katika miaka na karne zijazo kaa nami karibu katika kukuletea taarifa mbalimbali kuhusu mtifuano baina ya Marekani na China kiteknolojia. Je, ni taifa lipi litaibuka mshindi na mtawala wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…