adha

Neno "adha" katika lugha ya Kiswahili linamaanisha taabu, kero, usumbufu, au shida inayomkabili mtu au jamii.

Ni hali inayoleta ugumu, maumivu (ya kiakili au kimwili), au usumbufu katika maisha ya kila siku.

Matumizi ya Kawaida​

  • Adha ya usafiri: Inamaanisha usumbufu au shida wanayopata watu kwenye usafiri (mfano: kugombania daladala, foleni barabarani, au ubovu wa miundombinu).
  • Adha ya maji / umeme: Kero inayosababishwa na kukatika kwa maji au umeme, au ukosefu wa huduma hizo muhimu.
  • Kuondoa adha: Inamaanisha kutatua tatizo au kuondoa kero fulani. Mfano: "Serikali imejenga daraja ili kuondoa adha ya wananchi kuvuka kwenye maji."
  1. JamiiForums Tanzania Kayombo: Changamoto ya Mfumo wa Usimamizi Kodi wa IDRAS wa TRA imetatuliwa, tunaomba radhi kwa walipakodi waliopatwa na adha

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa kueleza kuwa kwa sasa changamoto iliyokuwepo imefanyiwa kazi na kila kitu kimekaa sawa. Awali, Mdau wa JamiiForums.com alieleza kuwa mfumo mpya wa TRA, wa ulipaji kodi (Tax Payers Portal) una changamoto ya 'IP'...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi kuchanga fedha kumaliza adha ya maji Njombe

    Wakazi wa Kijiji cha Nindi, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, wamekubaliana kuchangishana fedha kiasi cha Shilingi Milioni 25 kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika kijiji hicho. Baadhi ya wakazi wa Kijiji hicho, akiwemo...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi waeleza adha watoto 865 wakikikaa chini Mtambani Dar

    DAR. Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule ya Msiungi Mtambani jijini Dar es Salaam, wameeleza adha ya watoto wao kukaa chini kwa kukosa madawati. Dar es Salaam. Kukosekana kwa madawati ya kutosha Shule ya Msingi Mtambani Bunju jijini hapa imefanya baadhi ya wanafunzi kusoma wakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dr. Askofu Stephen Munga: Nawapa pole CHADEMA kwa adha

    “Siku ile kukatukia adha kuu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemu; wote wakatawanyika katika nchi ya Uyahudi na Samaria, isipokuwa hao mitume. Watu watauwa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo makuu. Sauli akaliharibu kanisa, akiingia kila nyumba, na kuwaburuta wanaume na wanawake na...
  5. JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
  6. JamiiForums Tanzania ADHA YA BARABARA BAHI DARAJANI

    Kwa watumiaji wa njia/barabara ya Dodoma - Singida watakuwa mashahidi wa adha na adhabu wanayokumbana nayo maeneo ya Bahi darajani hasa kipindi hiki, daraja la bahi japo reli ya SGR kipande kile imekamilika limebaki kuwa kero Kwa watumiaji wa magari sababu ya ubovu wa njia yake, ni lini wahusika...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni wapiga kura wako; Rais Samia waondolee adha ya kunyanyaswa na SUMATRA

    Jana nimeshuhudia vurugu za kutisha mtaani wakati wa kilichodaiwa kuwa zoezi la kukamata pikipiki zinazodaiwa malipo ya SUMATRA. Hali ilikuwa ya kutisha baada ya bodaboda kuanza kurusha mawe ovyo na kuzua taharuki kwa wapita njia. Bodaboda kisheria wanatakiwa kulipa kodi hiyo kila mwaka kwa...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Kunani matengenezo ya barabara Getifonga-Mabogini-Kahe? Adha ya vumbi, vifusi, barabara hazipitiki na vifaa mmeondoa saiti. Tunataka maelezo

    Mkandarasi aliyepewa tenda ya kutengeneza barabara ya kilometa 31 ya Geti Fonga-Mabogini-Kahe wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro anasababisha kero kwa wakazi wa maeneo inapopita barabara hiyo. Mkandarasi huyo ni Lenana Holding Company Limited yenye makao makuu yake jijini Arusha. Kero...
  9. JamiiForums Tanzania Eid Al Adha jamii forums

    As salaam alaikhum ndugu zangu Wana jamii forums Leo ni sikukuu Eid Al Adha tusherekee kwa pamoja tufurahie, tudumishe amani upendo na umoja katika Haki. Mola mtukufu awalinde na kuwabariki Sana Nasherekea sikukuu na uvutaji wa bangi tulivu.
  10. JamiiForums Tanzania Adha ya Mwendokasi: Je, Daladala zirudi kuokoa na kusaidia wananchi?

    Kutokana na kuhatarisha maisha ya abiria, watu kujeruhiwa na kupoteza maisha, kupoteza muda na kuchelewa, pamoja na maumivu ya kisaikolojia; Je, tupo tayari daladala zirudi? PIGA KURA YAKO KULETA MABADILIKO.
  11. JamiiForums Tanzania Wazazi mngejua adha wanazopata watoto wenu katika daladala mngetamani kuwahamisha shule za karibu

    Huenda wakati mwingine kama wazazi huwa tunapenda wenetu wasome katika shule zenye majina makubwa au zile ambazo ni maarufu hapa jijini dar es salaam, lakini kiukweli maumivu ya usafiri wa daladala wanapata watoto wetu. Huwa wananyanyaswa Sana na makondakta, huzuiwa kupanda Magari,kama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KWENU SERIKALI: Adha ya usafiri kwa wakazi wanaotumia barabara ya Kimara - Bonyokwa itakwisha lini?

    Salam Husikeni na kichwa cha habari hapo juu , Wakazi na watumiaji wa barabara kuu itokayo kimara kuelekea bonyokwa na vitongoji vya karibu kama Baa mpya,Mavurunza,Kwa Mringo na Golani wamekuwa wakisumbuka kwa muda mrefu sasa juu ya kero ya usafiri wa hii barabara. Kiuhalisia urefu wa barabara...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Ujumbe wa Eid Al Adh'haa, Awakumbuka Wenye Uhitaji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za heri ya sikukuu ya Eid el Adh’haa kwa dua maalum akiwataka Watanzania kusherehekea kwa amani, umoja na upendo. Ametuma salamu hizo leo Alhamisi Juni 29, 2023 kupitia kurasa za mitandao yake ya kijamii huku akiwahimiza Waislamu kutumia siku...
  14. R

    JamiiForums Tanzania TLS, CHADEMA na wote wanaoipenda Nchi yetu, lipelekeni mahakamani suala la Bandari zetu

    Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation) Tanzania’s parliament has fast-tracked a legal amendment that threatens to severely restrict the capacity of independent rights...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Tope kituo cha daladala Kawe ni Adha kubwa kwa abiria

    Kituo cha daladala Kawe ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa kituo hicho, Kituo hakina ukarabati wowote, iwe masika na kiangazi, hakuna nafuu, ikiwa kiangazi kituo kinapambwa kwa mashimo na mabonde hali inayoathiri magari na abiria pale wanapofika kituoni. Kwa masika kama kipindi hiki ndio balaa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Samia: Ujenzi wa mto Ng'ombe unaomaliza adha ya mafuriko Dar es Salaam

    Kuelekea maadhimisho ya Miaka Miwili ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wananchi katika kata za Ubungo, Tandale, Manzese, Kijitonyama, Sinza Ndugumbi, Mwananyamala na Makumbusho katika Halmashauri za Manispaa ya Ubungo na Kinondoni zinazopitiwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Maeneo haya yakiboreshwa, yatapunguza foleni mahospitalini pamoja na umauti kwa wagonjwa

    Nimejaribu kutembelea baadhi ya mahospitali, changamoto kubwa niliyokutana nayo ni msongamano wa wagonjwa, kuwa kwenye foleni ili kupata huduma. Wengine wanakuwa wametoka majumbani tangu asubuhi na wanamaliza siku nzima wanakuwa hawajapata huduma kwa wakati. Kwa mtazamo wangu, hii changamoto...
  18. JamiiForums Tanzania Hujuma kwa mmiliki wa Bus la Hokas na kilio cha adha ya nauli kubwa kwa wananchi wa kata ya Loya, Uyui -Tabora

    Sumatra-Tabora Takribani miezi mitatu iliyopita Bus la Hokas lilianza safari zake za Loya kwenda Tabora na kuleta ushindani wa kibiashara KWA mmiliki wa Bus la Mama's one na kufikia hatua ya kushusha nauli kutoka 12000/= Hadi 8000,10000 na 7000/= wananchi walifurahia ushindani huo na kushuka...
  19. N

    JamiiForums Tanzania IST zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari

    Habari wakuu, kama mada inavyosema kuna hizi gari za IST a.k.a baby walker zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari zozote, hadi huwa najiuliza kati ya dereva na gari ni nani aliyepagawa Kwa wale mnaofahamiana na madereva wa 'ist' tunaomba mtueleze ni watu wa aina...
  20. JamiiForums Tanzania Vyama viwe na msemaji mmoja tu kwa ajili ya kukanya ama kutangaza adhabu

    Hivi karibuni kumezuka mjadala mzito vyamani pale anapokosea mheshimiwa yoyote Tumeona timu ya G19 ilioyoshambuliwa na kila kiongozi wa chady kwa kuingia mjengoni.. Sasa imekuwa taharuki akisimama mbunge kusema kitu. Unasikia, amemwonya, Ghafla Ameonya Unawaza ni vyama vuwili tofauti ama Lah...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…