adha

Neno "adha" katika lugha ya Kiswahili linamaanisha taabu, kero, usumbufu, au shida inayomkabili mtu au jamii.

Ni hali inayoleta ugumu, maumivu (ya kiakili au kimwili), au usumbufu katika maisha ya kila siku.

Matumizi ya Kawaida​

  • Adha ya usafiri: Inamaanisha usumbufu au shida wanayopata watu kwenye usafiri (mfano: kugombania daladala, foleni barabarani, au ubovu wa miundombinu).
  • Adha ya maji / umeme: Kero inayosababishwa na kukatika kwa maji au umeme, au ukosefu wa huduma hizo muhimu.
  • Kuondoa adha: Inamaanisha kutatua tatizo au kuondoa kero fulani. Mfano: "Serikali imejenga daraja ili kuondoa adha ya wananchi kuvuka kwenye maji."
  1. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Hujuma kwa mmiliki wa Bus la Hokas na kilio cha adha ya nauli kubwa kwa wananchi wa kata ya Loya, Uyui -Tabora

    Sumatra-Tabora Takribani miezi mitatu iliyopita Bus la Hokas lilianza safari zake za Loya kwenda Tabora na kuleta ushindani wa kibiashara KWA mmiliki wa Bus la Mama's one na kufikia hatua ya kushusha nauli kutoka 12000/= Hadi 8000,10000 na 7000/= wananchi walifurahia ushindani huo na kushuka...
  2. N

    JamiiForums Tanzania IST zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari

    Habari wakuu, kama mada inavyosema kuna hizi gari za IST a.k.a baby walker zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari zozote, hadi huwa najiuliza kati ya dereva na gari ni nani aliyepagawa Kwa wale mnaofahamiana na madereva wa 'ist' tunaomba mtueleze ni watu wa aina...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Vyama viwe na msemaji mmoja tu kwa ajili ya kukanya ama kutangaza adhabu

    Hivi karibuni kumezuka mjadala mzito vyamani pale anapokosea mheshimiwa yoyote Tumeona timu ya G19 ilioyoshambuliwa na kila kiongozi wa chady kwa kuingia mjengoni.. Sasa imekuwa taharuki akisimama mbunge kusema kitu. Unasikia, amemwonya, Ghafla Ameonya Unawaza ni vyama vuwili tofauti ama Lah...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Habari za humu ndugu zangu. Poleni kwa majukumu. Changamoto inayonirudisha nyuma sana: Ninachangamoto ya usikivu mdogo(Hard hearing, Hearing loss), kushindwa kuelewa kinachozungumzwa kwa kiasi fulani (Word deafness) hasa kwa sauti za besi sana sometime ninaweza nisikuelewe maneno utamkayo...
  5. Matanga

    JamiiForums Tanzania Adha kubwa tuipatayo abiria tunaosafiri na mabasi ya mikoani

    Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sna kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya...
Back
Top Bottom