adam

Adam (Hebrew: אָדָם‎‎, Modern: ʼAdam, Tiberian: ʾĀḏām; Aramaic: ܐܕܡ; Arabic: آدَم‎, romanized: ʾĀdam; Greek: Ἀδάμ, romanized: Adám; Latin: Adam) is a figure in the Book of Genesis of the Hebrew Bible and Christian Bible, and also in the Quran. According to the creation myth of the Abrahamic religions, he was the first man. In both Genesis and Quran, Adam and his wife were expelled from the Garden of Eden for eating the fruit of the tree of knowledge of good and evil.
Various forms of creationism and biblical literalism consider Adam to be a historical person. Scientific evidence does not support the idea that the entire human population descends from a single man.The word adam is also used in the Bible as a pronoun, individually as "a human" and in a collective sense as "mankind". Biblical Adam (man, mankind) is created from adamah (earth), and Genesis 1–8 makes considerable play of the bond between them, for Adam is estranged from the earth through his disobedience.

View More On Wikipedia.org
  1. Dogoli kinyamkela

    Wakati nasoma Biblia mwanzo sura ya 3 - Kwahiyo Hawa mke wa Adam alimuona nyoka na hakukimbia? Wakapiga na stori? Bro ogopa wanawake

    Wakati nasoma Biblia mwanzo sura ya 3 Kwahiyo Hawa mke wa Adam alimuona nyoka na hakukimbia? Wakapiga na stori?? Bro ogopa wanawake.
  2. The introvert

    Unakumbuka nini ukisikia jina la Adam Simbeye kwenye THIS WEEK IN PERSPECTIVE

    Leo kwenye urejeo wa fikra zangu nikapata kukumbuka kipindi maridhawa kilichokuwa kikiruka hewani kupitia chaneli ya TBC ,THIS WEEK IN PERSPECTIVE kikiongozwa na mtangazaji mahiri enzi hizo bwana Adam Simbeye. Mule kulikuwa na wazee wanachapa ngeli ya mambele kama wanakunywa supu ya kongoro tu...
  3. stakehigh

    Kuna uwezekano kabla ya Adam and Eve kulikua na kizazi kingine kipo Genesis 1:27 says “male and female he created them”

    Kama umesoma biblia vizuri kabla ya uumbaji wa Adam and Eve basi tayar kulishatajwa kwamba kuna kikundi cha watu kimechaumbwa Genesis 1:27 says “male and female he created them” so this means huenda kuna watu walianza alafu ndo wakina Adam wakafuata Hata hivo ukisoma kitabu cha kiyahudi TANAKH...
  4. Mshana Jr

    Tony Kapola naye kaingia kwenye mfumo kama Adam, Samson, mchungaji Hananja nk..! Amekwisha

    Nakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola.. Simuoni Mungu ndani yake Sioni uchaji wa kiroho Sioni unyenyekevu wa kiimani Sioni kujishusha, kutubu na kujirudi Kinachoonekana kwenye kila video ni Majigambo Maringo Majisifu Kujikweza sana na dharau za kila aina...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Hizi ndizo nguvu na uwezo wa Ajabu aliokua nao Adam baada tu kuumbwa

    NGUVU NA UWEZO WA AJABU WA ADAMU Adamu, akiwa kiumbe wa kwanza kabisa kuumbwa na Mungu, alipewa mamlaka makubwa na uwezo wa kipekee juu ya viumbe wote wa duniani. Tofauti na wanadamu wa leo, Adamu hakuwa na hofu wala upungufu wa nguvu. Biblia inasema: “Kisha Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa...
  6. Mangi Meno

    Tafakuri ya swallat adhuhuri: Naomba Mnisaidie kuyajua Majina ya watoto wa Adam kutoka kwenye quran

    Jioni hii wakati natafakari na kuiskma quran kuna kitu kimenichanganya kidogo na kunipa ukakasi ndio maana nimekuja mbele yenu mnapenda majibu. Vifungu vingi vinasema kuhusi uumbaji mzuri wa Allah kwa namna alivyomuumba Adam mfano: 1. (kumbuka) Mola wako alipowaambia Malaika, “Hakika Mimi...
  7. U

    Ukweli unaowaumiza Wakiristo wengi duniani ni kujua kuwa Uislamu ulikuwepo mwanzoni kabisa na Muislamu wa kwanza alikuwa Nabii Adam na mkewe Hawa

    Usije na kejeli bali hoja zenye ushahidi
  8. Munch wa Annabelle

    Je Adam ni kaka au mdogo wake Yesu?

    “Adamu, mwana wa Mungu.” Luka 3:38
  9. N

    Mwanaume ni busara amzidi mke wake umri, uumbaji wa Adam kabla ya Hawa ni fundisho, Ndoa zenye watu waliolingana zinaongoza matatizo

    Adam aliumbwa kwanza. Kabla ya kuletwa kwa Hawa, aliishi peke yake kwenye bustani ya Edeni, akajifunza mazingira, kuishi na wanyama na namna ya kuyaendesha maisha. Alipokuwa tayari, ndipo Mungu akamletea msaidizi wake, Hawa, si kama kiongozi mpya, bali kama msaidizi wake wa karibu. Adam...
  10. A

    Kisa cha Adam, tofauti kinavyotafsiriwa na Waislam na Wkristo

    Kisa cha Adam. Utangulizi 1 🧠 "Mbu" kama ufunguo wa Maarifa Aya ya Qur'an ya Q2:26 haimtaji tu mbu kama kiumbe, bali inaunda mfano wa kipekee: kitu kidogo kinachoangaliwa na walioamini kama ishara ya haki, na na walio kufuru kama fumbo lenye kero. Hii ni changamoto ya kiakili—huwachuja wale...
  11. Malpighian

    Kwanini Mungu hakumlaani Adam alipokula tunda la katikati katika bustani ya Eden?

    Habari wakuu. Je Kuna sababu yoyote iliyomfanya Mungu aweze kumlaani nyoka na Hawa pale katika bustani ya Edeni na kutoku mlaani Adam ikiwa wote walikosa? Ni kitu gani special Adam alikuwa nacho mpaka Mungu anaamua kuilaani ardhi kwaajili ya Adam na si laana juu ya Adamu? Mwanzo 3:17...
  12. Dr. Zaganza

    Karibuni Wapenzi Wa Riwaya Za wakongwe kama Hussein Tuwa, Shaaban Robert, Shafi Adam Shafi, Ben R.Mtobwa, Alfu lela ulela, Mashimo ya mfalme suleiman

    Riwaya ni hazina. Chagua kitabu, njoo whatsapp ulipie. 0713 039 875
  13. D

    Aliyeomba yohana mbatizaji akatwe kichwa ni mwanamke: Wanaoshangilia utekaji wengi wao viongozi wa kike, Aliyemuuza adam ni mwanamke

    Linapokuja suala la ukatili, viongozi wa kike wameonesha roho mbaya za waziwazi kabisa! Michango ya wabunge inatia simanzi! Kushangilia utekaji na mauaji ni ishara ya juu kabisa ya uchawi! Kama kuteka ni suruhisho hatuna budi kuwa na mahakama na magereza. Viti maalum vimeonesha waziwazi siyo...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Dhambi ya Adam na Hawa inafanana na Dhambi ya mtu wa kwanza aliyeleta Ukimwi Duniani

    Katika dunia ya sasa, kuna hali nyingi zinazoonyesha mateso ya watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya matendo ya wengine. Mfano wa wazi ni ugonjwa wa UKIMWI, ambao umeathiri maisha ya watu wengi wakiwemo watoto wachanga, wake wa ndoa waaminifu, na wengine wasiokuwa na uwezo wa kujizuia. Hii...
  15. H

    Kama watu walitokana na Adam na Hawa, je viumbe wengine walitokana na nani?

    Hapa napo Waafrika wameshindwa kabisa kujiongeza kabisa ili kufahamu ukweli wa chanzo au asili ya MTU. HILI swali jibu lake huwa ni simple sana kama watu,kuku,miti,samaki,mbwa,simba,nk wapo na kila mmoja ana maajabu yake inamaana kuna nguvu iliyosababisha wawepo ambayo ni MUNGU. Tatizo watu...
  16. Skull dance

    Kitabu cha Adam na Hawa

    Habari zenu wakuu, Katika uzi huu, nitaleta maandiko ya kitabu cha Adam na Hawa (The book of Adam and Eve) cha kwanza na cha pili ambacho kwa sababu wanazozifahamu wahusika wamekiondoa kwenye vitabu vya Biblia. Kitabu hiki nitakituma humu kwa Kiswahili kupitia Google translate kwa hiyo baadhi...
  17. Abby Uladu

    Tafakuri juu ya Hawa(EVA) kusingiziwa kuwa alimshawishi Adam Kula tunda na msimamo katika maandishi ya dini kwa mwanamke.(Part 1)

    Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
  18. milele amina

    Elimu bila Rushwa: Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha MWECAU, kilichopo Kilimanjaro, wanachuo WAMESALI SALA YA TOBA!

    Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha Mwecau, kilichopo Kilimanjaro, kumekuwa na tukio la kihistoria ambalo wanafunzi wa shahada ya pili chuoni hapo wameamua kulisherehekea kwa sherehe maalum. Wanafunzi hao wameonyesha furaha na matumaini ya mabadiliko chanya baada ya Dr. Adam...
  19. Mtu wa Majira na Nyakati

    Nani anamjua Adam Bairu aliyekuwa anaifadhili Yanga kule Arusha?

    Kuna Mambo naendelea kujifunza nani alikuwa anamjua tajiri Adam Bairu alyewahi kuifadhili au kuisaport Yanga Africans. (FC)?
  20. ELI COHEN

    Adam Sandler vs Ben Stiller: Nani ni mfalme wa Comedy Movies

    BEN STILLER Miongoni ya Movies zake: 1: Night at the museum 2: Along came Polly 3: Meet the Fockers 4: Tropic Thunder 5: Zoolander ADAM SANDLER Miongoni ya movies zake: 1: Anger Management 2: Grown ups 3: Zohan 4: Just go with it 5: Blended
Back
Top Bottom