Kwa mujibu wa Bodi ya Ufadhili ya Vyuo Vikuu (UFB), lengo ni kupunguza Uhaba wa Fedha kwenye vyuo vya Umma, kuongeza ufadhili kwa wasiojiweza na kupunguza utegemezi kutoka Hazina.
Bodi hiyo imesema itahakiki na kuwatambua wanafunzi wanaotoka familia za kitajiri, uhakiki huo utaathiri pia...