act

The USA PATRIOT Act (commonly known as the Patriot Act) was an Act of the United States Congress, signed into law by President George W. Bush.
USA PATRIOT is a backronym for Uniting and Strengthening America by Providing Appropriate Tools Required to Intercept and Obstruct Terrorism.The Patriot Act was enacted following the September 11 attacks with the stated goal of dramatically tightening U.S. national security, particularly as it related to foreign terrorism. In general, the act included three main provisions:

expanded abilities of law enforcement to surveil, including by tapping domestic and international phones;
eased interagency communication to allow federal agencies to more effectively use all available resources in counterterrorism efforts; and
increased penalties for terrorism crimes and an expanded list of activities which would qualify someone to be charged with terrorism.

View More On Wikipedia.org
  1. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Kipi chama kikuu cha upinzani Tanzania kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA?

    Huo utata lazima umalizwe sasa. ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani? Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mkoa wetu wa Kigoma kutoa kiongozi ngazi ya Makamu wa Rais, sisi wana ACT pamoja na kiongozi wetu Zitto kabwe,tunaweka silaha chini

    Hivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais. Tunaweka silaha chini kumuenzi mwana kigoma mwenzetu, cha msingi atupiganie. ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema Samia katuheshimisha,tutamlipa kwa kura zote 2025,na wabunge wote, madiwani, na viongozi wote wa mitaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania ACT- Wazalendo, matokeo ya uchaguzi mdogo Jimbo la Konde ni ya kupika

    Hii inaitwa: mtoto akililia wembe, mpe.
  4. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wapewa somo zito, CCM haiko tayari kutenda haki katika chaguzi

    ACT walidhani kuwa maadam wamo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, basi labda CCM wangeanza kuwatreat fairly. Lakini wakasahau kuwa CCM kimeshakuwa chama cha dhulma, kama kiliwadhulumu mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu n. k kitaendekea kuwadhulumu mpaka itokee nguvu ya...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo mlishiriki kubariki dhuluma ya uchaguzi uliopita; mshirika wenu anawaonesha rangi yake sasa, vumilieni

    Maandiko yalikuwa ukutani, wakayapuuza. Mazingira ya kisiasa , Vyombo vya dola, tume ya uchaguzi, sheria n.k vyote vilikuwa si rafiki sawa na hapo awtu ali lakini ACT Wazalendo walichagua kushiriki kubariki uchaguzi uliyopita na kuwapa CCM uhalali ambao waliuhitaji sana,wakati ACT wote...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa ACT Wazalendo kata ya Mbagala Kuu akamatwa na kupigwa na Polisi akiwa kituo cha kupigia kura

    Mgombea wa Udiwani wa ACT Wazalendo Kata ya Mbagala Kuu, Shaweji Mketo amekamatwa na Polisi akiwa kituo Cha Kupigia kura ambako alikwenda kuzuia watu wasioandikishwa kupiga kura.Amejuruhiwa mguuni na Polisi akiwa mikononi mwao na sasa anapelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa yaTemeke.
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia Ofisi za jimbo ACT Mbagala Kuu na kukamata Viongozi na Mawakala

    Ofisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa wameweka mkusanyiko usio halali. Kwa hiyo Sasa RASMI mikusanyiko kote nchini HAIRUHUSIWI? Mkusanyiko...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suala la Mikutano ya Kisiasa ni la Kisheria. Huwezi kuomba na kujipa mwenyewe ulichoomba, bila kukubaliwa na wale uliowaomba

    Kumbe Rais Samia alikuwa na mkutano na kundi fulani la watu! Sikufuatilia aliongea nini, kwa sababu huwa napata taabu sana kufuatilia mikutano ya Wanasiasa iwe wa chama tawala au upinzani. Hata hivyo, kupitia mijadala mbalimbali nikagundua nikakutana na hoja za SSH "hataki" mikutano ya vyama...
  9. Nguruka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yapuliza kipenga uchaguzi mdogo jimbo la Konde na kata 6 Tanzania bara

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Jimbo la Konde, Micheweni, Kaskazini Pemba na Kata sita za Tanzania Bara.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Laana ya mzee Membe itaendelea kumtafuna Zitto Kabwe hadi ACT wazalendo itakapokufa

    Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa. Kwa sasa Zitto Kabwe anafanana na Augustino Lyatonga Mrema kwa kila kitu katika medani za siasa. Laana ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania ACT wazalendo ni imara Zanzibar huku Tanganyika afadhali ya Chadema!

    Zitto Kabwe amesema wanaoibeza ACT wazalendo kushiriki uchaguzi mdogo Kigoma ni Washamba. Mimi nadhani Zitto Kabwe ndio mshamba kwa sababu anadhani ACT wazalendo ya Zanzibar ndio hii ya Tanganyika. Chadema ni bora zaidi mara 10 kuliko ACT wazalendo kwa siasa za Tanganyika. Zitto Kabwe ana...
  12. mkalamo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA. Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Anna Elisha Mghwira anarudi ACT? CCM atakaa kama mwanachama wa kawaida? Vitawezekana kweli?

    Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli? Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kama DPP haondolewi ofisini mpaka afanye makosa au awe na tatizo la kiafya, Rais kamuondoa katika mazingira gani?

    Nimesoma mtandaoni kuhusu taratibu za kisheria zinazotakiwa kufuata ili kumuondoa DPP ofisini, ambapo sheria imetamka wazi kuwa DPP hapaswi kuondolewa ofisini isipokuwa tu kama ana tatizo la kiafya(illness) au amekwenda kinyume na maadili ya kazi. Hata katika hili la kwenda kinyume na...
  15. Mwl.Kaijage

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa chama cha ACT-Tanzania na katiba mpya

    Alliance for Change and Transparency-Tanzania Maoni ya ACT-Tanzania kuhusu namna ya kutoka katika mkwamo uliopo katika mchakato wa Katiba Mpya. 1. Nchi yetu iliingia katika mchakato wa Katiba kwa kushirikisha wananchi wote ili kupata Katiba bora yenye kuakisi matakwa ya nchi kwa sasa na...
Back
Top Bottom