๐—ง๐—ฒ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ

Tehama County ( tษ™-HAY-mษ™) is a county located in the northern part of the U.S. state of California. As of the 2020 census, the population was 65,829. The county seat and largest city is Red Bluff. Tehama County comprises the Red Bluff, California micropolitan statistical area, which is also included in the Redding-Red Bluff, California combined statistical area. The county is bisected by the Sacramento River.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba awasili nchini Urusi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 28, 2026, amewasili Moscow, nchini Urusi, ambapo anatarajia kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi unaofanyika kuanzia leo Oktoba 28 hadi 29, 2026. Mkutano huo...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Maziko ya Sheikh Thabit Kombo Jecha 1986

    ๐— ๐—”๐—ญ๐—œ๐—ž๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ฆ๐—›๐—˜๐—œ๐—ž๐—› ๐—ง๐—›๐—”๐—•๐—œ๐—ง ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—๐—˜๐—–๐—›๐—” ๐Ÿญ๐Ÿต๐Ÿด๐Ÿฒ Na Mwandishi wetu wa Medani za Kihistoria na Siasa. Waliosimama mbele ya Jeneza la Marehemu Mzee Kombo, Wakwanza kutoka kushoto walioko chini wakati huo na vyeo vyao kwa wakati huo ni : Waziri Kiongozi wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, anayefuata...
  3. H

    JamiiForums Tanzania ๐—ชaziri ๐—žombo akutana na ๐—•alozi wa ๐—–uba

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—”๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—•๐—”๐—Ÿ๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—–๐—จ๐—•๐—” Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini Mhe. Yordenis Despaigne Vera, katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam. Katika...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mhe. Hichilema: Nchi za ukanda wa maziwa makuu ziimarishe uchumi na kutatua migogoro

    Rais wa Jamhuri ya Zambia, Mheshimiwa Hakainde Hichilema, amesisitiza umuhimu wa nchi za Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu kuimarisha umoja na mshikamano katika kutafuta suluhu ya migogoro inayoukabili Ukanda huo, huku zikiwekeza zaidi katika kukuza uchumi, biashara na uwezo wake wa kujitegemea...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea nakala za hati za utambulisho wa Mabalozi

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—”๐—ฃ๐—ข๐—ž๐—˜๐—” ๐—ก๐—”๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—” ๐—ญ๐—” ๐—›๐—”๐—ง๐—œ ๐—ญ๐—” ๐—จ๐—ง๐—”๐— ๐—•๐—จ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข ๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐—Ÿ๐—ข๐—ญ๐—œ ๐—ช๐—”๐—ง๐—˜๐—จ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ช๐—”๐—ก๐—ก๐—˜ Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Waheshimiwa Mabalozi Wateule wanne, wanaowakilisha nchi zao hapa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Afanya Mazungumzo na Ujumbe wa Msaid kutoka Uturuki

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, tarehe 15 Oktoba 2026 jijini Dar es Salaam, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda ya Uturuki (MรœSฤฐAD), ukiongozwa na Makamu wa Rais wake, Bw...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo na ujumbe wa wafanyabiashara wa Sweden, asisitiza ushirika

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—”๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—ก๐—” ๐—ก๐—” ๐—จ๐—๐—จ๐— ๐—•๐—˜ ๐—ช๐—” ๐—ช๐—”๐—™๐—”๐—ก๐—ฌ๐—”๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ช๐—” ๐—ฆ๐—ช๐—˜๐——๐—˜๐—ก, ๐—”๐—ฆ๐—œ๐—ฆ๐—œ๐—ง๐—œ๐—ญ๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—œ๐—”๐—ก๐—ข ๐—ช๐—” ๐—•๐—œ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ช๐—˜๐—ž๐—˜๐—ญ๐—”๐—๐—œ Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa wafanyabiashara na wawekezaji kutoka...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea nakala za hati za utambulisho za Balozi Mteule wa Finland

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amepokea nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Finland nchini, Mhe. Anna Merrifield. Makabidhiano hayo yamefanyika Oktoba 13, 2026, katika Ofisi Ndogo za Wizara zilizopo Jijini...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwiguluu na wahani msiba wa mama Fatma Karume

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ, ๐— ๐—ž๐—˜๐—ช๐—˜ ๐—ช๐—”๐—›๐—”๐—ก๐—œ ๐— ๐—ฆ๐—œ๐—•๐—” ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐— ๐—” ๐—™๐—”๐—ง๐— ๐—” ๐—ž๐—”๐—ฅ๐—จ๐— ๐—˜ Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, na Mwenza wake Mama Neema Mwigulu, leo Oktoba 14, 2026 wamehani msiba wa Mama Fatma Karume, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume, Mbweni Zanzibar.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mwigulu akagua Mradi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐— ๐—ช๐—œ๐—š๐—จ๐—Ÿ๐—จ ๐—”๐—ž๐—”๐—š๐—จ๐—” ๐— ๐—ฅ๐—”๐——๐—œ ๐—ช๐—” ๐—›๐—ข๐—ฆ๐—ฃ๐—œ๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—”๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—•๐—จ๐—ก๐——๐—” Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 03, 2026 amekagua mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara ambapo mpaka sasa kiasi cha shilingi bilioni 5.3 kimeshatolewa hadi sasa kwa ajili ya ujenzi wa hospitali hiyo...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania ๐— ๐—ณ๐˜‚๐—บ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—›๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ถ๐˜…๐—ฒ๐—น ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ!๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ

    Google inaandaa maboresho makubwa kwenye Pixel HiLight ๐Ÿ’ก. Pixel HiLight ni mfumo wa taa ndogo za LED zilizowekwa karibu na sehemu ya kamera ya nyuma. Simu ikiwa imegeuzwa chini juu (face down), taa inaweza kuwaka kukupa taarifa bila kulazimika kuangalia skrini. Google imeleta HiLight kwenye...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata fursa nyingine za ajira 4,500 Nchini Qutar

    ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ฃ๐—”๐—ง๐—” ๐—™๐—จ๐—ฅ๐—ฆ๐—” ๐—ก๐—ฌ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ๐—ก๐—˜ ๐—ญ๐—” ๐—”๐—๐—œ๐—ฅ๐—” ๐Ÿฐ,๐Ÿฑ๐Ÿฌ๐Ÿฌ ๐—ก๐—–๐—›๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ค๐—”๐—ง๐—”๐—ฅ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imepata fursa nyingine za ajira zaidi ya 4,500 kwa ajili ya Watanzania walio tayari kufanya kazi nchini humo kwenye kada mbalimbali. โ€œTunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ, ๐—”๐—น๐—ด๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ

    ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ, ๐—”๐—น๐—ด๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers. Mazungumzo hayo yalihusu...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ก๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฒ

    ๐ŸŽ Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni ๐Ÿ‘Š. Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. ๐Ÿคฏ๐Ÿ“ฒ๐Ÿ“ฒ Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—น๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜€๐˜„๐—ฎ

    Wanasema pesa ngumu ๐Ÿ˜ƒ hakuna Kuonga Aiseeh!!! YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. ๐Ÿ“ˆ Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo atoa wito wa ushirikiano bonde la mto Nile

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—”๐—ง๐—ข๐—” ๐—ช๐—œ๐—ง๐—ข ๐—ช๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—œ๐—”๐—ก๐—ข ๐—•๐—ข๐—ก๐——๐—˜ ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—ง๐—ข ๐—ก๐—œ๐—Ÿ๐—˜ Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ametoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano miongoni mwa nchi wanachama wa Bonde la Mto Nile. Balozi Kombo ametoa wito huo katika Kikao cha Ngazi...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuendelea kushirikiana na nchi za Nodiki katika sekta ya afya

    Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Nodiki na Afrika uliofanyika tarehe 22 Januari, 2026, jijini Stockholm, Sweden, ili kujadiliana masuala ya afya ya uzazi na mtoto na mapambano...
  18. hamis77

    JamiiForums Tanzania Ujumbe uliofichwa katika majina: kutoka Adamu hadi Nuhu

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini Biblia inarudia majina ya watu mara kwa mara, kana kwamba kuna mpango wa Mungu uliopangwa tangu mwanzo? ๐Ÿ‘‡ Ukweli huu unaonekana wazi unapofuatilia mlolongo wa Maandiko: โ‘  ๐€๐ƒ๐€๐Œ๐” โ€” โ€œ๐Œ๐“๐”โ€ Adamu maana yake ni mtu au binadamu. Hapa Biblia inaanzia na hali ya...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Sasa itakuwa ngumu mtu kufanya activation ya Windows offline

    Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline ๐Ÿซต, sasa itakua haiwezekani tena. Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory), Ambapo Kampuni ya Microsoft imeua mfumo wa watu kutumia njia ya local (bila kuwa na akaunti ya...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki kikao cha Baraza la Amani na Usalama cha AU, aunga mkono JIT

    ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—ข๐— ๐—•๐—ข ๐—”๐—ฆ๐—›๐—œ๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ž๐—œ๐—ž๐—”๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐—•๐—”๐—ฅ๐—”๐—ญ๐—” ๐—Ÿ๐—” ๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐—” ๐—จ๐—ฆ๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—” ๐—–๐—›๐—” ๐—”๐—จ, ๐—”๐—จ๐—ก๐—š๐—” ๐— ๐—ž๐—ข๐—ก๐—ข ๐—๐—œ๐—ง๐—œ๐—›๐—”๐——๐—” ๐—ญ๐—” ๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฆ๐—ข๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—” Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameshiriki kwa njia ya mtandao Mkutano wa 1324 wa Baraza la Amani na Usalama wa Umoja wa...
Back
Top Bottom