Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 628
- 431
๐ช๐๐ญ๐๐ฅ๐ ๐๐ข๐ ๐๐ข ๐๐๐จ๐ง๐๐ก๐ ๐ก๐ ๐๐๐๐ข๐ญ๐ ๐ช๐ ๐๐จ๐๐
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini Mhe. Yordenis Despaigne Vera, katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali ili kuendelea kuimarisha na kukuza uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano wa kihistoria kati ya Tanzania na Cuba, pamoja na kuangazia fursa mpya za ushirikiano katika sekta zenye manufaa kwa pande mbili.

Attachments
-
publer-1792489389159.jpg758 KB · Views: 3 -
publer-1792489392660.jpg1.1 MB · Views: 3 -
publer-1792489395206.jpg1,021.6 KB · Views: 2 -
publer-1792489406274.jpg1.1 MB · Views: 2 -
publer-1792489402906.jpg1,023.3 KB · Views: 2 -
publer-1792489400315.jpg823.3 KB · Views: 2 -
publer-1792489397810.jpg1 MB · Views: 2 -
publer-1792489408900.jpg1 MB · Views: 2 -
publer-1792489411602.jpg1.1 MB · Views: 2