Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba awasili nchini Urusi

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
628
Reaction score
431
IMG-20261028-WA0068.jpg

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 28, 2026, amewasili Moscow, nchini Urusi, ambapo anatarajia kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi unaofanyika kuanzia leo Oktoba 28 hadi 29, 2026.

Mkutano huo utakaowakutanisha viongozi wa Urusi na nchi za Afrika na utaongozwa kwa pamoja na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ambaye pia ni Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye.

IMG-20261028-WA0070.jpg

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Fredrick Ibrahim Kibuta, kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Domodedovo, Moscow nchini Urusi

IMG-20261028-WA0069.jpg
 
View attachment 3700319

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 28, 2026, amewasili Moscow, nchini Urusi, ambapo anatarajia kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi unaofanyika kuanzia leo Oktoba 28 hadi 29, 2026.

Mkutano huo utakaowakutanisha viongozi wa Urusi na nchi za Afrika na utaongozwa kwa pamoja na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ambaye pia ni Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye.

View attachment 3700320

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Fredrick Ibrahim Kibuta, kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Domodedovo, Moscow nchini Urusi

View attachment 3700322
Huwezi toboa kwa kutegemea machawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom