Mugabe amwita Gordon Brown Zimbabwean PM

Angalieni video ya Mugabe akimjibu hovyo mwandishi wa habari na akitaka kumrukia Mwandishi wa Habari baada ya kubughudhiwa na maswali yake. Kuna mahali kasema Gordon Brown ni Prime Minister wa Zimbabwe (Ulimi hauna mfupa). Fungua hiyo link ujionee mwenyewe.

http://link.brightcove.com/services/player/bcpid1137883380?bctid=1640107138
...Duh!!! Unajua hiyo ingekuwa ni mambo ya mtaani Mugabe na yule mwandishi wangeshatembezeana mikono si unaona mzungu alivyopata moto baada ya kuambiwa don't ask stupid questions??? Kwi!! Kwik!!!!Kwiiiiiiii

Robby amedata kabisa si mchezo!!
 
hee hee kazi kumbe ipo inaonesha huyu mugabe ana frustration nyingi sana yupo yupo kama simba aliejeruhiwa
 
The sad thing is Bush and Blair have got poor Comrade Mugabe doing exactly what they want... And that is making a ridicule of himself on what was otherwise a valid, crucial and legitimate struggle 4 land re-distribution as the basis of true freedom.. This whole matter is about whites loosing land and nothing else... Land they acquired forcefully and illegally and wanted to be paid for it and instead got it taken from in the same away they acquired it. Its amazing the double standards though when something is done to a white person, or wealthy (with oil) as opposed to a poor black or african persons...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom