Mnyonywaji
Member
- Feb 6, 2008
- 55
- 1
Angalieni video ya Mugabe akimjibu hovyo mwandishi wa habari na akitaka kumrukia Mwandishi wa Habari baada ya kubughudhiwa na maswali yake. Kuna mahali kasema Gordon Brown ni Prime Minister wa Zimbabwe (Ulimi hauna mfupa). Fungua hiyo link ujionee mwenyewe.
http://link.brightcove.com/services/player/bcpid1137883380?bctid=1640107138
http://link.brightcove.com/services/player/bcpid1137883380?bctid=1640107138