Kabla ya kuanza kudai katiba mpya , tunajukumu la kuanza kudai katiba ya chama chetu, hakika hii ya sasa imepitwa na wakati ina mfumo usiotoa uhuru kwa wanachama ,
Kiti cha mwenyekiti imekuwa nafasi ya kudumu , mfumo wa kupata uongozi wa matawi nao umejaa ukiritimba
Katiba mpya ya Chadema ni...
Kumekuwa naongezeko la bei za bati kila mwezi hasa kampuni za Alaf na sunshare bila utaratibu.
Tunaomba serikali ilitazame maana tunaoumia ni sisi wananchi.
Waziri wa viwanda na tume ya ushindani tusaidieni wanyonge tunaumizwa na hizo bei.
Nimeona kwasasa mikutano,warsha na hafla nyingi zikifanyika Dar es salaam hata hizi ofisi mbili(waziri mkuu na makamu wa Rais) ambazo tayari wamesha hamia rasmi Dodoma nao siku hizi shughuli zao zinafanyika Dar badala ya makao makuu Dodoma.
Wasiwasi wangu ni kuongezeka gharama za uendeshaji...
James Mbatia alitaka kama Serikali inatambua kazi za taasisi za kidini na umihimu wa dini katika nchi,na Jana kuna barua imesambaa mitandaoni ikiwataka KKKT wajibu ndani ya siku kumi na ikidhaniwa kutoka Serikalini ,ni upi msimamo wa Serikali kuhusu barua hiyo?
Naibu spika amesema kwasasa...
Msemaji wa mufti amesema ahadi iliyotolewa na waziri wa masuala ya dini wa Saudia Arabia kujenga chuo kikuu kipya cha kiislam nchini Tanzania ni mwendelezo na matokeo ya ziara ya mufti nchini Saudia Arabia.
Swali, Bakwata hamna ardhi mpaka muombe serikali iwapatie ardhi?
Leo kuna kabidhiwa ripoti ya kiuchunguzi ya uvuvi wa Bahari kuu na gesi asilia mbele ya Mh.Spika Job Ndugai
======
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge ya Gesi Asilia, Dunstan Kitandula amesema wamebaini madudu yanayoisababisha Serikali hasara ya Sh291bilioni sawa na bajeti ya wizara nne...
Katika tangazo lake kupitia Azam News, mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imesitisha mnada wa kuuza kontena za Makonda pamoja na mizigo mingine mpaka pale itakapotangazwa vinginevyo.
Pamoja na kazi nzuri ambayo wizara yake imefnya lakin katika jambo la kushangaza jana nilimsikia Mh.Ruhaga waziri wa mifugo na uvuvi akitamka bayana kuwa zoezi la operation sangara halijatia watu umasikini! Na akijaribu kuuliza kuwa wapi ama kijiji gani watu wametiwa umasikini ( hapa majina ya...
Ajira zote za wageni nchini Tanzania ni kwa nafasi zile za kitaalam tu ambazo Watanzania hawana uwezo nazo na hatujaacha wazi, tumeweka ukomo kuwa ni wageni watano tu kwa kila taasisi ndio wanapata fursa ya kuajiriwa ndani ya nchi". Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa.
Chanzo: ITV
Nimejichanga mbali na vyuma kukaza nahitaji kutimiza ndoto yangu mwezi ujao ila bado nipo dilemma katika kufanya maamuzi maana gari zote hizi nazipenda ,Toyota Rav4 new model na Toyota vanguard
Hizi gari nimeziangalia kwa mda zote zinaonekana kuwa na sifa zinazofanana hasa katika upande wa Cc...
Moshi. Mshtakiwa wa kwanza, Sharifu Mohamed ameiambia mahakama kuwa hajawahi kukutana gerezani na mfanyabiashara Joseph Mwakipesile maarufu Chussa na kupanga mauaji ya Erasto Msuya.
Mbali na kukana kuwa na ukaribu na Chussa, aliyakana pia maelezo ya kukiri kosa yanayodaiwa kuwa ni ya kwake...
Mh.Rais kasimamishwa na watu wakati akielekea ziarani Morogoro, wananchi hao wamemsimamisha huku wakiwa na mabango yanayoonyesha mahitaji na matatizo yao, miongon mwa kero ni kutosajiliwa kwa shule ya kijiji ambayo ipo darasa la tano.
Katika kujibu kero zao ametoa kiasi cha milioni tatu na...
Kiukweli baada ya kusikiliza hotuba yako ya jana na kuahidi kutoongeza mshahara mpaka utakapotoka madarakani, huku baadhi ya makada wa chama chako wakitaka uongezewe muda japo ulikanusha.
Jana mimi na familia yangu imetubidi tupange upya namna ya kuishi na hiki kipato kidogo. Baadhi ya mambo...
Najua wengi mnafahamu hizi kampuni zinazosimamiwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Dr. Mengi, hii kampuni kwa waislam na wasabato kupata kazi ni vigumu sana iwe hata kazi ndogo ndogo. Imefikia hatua hata ukipata kwa bahati mbaya kama ni binti wa kiislam haurusiwi kuvaa ushungi.
Kumbukeni vituo na...
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti ametengua agizo la Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla la kutaka wakazi wa kaya 3000 wa kijiji cha Kimotorok Wilayani Simanjiro mkoani Manyara kuhama eneo la hifadhi.
Kigwangala alitoa alitoa miezi 9 mnamo...
Gari likisafirisha madawa ya kulevya au samaki wasiotakiwa mwenye gari anapigwa faini ila kwenye ndege ukikutwa na madawa ya kulevya ndege haipigwi mnada adhabu inamlalia msafirishaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.