Search results

  1. Jephta2003

    Mpenzi wangu analalamika simtafuti

    Kwa akili yako unaona unamtendea fair?,halafu unakuja kutamba huku,akili za kitoto hizi,subili apate bwana mwinginr uisome namba Qa
  2. Jephta2003

    Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    So dunia ina inchi 50 tu?,labda Tanzania ni ya 52 au 55 Na nchi 50 tu
  3. Jephta2003

    Imekaaje baada ya mtoto kuhitimu la 7 nikamsomesha QT?

    Kufaulu mtu wa QT ni ngumu mno maana kule kuna Paper 1 na paper 2,wakati hawa kawaida wanapiga paper 1 moja tu
  4. Jephta2003

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Ukiilipia hayo masafa si inakua mali yako?
  5. Jephta2003

    Kati ya Ukerewe Mwanza na Kigoma wapi panaongoza kwa uchawi?

    Ila uk wako vizuri kwenye nyanja hizo
  6. Jephta2003

    Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    Kibibi alikua miss Tanga miaka ile na alikua anakaa Makumbusho,siku hizi yuko Mabibo na ana watoto wstatu au wanne alizaa na jamaa mmoja anaitwa Lucas
  7. Jephta2003

    Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

    Kwa hiyo unataka kusema hao naDr wa Muhimbili wamesomea vyuo wapi na hawo wa Temeke/kigamboni walisoma vyuo wapi?
  8. Jephta2003

    Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

    Ulikosea sana kumpeleka mtoto wako kwa mchepuko wako
  9. Jephta2003

    Vita vikali kati ya Uganda na Rwanda!

    Mimi sijawahi sikia
  10. Jephta2003

    Sukari, umeme na madawa hospitalini

    Wakikujibu mie niko pale nimekaa niite mbwa
  11. Jephta2003

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Anakupigia call nyingi na sms unampotezea,sasa logic ya kumwandikia no kwenye kikaratasi na kukiangusha ilikua nini?
  12. Jephta2003

    Natafuta vijana wa kuniuzia juice

    Uko mkoa gani?,Arusha au Mbeya?
Back
Top Bottom