Search results

  1. O

    Kipi kinachelewesha uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi PSPTB?

    Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi haijatoa matokea ya watainiwa waliofanya mitihani mwezi Agosti na pia Novemba 2020 kwa sababu haina bodi ya wakurungenzi. Suala la taasisi hii kukosa bodi ya wakurugenzi lilitolewa mbele ya waziri mkuu na waziri husika kwenye kongamano la wataalamu wa...
  2. O

    Mheshimiwa Rais, tunataka umeme!

    Kwa mwezi mmoja sasa nchi iko kwenye mgawo ambao chanzo chake hakijulikani kwa wananchi. Maeneo ya Nyanda za juu kusini hali ni mbaya Sana. Tunahitaji sana Umeme kwa ajili ya shughuli za kiuchumi. Binafsi sijaona juhudi zako katika kuhakikisha suala kukatika umeme linakuwa historia.
  3. O

    Kitengo cha maudhui TCRA : Huu mtindo wa kugeuza redio kama vituo vya kamali hauvumiliki.

    Habari wadau. Kumezuka matangazo yasiokoma kwenye vituo karibia vyote vya redio kuhamisisha masuala ya kucheza kamali. Bila kuathiri dhima ya kujiendesha kibiashara lkn tabia redio kutumia nusu ya airtime kunadi kamali sio nzuri kwa mstakabali wa ustawi wa taifa. Hatuwezi kujenga taifa là...
  4. O

    TRA Mbeya wakumbwa na Uhaba wa kadi ya kuchapishia leseni za udereva.

    Katika hali isiokuwa ya kawaida baadhi ya wananchi wenye mahitaji ya leseni za udereva ,wamekumbwa na mshangao hapa jijini Mbeya baada ya kuambiwa kuwa hawataweza kupata kadi mpk baada ya mwezi mmoja. Hii ni kwa sababu kadi za kuchapishia leseni zimeisha na zitapatikana bàada ya mwezi mmoja...
  5. O

    Jiji la Mbeya lakumbwa na uhaba Wa maji kwa wiki mbili sasa

    Katika hali isiokuwa ya kawaida maeneo mengi ya Jiji la Mbeya yakumbwa na uhaba Mkubwa Wa tangu mwishoni mwa mwezi. Maeneo yaliyoathirika zaidi ni Forest, Mwanjelwa, Kabwe stand, Soweto, Mama John , Iromba, chuo kikuu Teku, na Mwambene. Mamlaka zinazohusika zifanye jitihada kurejesha Huduma hii...
  6. O

    Msaada: Nimebambikiwa deni na bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Habari zenu wadau? Nimeshitushwa na taarifa toka kwa mwajiri wangu kuwa nadaiwa deni la mamilioni na bodi ya mikopo ya elimu ya juu -HESLB. Miaka 7 iliopita niliomba mkopo kutoka HESLB nilipokuwa naanza elimu yangu ya chuo kikuu lakini sikuwa na sifa stahiki kupata mkopo. Baada ya majibu hayo...
  7. O

    Sakata la SKOL: Wafuatao pia wachunguzwe

    Natoa pongezi za dhati Wa viongozi wetu RC DSM na mh. Raisi. Kuna watu wamesababishia hasara katika miradi ya ujenzi jijini DSM hasa Manispaa ya Kinondoni. Bila kusita vyombo vya usalama viwahoji wafuatao kutokana mahusiano yasiokuwa ya afya na SKOL: 1. Aliyekuwa meya Wa kinondoni. Huyu...
  8. O

    Anahitajika fundi wa AC Mbeya mjini & Kyela

    Tafadhari kama kuna mtu mwenye ujuzi wa kufanya service ya AC kwa maeneo ya Kyela na Mbeya Mjini. Tafadhari ni_pm
  9. O

    Kyela yazizima: Wananchi waandaa mkesha wa mabadiliko

    Salamu hizi zimfikie Mwakyembe popote alipo. Sijawahi kuona hamasa kama hii kule kwangu Dar. Kila mahali ni Lowassa , Lowassa, Lowassa! Wananchi wameamua kukesha ili kumsubiri Lowassa kesho. Wimbo wa msaga sumu na ngoma kila mahali hapa Kyela usiku huu. #Mabadiliko ni dhahiri hapa Kyela na...
  10. O

    Ole Sendeka: Lowassa aliwalipa vijana kudeki barabara Musoma na Mwanza

    Akihutubia mkutano wa kampeni mkoani Geita, Ole Sendeka amenukuliwa na gazeti na Mwananchi: "Lowassa anatumia umaskini wa vijana wetu kuwalipa fedha ili wamwage maji kwenye lami kusafisha barabara msafara wake upite" "Namtaka Lowassa asitumie nafasi yake ya ugombea urais kadhalilisha utu."...
  11. O

    Ni upi msimamo wa UKAWA kuhusu kuhamishia baadhi ya wizara na idara za serikali makao makuu Dodoma?

    Bila shaka hili suala litakuwa katika ilani ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi huu. Ninaomba kujua msimamo wa ukawa kuhusu uamuzi wa serikali zilizopita kuhamia Dodoma.
  12. O

    Wadau wa Ujenzi: Nauza Dumpy levels.

    Ninauza dumpy level mbili Nestle na Swiss+plus Mwenye kuhitaji ani - pm
  13. O

    Nape: Tunateendelea kumlea bundi wetu ili kuifanya ukawa kuwa ukiwa.

    Katika mwendelezo wa kauli tata, mgombea ubunge jimbo la Mtama na katibu wa itikadi na uenezi wa ccm amesema wanafanya kila juhudi za ufadhili kwa baadhi ya waliokuwa viongozi wa ukawa ili kuuvuruga. Umoja kabla ya uchaguzi mkuu.
  14. O

    Magesa Mulongo atumia mbio za Mwenge kuendeleza vijembe dhidi ya Lowassa

    Katika hali isiokuwa ya kawaida mkuu wa mkoa wa Mwanza ameendelea na vijembe kwa mgombea wa uraisi wa Tanzania kupitia CHADEMA. Mulongo amesema wananchi wamchague mtu mwadilifu asie na tuhuma za ufisadi. Kumbukeni kuwa huyu RC ndo alianza kutoa tuhuma kuwa Lowassa kainunua chadema kwa bilioni...
  15. O

    Dr. Benson Bana kweli anakidhi vigezo vya kuwa mwenyekiti wa waangalizi wa uchaguzi Tanzania?

    Ninamfahamu Dr. Bana kama mkufunzi na mwanataaluma wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Mbali na hilo Dr. Bana pia ni kada mtiifu wa chama cha mapinduzi. Amekuwa akisikika akiuponda upinzani hadharani kuwa hauna lolote na CCM itabaki kuwa chama dume. Katika moja ya taarifa za habari wiki iliopita...
  16. O

    Kawe: Kadi za uanachama wa CCM zinagawiwa kiholela na Kifuta jasho cha Tsh. 50,000

    Katika hali isiokuwa ya kawaida mabalozi wa nyumba kumi wanagawa kadi za uanachama wa CCM bila kufuata taratibu sahihi za chama chao. Kilichonifurahisha ukikubali unapata kifuta jasho cha kati ya Sh. 30,000 na 50,000. Takukuru na wadau wengine liangalieni hili maana zoezi la mchujo wa CCM...
  17. O

    Natafuta kazi, nina shahada ya biashara

    Heshima Kwenu wana Jf! Nimehitimu shahada ya kwanza ya biashara mwaka 2013 lkn tangu wakati huo nasota kutafuta kazi bila mafanikio. Kwa yoyote mwenye kuguswa tafadhari anisaidie japo kupata sehemu ya kufanya kazi kwa kujitolea. Pia mwenye biashara pia tunaweza kusaidiana hasa ya samaki...
  18. O

    Kwa wafanyabiashara na wasafirishaji ya samaki kutoka Mwanza

    Ni matumaini yangu kuwa katika jukwaa letu hakuna kinachoshindikana. Mimi ni mwenyeji wa Mwanza , nimetembelea masoko ya samaki hasa Sangara na sato jijini Dar es Salaam hivi kariburini. Nimefarijika kuona kuwa hali ya soko ni nzuri. Kama kuna mdau mwenye kuwa na gari la kusafirisha samaki...
  19. O

    Hivi ni kweli uraia wa nchi mbili umeridhiwa Tanzania?

    Nimekuwa nikipata mashaka kuona ndg zetu wamakonde wa Msumbiji wanavyoshiriki shughuli za kisiasa hapa nchini kwetu. Jirani yangu hapa ni kiongozi wa ccm katika wilayani Temeke na pia mwanachama FRELIMO huko kwao. Kila uchaguzi nchini Msumbiji unapokaribia watu hawa huwaacha watoto tu na kwenda...
  20. O

    Kanuni za bunge zibadilishwe

    Kilichotokea Bungeni Novemba 28 ni kutokana na dosari katika kanuni zinatumika bungeni. Kamati ya bunge(PAC) iliwasilisha hoja kwa weledi mwishowe Wabunge wakapewa muda wa kuijadili. Baada ya majadiliano, bunge likaka kupitisha mapendekezo ya kamati ya PAC. Kilichonishangaza ni kwa...
Back
Top Bottom