Mheshimiwa Rais, tunataka umeme!

Mheshimiwa Rais, tunataka umeme!

omusimba

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
310
Reaction score
78
Kwa mwezi mmoja sasa nchi iko kwenye mgawo ambao chanzo chake hakijulikani kwa wananchi. Maeneo ya Nyanda za juu kusini hali ni mbaya Sana.

Tunahitaji sana Umeme kwa ajili ya shughuli za kiuchumi.

Binafsi sijaona juhudi zako katika kuhakikisha suala kukatika umeme linakuwa historia.
 
Back
Top Bottom