Search results

  1. K

    Kinaitwaje kifaa hiki?

    Hii ni engine ya Audi A6, 2.0L mwaka 2009. Hiki kifaa kwenye picha kilichozungushiwa mstari kinaitwaje kitaalamu??? Asanteni
  2. K

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa RAS Kagera na DED Manispaa ya Bukoba

    Uwe na matumizi mazuri ya akili!!!....
  3. K

    Namtamfuta Mzee Majuto

    Naomba mnisaidie contacts za mzee Majuto msanii wa comedy. Nahitaji anitengenezee tangazo nitangaze kwenye TV. Natanguliza shukrani wadau.
  4. K

    Kuna bureau de change Mlimani City jumapili??

    Nawasalimu wadau. Naomba kujua kama kuna bureau de change wanaofungua jumapili pale mlimani city.
  5. K

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Kama hujapata msaada check na kampuni hii ya kibongo watakuelekeza www.kalumbilo.online
  6. K

    Barua kwa Waziri wa Elimu kuhusu Shule ya Sekondari Chemchem

    KWELI NGOMA IKILIA SANA MWISHO HUPASUKA. HIZI TUHUMA ENZI ZA NYUMA TULIJUA UMBEA NA CHUKI, SASA NIMEAMINI BAADA YA MKUU WA WILAYA KUAGIZA MKUU WA SHULE HII KUSIMAMISHWA KAZI NA KUPISHA UCHUNGUZI. SIJUI, LABDA NA MKUU WA WILAYA NAYE ANA CHUKI, LAKINI NAAMINI HAJAKURUPUKA.
  7. K

    Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

    Achana nao hao walamba kamasi madai yao ni matamu!!
  8. K

    Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

    Achana nao wamebemendwa na wazungu hao
  9. K

    Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

    Nina mashaka na akili yako
  10. K

    Nauza Dhahabu

    Nawasalimu! Nina mgodi, nahitaji kuuza madini nchi za nje japo sijawahi na sijui bei zake. Naomba mwwnye kujua anisaidie kujua bei ya gram moja ya dhahabu ni dola ngapi??? Natanguliza shukrani
  11. K

    Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Hata yale ya ndani ya siku mia huyaoni???!!! Kkweli akili ni nywele kila mtu anazake,
  12. K

    Kununua gari toka Zanzibar kuja bara

    Nahitaji kununua gari toka Zanzibar na kulileta Bara. Naomba mwenye kujua anisaidie utaratibu wa kodi na usajili. Je, ni process zile zile kama za kuimport toka Japan? Nawasilisha
  13. K

    Msaada - Nahitaji Kuagiza Tractor

    Nitashukuru kwa msaada Nakukaribisha kwenye kampuni yetu:www.kalumbilo.online tutakuagizia kwa bei nafuu. Tractor zilizopo toka kwa washirika wetu ni pamoja na Massey, New Holland, Ford, Fiat, International, John Deere na kadhalika. Karibu ofisini kwetu Quality Plaza Dar es salaam au piga simu...
  14. K

    Msaada - Nahitaji Kuagiza Tractor

    Tractor na bidhaa zingine za kilimo hazina ushuru
  15. K

    Niagize gari Japan au ninunue used hapa hapa Tanzania!?

    Unaweza kupata gari safi sana toka kwa mtu ila ni chache sana! Nyingi huwa na ubovu uliojificha, hata kama utatafuta fundi mkaguzi. Siku chache itakusumbua. Binafsi nina uzoefu na kuagiza Japan, na ninayo kampuni maalumu ya kuhudumia watu wanaohitaji kuagiza lakini hawawezi wao wenyewe au kama...
  16. K

    CRDB ni tawi gani hufanya kazi siku za sikukuu?

    Asanteni wakuu! Nataka nikalipe ada ya mtoto
  17. K

    CRDB ni tawi gani hufanya kazi siku za sikukuu?

    Nawasalimu wadau! Naomba mwenye kujua ni tawi gani la CRDB ambalo linafanya kazi hata leo siku ya sikukuu ya mapinduzi. Nauliza kwa hapa Dar es Salaam tu.
  18. K

    Unamjua Tajiri Jeff Bezzo??

    Tumesajiliwa Brela na kupewa Certificate of Incorporation no 116636, Tunayo TIN na tunalipa kodi. Tupo Quality Plaza, 2nd Floor, West Wing, along Nyerere Road. P.o.box 100007, Dar es Salaam. +255-684-454-441 Wapo watu tuliowahudumia na tunaendelea kuwahudumia, tumewaweka na tunaendelea kuwaweka...
Back
Top Bottom